mhh nimechoka wala sijafika mbali?

The secretary ndio tunajuana shule too wala hamna mmoja kati yetu anopajua kwa mwenzie maana enzi izo hatukuwa wapenzi wala rafiki classmate too haya yote yameanza online

mbona unajichanganya sasa? Ebu kaa utulie then ujue unataka nini then fanyia maamuzi.
 
Last edited by a moderator:
mbona mimi nipo Mongolia na yeye yupo Yaeda lakini tunapendana.......? nimekumiss halafu ujue....
Halafu wewe baada ya kuwa umezamia Mongolia umeadimika sana. Na mimi nimekumiss kinoma yani, mwambie Mtu Chake asikambe mpaka penati...!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom