Mhhh haya ya chadema ......

kakini

Senior Member
Mar 31, 2011
197
33
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA) ni cham chenye haki zote ya kukamata dola kwa kuwa na watu makini na wenye uelewa mkubwa wa maendeleo ya nchi yeu kwa ujumla

Kweli katika ahadi zao ni katiba mpya CHADEMA HAKIPO MADARAKANI ila katika siku100 walizo ahidi zimetimia na swala la katiba linafanyiwa kazi na mazuzu wenye magamba

mimi binafsi nakiunga mkono chadema na hapa nilipo kuna kundi kubwa la watu kama milioni 15 wako nyuma ya chadema
 
Huo ndio ukweli. wenzetu hawakuweka suala hilo kwenye ilani yao lakini wanalitekeleza. sijui kwanini waliandaa ilani yao, bora wangekiri tu kuwa ilani yao haitekelezeki na wakubali kuitekeleza ya CDM.
 
Kweli katika ahadi zao ni katiba mpya CHADEMA HAKIPO MADARAKANI ila katika siku100

walizo ahidi zimetimia na swala la katiba linafanyiwa kazi na mazuzu wenye magamba

Kakini u made my day
 
Huo ndio ukweli. wenzetu hawakuweka suala hilo kwenye ilani yao lakini wanalitekeleza. sijui kwanini waliandaa ilani yao, bora wangekiri tu kuwa ilani yao haitekelezeki na wakubali kuitekeleza ya CDM.

Walikuwa hawana Ilani. Mgombea wao walikuwa anaropoka tu chochote anachojisikia kufurahisha umati halafu ndo kinakuja kuchukuliwa kuwa ni ilani. Kama unayo nakala ile ya awali waliyozindua eti ni Ilani ya chama fananisha na ahadi zao wakati wa kampeni.

Kwa mfano, Magembe aliwahi kukaririwa na tv zote na magazeti kwamba ccm ikichaguliwa itatoa elimu bure kuwanzia chekechea hadi chuo kikuu. Lakini kwenye ilani yao ya awali haikuwepo na hata mwanzo wa kampeni zao walikuwa wakiponda hiyo sera kwamba eti chadema hawataweza kuitimiza. Lakini dakika za mwisho walipoona mambo magumu wakairukia
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA) ni cham chenye haki zote ya kukamata dola kwa kuwa na watu makini na wenye uelewa mkubwa wa maendeleo ya nchi yeu kwa ujumla

Kweli katika ahadi zao ni katiba mpya CHADEMA HAKIPO MADARAKANI ila katika siku100 walizo ahidi zimetimia na swala la katiba linafanyiwa kazi na mazuzu wenye magamba

mimi binafsi nakiunga mkono chadema na hapa nilipo kuna kundi kubwa la watu kama milioni 15 wako nyuma ya chadema
kinyesi!
 
Chadema waliahidi kuanza mchakato wa Katiba Mpya ndani ya Siku 100..,CCM wamechakachua wameanza mchakato wa Kureview katiba ndani ya siku 100..!
 
Kwani kuna ubaya kwa chama tawala ku2mia sera za CDM wakuu?

hakuna ubaya ni vizuri sana kwa mstakabali wa maendeleo yetu sote ila inaonaesha ni kiasi gani CDM wako dedicated na maendeleo than magamba maana magamba wao namskia NAPKIN NAULI anasema wao wamependekeza swala la katiba asifikiri anaongea na watu wenye ufkiri kama wake
 
Back
Top Bottom