Mhindi akaniuliza naolewa lini, nikarusha ngumi………!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398

Kumbe sikujua kwamba wanaume wa kihindi huwa wanaolewa na wanawake.

Nakumbuka ilikuwa ni mwaka 1996.

indian-hindu-wedding-act-wedding-hindu-wedding-indian-wedding1.jpg

 
Lakini hata leo hii sipendi muhindi aniulize hilo swali.....................LOL
 
Hivi mtu anawezaje kumuuliza mwanaume mwenzake kwamba anaolewa lini............. Hizi mila bana.........
 
mwanamke ndiye anayetoa mahari so ndiye muoaji!! haina maana yoyote kutokana bado mwanaume ndio master nyumbani na anahaki ya kumnyanyasa mwanamke. Infact watoto wa kike huchukiwa maana wanapunguza mali kwenye familia
 
Mtambuzi, "Are you married? or When are you going to be married/to get married?"
Sasa hivyo ndivyo inavyoulizwa kwa kidhungudhungu tafauti na lugha yetu adhimu ambayo inaweka wazi kila kitu. Mimi kwa kuwa aliyeniuliza hivyo ni Mhindi, aniulize kwa Kiswahili au kwa kidhungu, ninamsamehe bure kwa kutojua Kiswahili na Waswahili. Lakini kama mwanamume mwenzangu Mswahili anailuliza "Umeolewa au utaolewa nini", reaction yangu ya kwanza ninamtia kidole....cha macho.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mtu anawezaje kumuuliza mwanaume mwenzake kwamba anaolewa lini............. Hizi mila bana.........

kwa mwaka 1996 yawezekana kwli alikuwa akimaanisha mila zao lakini kwa miaka ya hivi karibuni ujue anamaanisha kuwa utaolewa lini ukiona hivyo ujue kisha kutazama sana maeneo ya nyuma a.k.a makalioni..... hawana haya hao wanafumua sana vitoto vinavyojipendekeza mjini hapa... laana hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom