Mhifadhi wa Taifa, Iddi Mashaka, akamatwa na Polisi Kesi ya kutungua helikopta

Hili jambo ni gumu sana kutatuliwa kwa uhakika ,kuna waheshimiwa japo hawapigi tembo kama wao lakini wananeemeka na biashara hiyo.Wananguvu ya fedha na kinga ya kisiasa au ni watu maarufu wenye kumjua nani na atapata nini,Operesion tokemeza alioianzisha JK ilichafuliwa na baadhi ya watu i ikabidi isimamishwe,kama haitoshi wabunge nao wakaipigilia msumari kuwawajibisha mawaziri.Majangili yakashinda serikali ikanywea.
 
Waliowekwa kulinda majangili nao ni majangili na wanawasaidia majangili kufanikisha malengo.
Waliowekwa kusimamia elimu nao ni wajinga (hawajaelimika) bali wana vyeti tu na wanasaidia kuua elimu.
Waliowekwa kupima viwanja ndio wamepelekea kwa makusudi na tamaa za kijinga kuharibu miji yetu na kuwa slums.

Nisichoelewa ni kama na wanaowateua wanakuwa kwenye malengo hayo hayo ya kutimiza tunayoyaona!
Nchi hii ina matatizo mengi na ndio maana JPM anatuomba kumuombea.
 
Zoezi la Tokomeza Ujangili lilifaa kuendelea
Sio kwa jinsi ile. Sasa tunaona kilichokuwa kinatokea mikakati yote majangili walikuwa wanaipata. Matokeo yake innocent people ndio waliodhurika. Tuanze sasa mh. Jumanne maghembe naona ameanza vizuri.
 
Kwan akipatikana na hatia adhabu yake ni ipi maana tujue kwanza kabla izo sheria unazotaka zibadilshwe hazijabadilishwa
Adhabu ni ile ile tu ya wawezeshaji ila kwa hawa wanatoa roho za watu basi wao watafagia maeneo ya kwa mtogore na masoko yote ya DAR!
 
Haswaa maana kuna wahalifu wengi ndani ya chama na serikalini wanakula good time tu
sitaki kuchelea kusema uwo uchunguzi mpaka kumpata huyo jangili papa utakuwa umefanywa na wazungu pia kwasababu ya yule rubani wao aliyetunguliwa
 
Kwanza
Kwa wakristo kuweko msaliti katikati ya watu wa kutumainiwa si kitu cha ajabu.Mbinguni anakoishi Mungu MWENYEWE kulikuwepo msaliti tena kiongozi wa juu sana aliyempa madaraka na kumwamini anaitwa SHETANI.Lakini MUNGU ALIMSHINDA AKAMTUPA CHINI.

Ukija wakati wa Yesu alichagua watu 12 ALIOWAAMINI SANA lakini alikuwepo msaliti YUDA.Yesu ALIMSHINDA.

CCM pia ilikuwa na watu iliowaamini sana viongozi wa juu sana akina Lowasa na akina Kingunge na akina Sumaye LAKINI wakakisaliti chama Lakini CCM ikawashinda tena sana tu.

Na hao wahifadhi wasaliti wa serikali pamoja na wote wanaosaliti serikali ya Magufuli pamoja na kuwa wameaminiwa kwenye hizo nafasi wanazosaliti UJumbe wangu kwao ni kuwa Serikali ya Magufuli itawashinda.Hiyo vita ya ujangili lazima serikali hii ya CCM ishinde na wasaliti wote wa siri na wa wazi wajiandae kushindwa.Hii serikali imewekwa na Mungu mwenyewe anayeshindana nayo atakiona cha moto
Hakuna mungu,hata angekuwepo hapigi kura,tatu asingeuawa mzungu kisingefanyika chochote.pili hata mungu angekuwepo kumuhusisha na ccm ni kumuonea kwa anavyopambwa.kuleta siasa za lowassa na mungu sehemu isiyohusika hakukubaliki na mimi.
 
Umenena vema bro ukizingatia polisi wetu ni wazee Wa kukurupuka. Huenda jamaa hahusiki chochote. Anyways, hatukatai ila uchunguzi ufanyike NA haki itendeke. Polisi c ya kuamini sana kwani hata hzo silaa huenda wanawakamatisha tu jamaa elhal wameztoa store kwao. Hawa jamaa watu Wa kick sana

Hao majangili waliokamatwa wanaweza kuamua kumtaja huyo Mhifadhi ili kumharibia maana alikuwa anawabana, chochote kinawezekana, think out of the box !!
E
 
sitaki kuchelea kusema uwo uchunguzi mpaka kumpata huyo jangili papa utakuwa umefanywa na wazungu pia kwasababu ya yule rubani wao aliyetunguliwa
Subirini mengine,dentist naye kingaangoni. Magu harembi
Akomeshwe ataje na wenzie wapo Wengi hao na sote tutabaki midomo wazi.

Na akibanwa vyema atawataja tu wanao mtuma hizo dili naamini kabisa kuna mbuyu huko kwenye system ndio chimbuko la hizi ujangiri..
 
Hivi wewe ulitegemea kazi hii inafanywa na kina nani ??? Jk alazimishwe ataje majina ya vinara wa ujangali walioko Arusha ,Wanaofanya ujangili ndio hao hao tuliowapa dhamana ya kusimamia hifadhi zetu ,vitalu vya uwindaji na maafisa wa serikali

Ndio kisa cha kumuua yule Afisa wa Tanapa Arusha na kumweka kwenye buti na kutuletea stori za mkewe sijui na houseboy ndio wahusika wakuu

Hiyo ina itwa connecting dot.
Swali ni je watuhumiwa wamekamatwa wangapi mpaka leo!



Afisa wa Wanyama Pori TANAPA auawa kwa kuchinjwa kinyam
Images for afisa tanapa auawa
 
Ni ukweli mtupu unachoongea,pili hii vita ya ujangili ni maigizo tuu,kinara mkuu wa hii biashara iv serikali na mkono wake mrefu haimjui?mm i tour guide nawaapia porini haswa kule uwindaji unapofanyika hamnaga hawa maaskar pori ni waoga sana kufukuza moto wa majangili sasa jiulize kama askari ndo serikali porini wanaogopa nn?iv ni lini mara ya mwisho umesikia et haramia kakamatiwa porini?watanzania hatupo makini na chochote sio wewe mimi yule au kiongozi hatuna dira wala hatuwazi what will come next tunashukuru 'a kuangalia hichi cha leo tulichonacho,
 
Back
Top Bottom