"Mhindi huyu anawamaliza wanetu"

Mzee wa Gumzo

Senior Member
Apr 21, 2008
197
5
Hii ni kweli na wala haina chenga.
Nilikuwa moshi jana tu na kuthibitisha.Kuna grocery moja maarufu maeneo ya shanty town karibu na hospitali ya KCMC ijulikanayo kama 'UP TOWN GROCERY'.

Ilianza kama tetesi kuwa grocery hiyo ni kituo cha madawa ya kulevya.Kisha nikamtafuta mwenyeji wa pale na mtu mzima na mnywaji wa hapo nikamuuliza akaniambia ni kweli tena akanitajia hadi wateja wakubwa wa madawa hayo kuwa ni wanafunzi wa INTERNATIONAL SCHOOL MOSHI,moja ya shule bora kabisa za kimataifa.

Nikamvizia mwanafunzi mmoja wa shule hiyo na kumbana kona nikijifanya teja nataka unga nibwie.Kiulaini akanielekeza kuwa yeye siyo muuzaji bali mtumiaji ila kama nataka kununua niende kwenye ile grocery kwa wahindi nitapata mara moja.

Hii siyo hadithi ni kweli.Nimeitoa kwenye jukwaa kusudi tuungane kummaliza huyu jamaa na wengine wote wanaofanana nae.
Nilikuwa moshi kwa muda mfupi tu na sikupata nafasi ya kushughulikia hili na ningali safarini kikazi.
Naombeni namba ya Lucas Ngoboko (kamanda kilimanjaro) au IGP Mwema.
 
MKUU ahsante naona wakuu watafutilia...ila ukipata wasaa toa taarifa ya hapo shuleni pia...maana wengine tumewapeleka vijana wetu huko wasome kumbe kuna upuuzi unaendelea. hapo wa kukamatwa ni wote wabwiaji na wauzaji....
 
Ninataraji kurudi huko soon na kufanya jambo.in the mean time lazima watu wa hapo wachukue hatua
 
Tunakushukuru sana mzee wa gumzo ... sote tutajaribu kuwa kama wewe nadhani kwa kufanya hivyo tunawanusuru watoto wetu na taifa kwa jumla .. JF members who are in Moshi please give us a hand ila msimshutue mhindi
 
Hii ni kweli na wala haina chenga.
Nilikuwa moshi jana tu na kuthibitisha.Kuna grocery moja maarufu maeneo ya shanty town karibu na hospitali ya KCMC ijulikanayo kama 'UP TOWN GROCERY'.

Ilianza kama tetesi kuwa grocery hiyo ni kituo cha madawa ya kulevya.Kisha nikamtafuta mwenyeji wa pale na mtu mzima na mnywaji wa hapo nikamuuliza akaniambia ni kweli tena akanitajia hadi wateja wakubwa wa madawa hayo kuwa ni wanafunzi wa INTERNATIONAL SCHOOL MOSHI,moja ya shule bora kabisa za kimataifa.

Nikamvizia mwanafunzi mmoja wa shule hiyo na kumbana kona nikijifanya teja nataka unga nibwie.Kiulaini akanielekeza kuwa yeye siyo muuzaji bali mtumiaji ila kama nataka kununua niende kwenye ile grocery kwa wahindi nitapata mara moja.

Hii siyo hadithi ni kweli.Nimeitoa kwenye jukwaa kusudi tuungane kummaliza huyu jamaa na wengine wote wanaofanana nae.
Nilikuwa moshi kwa muda mfupi tu na sikupata nafasi ya kushughulikia hili na ningali safarini kikazi.
Naombeni namba ya Lucas Ngoboko (kamanda kilimanjaro) au IGP Mwema.
Ni habari mbaya kwa kizazi kjacho cha msingi ni kumripoti polisi maana kulalamika kwenye kwenye mtandao hakutatusaidia
 
Dah hii kweli sad news watoto wa taifa la kesho tutawapoteza hivihivi.
Lakini usikute maafande wote wanajua hapo kuwa huyo muhindi anauza mzigo.Lakini hapo usikute wao wanachukua mshiko kisha wanapita kama hawajui hivi polisi ndo zao kila kukicha tunawapigia kelele.Sasa inabidi kuwachongea kwa IGP tu.
Hivi ile list ya madawa ya kulevya kwa nini Rais ameikalia tu au naye iwa anaingiza mzigo nini hatuoni hatua zinazo shughulikiwa zaidi ya Rais wa chama cha ngumi naye atatoka tuu hivi kalibuni Munitanga.
Haya jama hii ndo Danganyika.
 
Ni habari mbaya kwa kizazi kjacho cha msingi ni kumripoti polisi maana kulalamika kwenye kwenye mtandao hakutatusaidia

Wauza unga wamesharipotiwa polisi sana.
Kutoa ripoti kwenye mtandao kama alivyofanya mzee wa gumzo naona ndio njia muafaka kwa sasa.

.
 
Hii ni kweli na wala haina chenga.
Nilikuwa moshi jana tu na kuthibitisha.Kuna grocery moja maarufu maeneo ya shanty town karibu na hospitali ya KCMC ijulikanayo kama 'UP TOWN GROCERY'.

Ilianza kama tetesi kuwa grocery hiyo ni kituo cha madawa ya kulevya.Kisha nikamtafuta mwenyeji wa pale na mtu mzima na mnywaji wa hapo nikamuuliza akaniambia ni kweli tena akanitajia hadi wateja wakubwa wa madawa hayo kuwa ni wanafunzi wa INTERNATIONAL SCHOOL MOSHI,moja ya shule bora kabisa za kimataifa.

Nikamvizia mwanafunzi mmoja wa shule hiyo na kumbana kona nikijifanya teja nataka unga nibwie.Kiulaini akanielekeza kuwa yeye siyo muuzaji bali mtumiaji ila kama nataka kununua niende kwenye ile grocery kwa wahindi nitapata mara moja.

Hii siyo hadithi ni kweli.Nimeitoa kwenye jukwaa kusudi tuungane kummaliza huyu jamaa na wengine wote wanaofanana nae.
Nilikuwa moshi kwa muda mfupi tu na sikupata nafasi ya kushughulikia hili na ningali safarini kikazi.
Naombeni namba ya Lucas Ngoboko (kamanda kilimanjaro) au IGP Mwema.

Ndugu ungefanya hima kuripoti kabla hata ya kuja hapa kwenye mtandao, maana unakuwa umempa Muhindi muda muafaka wa kujiandaa, mtandao unasomwa na wengi, usisubiri mpaka urudi tena huko, piga simu kwa kamanda wa polisi mkoa mambo yaendelee. Mwenye number ya simu tafadhali, au unaweza omba msaada wa number ya simu kwenye kituo chochote cha polisi. Hili ni taifa la kesho jamani, tusizembee
 
Kwanza hongera kwa hilo maana hii grocery naipata poa maana kipindi fulani nilikuwa nakaa karibu na Glacier Club hivyo nikasikia hizi habari ila nikaignore sasa zimefika humu nadhani zimekuwa issue.Huyu jamaa asivumuliwe taarifa zifikishwe kwa wahusika.
 
Ndugu ungefanya hima kuripoti kabla hata ya kuja hapa kwenye mtandao, maana unakuwa umempa Muhindi muda muafaka wa kujiandaa, mtandao unasomwa na wengi, usisubiri mpaka urudi tena huko, piga simu kwa kamanda wa polisi mkoa mambo yaendelee. Mwenye number ya simu tafadhali, au unaweza omba msaada wa number ya simu kwenye kituo chochote cha polisi. Hili ni taifa la kesho jamani, tusizembee

Hicho ndicho cha kwanza kunijia akilini. Ila pengine juhudi za kuwafikisha hawa watuhumiwa kwenye vyombo vya sheria ziko nje ya uwezo wetu kwa mazingira yalivyo leo Tanzania. Tunachoweza kufanya ni kuhakikisha unga hauuzwi kwa kuripoti mahali kama hapa.

.
 
Awekewe mtego halafu watu waucounter via PCCB ili kusiwe na mpenyo wa rushwa na nadhani huyu jamaa hafanyi hii kitu peke yake lazima aleleze madealer wake wakubwa pamoja na hao distributors. Ukicheki kiini chake utakuta kuna kiongozi tu wa serikali anahusika. Siko negative na viongozi wetu lakini huyu jamaa lazima atakuwa na shelter yake inayomkinga na mvua nayo inabidi watu wachunguze wajue kimya kimya. Na Kama atakuwa anaperuzi JF pia ajue kuwa upuuzi anaoufanya haukubaliki kabisa katika jamii. Nami ninalaani kwa nguvu zote kama wachangiaji wengine waliopita.
 
guseni muone hayuko pekeyake i assure u itabaki story yuko10yrs ago hatari
 
Magabacholi ndo zao. ufisadi kila eneo. hakuna hata biashara moja ambayo magabacholi huwa si ya kifisadi. kuanzia kwenye viwanda, hadi kwenye grocery. huwezi amini, viwanda vingi hapa tz, tunajua ni vya wahindi, kumbe vya viongozi wetu wanaiba hela zetu halafu wanawapa wao kama kivuli. pia hata madawa haya ya kulevya, watu wakubwa wa selikalini(ila so wote) wanaingiza halafu wanawatumia wao pamoja na wazalendo wachache kuyauza. ndo zao hao. hao viongozi wetu ambao wana immunity fulani ya kutokaguliwa viwanja vya ndege ndo wanaingiza sana, pamoja na wazalendo wachache wanaojitoa muhanga kuyameza tumboni.

kuna siku tutavuta pua za magabacholi hawa hadi zitakuwa ndefu zaidi ya hapo, na huo wembamba wao, watatembea ya mguu hadi india, hawataogopa kuliwa na samaki humo baharini. ni mafisadi wakubwa sana. kama hamuamini, jaribuni kuchunguza kupitia wafanyakazi wao, watawaambia.
 
hii Ni Kweli Na Wala Haina Chenga.
Nilikuwa Moshi Jana Tu Na Kuthibitisha.kuna Grocery Moja Maarufu Maeneo Ya Shanty Town Karibu Na Hospitali Ya Kcmc Ijulikanayo Kama 'up Town Grocery'.

Ilianza Kama Tetesi Kuwa Grocery Hiyo Ni Kituo Cha Madawa Ya Kulevya.kisha Nikamtafuta Mwenyeji Wa Pale Na Mtu Mzima Na Mnywaji Wa Hapo Nikamuuliza Akaniambia Ni Kweli Tena Akanitajia Hadi Wateja Wakubwa Wa Madawa Hayo Kuwa Ni Wanafunzi Wa International School Moshi,moja Ya Shule Bora Kabisa Za Kimataifa.

Nikamvizia Mwanafunzi Mmoja Wa Shule Hiyo Na Kumbana Kona Nikijifanya Teja Nataka Unga Nibwie.kiulaini Akanielekeza Kuwa Yeye Siyo Muuzaji Bali Mtumiaji Ila Kama Nataka Kununua Niende Kwenye Ile Grocery Kwa Wahindi Nitapata Mara Moja.

Hii Siyo Hadithi Ni Kweli.nimeitoa Kwenye Jukwaa Kusudi Tuungane Kummaliza Huyu Jamaa Na Wengine Wote Wanaofanana Nae.
Nilikuwa Moshi Kwa Muda Mfupi Tu Na Sikupata Nafasi Ya Kushughulikia Hili Na Ningali Safarini Kikazi.
Naombeni Namba Ya Lucas Ngoboko (kamanda Kilimanjaro) Au igp Mwema.

Igp Mwema= +255 754-785557
 
Thaks kwa wazo zuri.Nimeshapeleka suala hili kwa wahusika.Tusubiri matokeo.Kuna makachero wa JF wanafuatilia kwa karibu.
 
Ndugu ungefanya hima kuripoti kabla hata ya kuja hapa kwenye mtandao, maana unakuwa umempa Muhindi muda muafaka wa kujiandaa, mtandao unasomwa na wengi, usisubiri mpaka urudi tena huko, piga simu kwa kamanda wa polisi mkoa mambo yaendelee. Mwenye number ya simu tafadhali, au unaweza omba msaada wa number ya simu kwenye kituo chochote cha polisi. Hili ni taifa la kesho jamani, tusizembee

Aripoti wapi ndugu yangu..kama mkuu wa nchi alishakiri majina ya wahusika wakuu anayo lakini hadi leo hakuna kilichofanyika..itakuwa polisi wa Moshi!
 
Hii ni kweli na wala haina chenga.
Nilikuwa moshi jana tu na kuthibitisha.Kuna grocery moja maarufu maeneo ya shanty town karibu na hospitali ya KCMC ijulikanayo kama 'UP TOWN GROCERY'.

Ilianza kama tetesi kuwa grocery hiyo ni kituo cha madawa ya kulevya.Kisha nikamtafuta mwenyeji wa pale na mtu mzima na mnywaji wa hapo nikamuuliza akaniambia ni kweli tena akanitajia hadi wateja wakubwa wa madawa hayo kuwa ni wanafunzi wa INTERNATIONAL SCHOOL MOSHI,moja ya shule bora kabisa za kimataifa.

Nikamvizia mwanafunzi mmoja wa shule hiyo na kumbana kona nikijifanya teja nataka unga nibwie.Kiulaini akanielekeza kuwa yeye siyo muuzaji bali mtumiaji ila kama nataka kununua niende kwenye ile grocery kwa wahindi nitapata mara moja.

Hii siyo hadithi ni kweli.Nimeitoa kwenye jukwaa kusudi tuungane kummaliza huyu jamaa na wengine wote wanaofanana nae.
Nilikuwa moshi kwa muda mfupi tu na sikupata nafasi ya kushughulikia hili na ningali safarini kikazi.
Naombeni namba ya Lucas Ngoboko (kamanda kilimanjaro) au IGP Mwema.

Tunashukuru. Lakini huyu muungwana wetu inabidi tumlaumu sana kwani alipewa orodha ya wahusika wa unga lakini hajawashughulikia. Ndo maana wanaendelea na biashara yao kwa vile wanajua serikali yetu iko likizo.
 
Hivi kuna anayejidanganya kwamba hii ni breaking news kwa polisi? Iweje wewe mpita njia tu tena uliyeko safarini ugundue kitu kama hiki wakati kuna mijitu inaishi hapo na inalipwa mishahara ili ijue mambo kama haya na isijue siku zote?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom