Mhhhh!

Mkuu, hapo ndipo nilishikwa na butwaa. Huu mchezo wa ku-control watu wa America wa kuwaonyesha TV za mji unao kaa tu na wakionyesha Habari za US nzima wandai ni world news, ni ukomunisti wa aina fulani.

Kaazi kwer kwer

Yaani ni kichekesho cha hali ya juu. Wengi hata hawajui nchi wanazopakana nazo katika mipaka yao. Tena wengi wana elimu ya kutosha tu kuweza kulijua hili.
 
Ndio maana huwa nawashangaa saana wale wanaosema miafrika ndivyo ilivyo!
Before pia niliwahi kusema kuwa hiyo ni kasumba mbaya na nikatoa mfano wa marekani ambapo viongozi bado wana mikakati ya kuwapatia wananchi maendeleo licha ya ujinga wao...Hata ukiwa na wananchi smart kiasi gani,kama viongozi ni corrupt na wabinafsi, mambo huwa si mambo...Hopefully tutapata viongozi wa kweli one day watakaotupatia maendeleo,ama kweli miongozi yetu ndivyo ilivyo!
 
Nchi gani inaazna na herifu ya U, jamaa anajibu aah I think is Utah, lol.

Nchi gani inaanza na herufi ya T, aaah I think is Tanga, hahahahaha ahaha a a

Kaazi kweli kweli

Mkuu kumbuka hata Sara Palin baada ya kushindwa kwenye kinyanyanyiro cha urais alipoulizwa angependa Obama ampe cheo gani akasema angependa awe balozi wa nchi iitwayo "Afrika". Kwa ujumla wazungu inaonekana jiografia na general knowledge inawapa taabu kidogo.
 
Mkuu hii haina tofauti sana na Tz kwa sasa! Ukizuka kariakoo au posta mpya kwa mtindo huhuu aliitumia huyu jamaa natumaini mambo yatakuwa hayahaya. Kumbuka ile show ya kipanya alivyokuwa anauliza wale vijana wanaotoka sekondari tu hawakuwa na ufahamu hata wa basic things.

Mambo yalikuwa tofauti miaka ya Nyerere kwani elimu ilitolewa kila mahali na wakati. Hata asiyeenda shule alipata habari kwa redio ya taifa, magazeti ya elimu yalikuwa chungu nzima, kwenye nyumba za ibada, na watu walikuwa na moyo wa kusoma vitabu. Leo hii hadi ofisi za wakurugenzi zimetaealiwa na magazeti ya udaku, redio, tv vyote hamna elimu ni burudani tu na wabongo aada ya kzai tunapewa urithi wetu safari na jamii yake na sio elimu. Tunakaa most of the time bar baada ya graduatuion zetu tunapata burudani. Starehe tangu j3 hd 3 nyingine utamaduni wa kuumiza vichwa hatuna na kutafuta maarifa nje ya yale tuliyosomea pia.

Kazi kweli kweli
 
Mkuu kumbuka hata Sara Palin baada ya kushindwa kwenye kinyanyanyiro cha urais alipoulizwa angependa Obama ampe cheo gani akasema angependa awe balozi wa nchi iitwayo "Afrika". Kwa ujumla wazungu inaonekana jiografia na general knowledge inawapa taabu kidogo.

Rais mtarajiwa wa Republican, lol.
 
mbona wengi wao hawajuwi namna ya kujibu hayo Maswali?wengine hawajuwi hata pesa ya Uingereza?hii inafurahisha sana bubu Atakusema .
 
Nawaambia Watanzania wengi sana hawana tofauti na hao watu kwenye hiyo clip!

Hebu nendeni Manyoni muanze kuuliza maswali kama hayo muone majibu mtakayoyapata...
 
Nawaambia Watanzania wengi sana hawana tofauti na hao watu kwenye hiyo clip!

Hebu nendeni Manyoni muanze kuuliza maswali kama hayo muone majibu mtakayoyapata...

But they have access to schools and ''the better educational system''...aint that right?
 
But they have access to schools and ''the better educational system''...aint that right?

Yep...that's right and that's what makes them have world's largest economy and one of the highest standards of living that is the envy of the world. Look at how many immigrants that the US have and look at how many people want to go to the US....
 
Mhhhh, nadhani huko kuna vilaza zaidi ya huku kwetu, tofauti ni kuwa asilimia kubwa ya vilaza wao hawajashika nchi wakati vilaza wetu karibu wote ndo wanashikilia na kutoa maamuzi ya nchi!........
 
Nawaambia Watanzania wengi sana hawana tofauti na hao watu kwenye hiyo clip!

Hebu nendeni Manyoni muanze kuuliza maswali kama hayo muone majibu mtakayoyapata...

Of all the places why manyoni? To compare people with at least high school diploma living in 1st World and people from Manyoni, in my opinion, it is not a fair comparison at all.
 
Of all the places why manyoni? To compare people with at least high school diploma living in 1st World and people from Manyoni, in my opinion, it is not a fair comparison at all.

Bottomline ni kwamba, kila mtu ni mjinga wa kitu fulani kwa sababu maana ya ujinga ni kutojua au kutokufahamu. Toafuti yetu sisi na wao ukiweka ujinga pembeni ni kwamba wao wameweza kutumia vipaji vyao kuyamudu mazingira yao ili kurahisisha maisha yao. Kwa upande wetu sisi tumeshindwa! So who gets the last laugh?
 
I don't think this issue is about who gets the last laugh, but just to show their stupidity when it comes to simple issues on this planet. Name a country that begins with U...Utah, Yugoslavia...LOL! hahahahahahahahahah...Where is the Berlin Wall?....I am still thinking...LOL! Dude just say you don't know...hahahahahahahahahah

Have a great day Nyani :)
 
What they showed is not "stupidity". Stupid people don't enjoy a high standard of living like they do. What they showed was ignorance. Stupidity and ignorance are different. Unless one is stupid, he/she will not know the difference!

Have a wonderful day Bubu
 
lets just say the clip leaves me wondering

But you can get same kind of people (ignorant) everywhere. On top of that the clip is edited. It doesn't show all and sundry. So even drawing a conclusion based on 5 minutes of a video clip or however long it was speaks more about you than the people in it. Think about it. What society doesn't have ignorant people?
 
Nawaambia Watanzania wengi sana hawana tofauti na hao watu kwenye hiyo clip!

Hebu nendeni Manyoni muanze kuuliza maswali kama hayo muone majibu mtakayoyapata...

Nini Manyoni, hapo hapo Dar-es-Salaam. Nimekazania hilo swali la kwanza la name a country whose first letter starts with U, How many Tanzanians will remember that the official name for our country is the United Republic of Tanzania? Na ukisema kwa kiswahili nchi yetu inaanza na J as in Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sasa mtu ukiwa umekaa mahali unafikira vitu vingine halafu ghafla mtu anakuuliza kuwa nitajie nchi ambayo herufi yake ya kwanza ni J kwa kiswahili, nani atakumbuka kuwa Tanzania inaanzia na J?

Haya tuje kwenye majina ya currency, watanzania wangapi wa kawaida ( ambao huwa hawasfiri kama shangazi zetu, mama zetu na watu wengine wengi wanaokaa nje ya Dar wanajua hela ya Zimbabwe ni nini? how about Swaziland, Lesoto, Namibia Zambia na Malawi? Najua wengi humu mnazijua kwa sababu ya usomi wenu, na kusafiri lakini Watanzania wengi hawajui labda wanaoishi mipakani.
 
What they showed is not "stupidity". Stupid people don't enjoy a high standard of living like they do. What they showed was ignorance. Stupidity and ignorance are different. Unless one is stupid, he/she will not know the difference!

Have a wonderful day Bubu

Thanks Nyani ;)....Haya Nyani baadhi ya Miafrika ndivyo ilivyo itaanzisha league hata pale pasipostahili :) What is the currency used in United Kingdom?....American Money....Queen Elizabeth Money....LOL! Nimeona baadhi walionyeshwa hata picha za Marais wao na wengi walishindwa kabisa kuwatambua huyu wa sasa hata waliopita.

Good Day :)
 
Back
Top Bottom