mhh! hii kali

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,400
mimi mweusi lakini huyu kazidi


attachment.php



mweusi.jpg
 
jamani kuna watu weusi.
kuna mkaka nilimuona majuzi ni mweusi kuliko huyu,yaani ukimuona utadhani kajipaka rangi nyeusi.
wenzetu mungu kawakoleza rangi.
 
Huyu itakuwa vizuri kama atahakikisha anapotembea usiku meno yake yawe nje wakati wote ili kuepusha ajali.
 
Hahhahahah! Iwe! Kaka zangu na anko zangu weusi ila huyu noumer, huyu ndo anaelezea maana ya "nyeusi" kah! Wengine tunaiga tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom