Elections 2010 Mheshmiwa Dr. Augustino Lyatonga Mrema ni mfano wa kuingwa!

Brain kama ya dovutwa


images

Mwenyekiti wa maisha wa TiEluPii..
 
Je umaarufu wa Dr Slaa umetokana na nn? Siasa za majitaka au kuzomea ama maandamano ? Hana historia ya siasa ktk nchi hii ukilinganisha na hao wengine, kilichompa umaarufu ni bunge akiwa M/kiti wa kamati aliyepo Mrema na aliyemtengenezea umaarufu zaidi ni Spika Sitta !!! UNABISHA??? Kuporomoka kwa hao wengine si kwa sababu ya kugundulika ushiriki wao kwa ccm bali ni alama za nyakati! Angalia sana usiwe unalaumu holiscally!!! Nanai anaihadaa dunia kwa faida ya nani? Demeokrsaia ya vyama vingi ni mfumo kwa nyakati hizi na SItta aliusimamia ndiyo maana akchaguliwa Rais wa Commonwealth Spikas!!!!
TAKE NOTE!!!

Nabisha,kama Sita alikuwa ana uwezo huo kwanini hakuwatengenezea wabunge wote huo 'umaarufu'..?
Kama kuna kiongozi aliyejitahidi kuwaamsha usingizini watanzania katika zama hizi Dr Slaa kafanya nafasi yake,lazima mkubali enzi za kutawala nchi kama duka binafsi zinapitwa na wakati.Ushiriki wa wananchi ndo kitu muhimu na hakiepukiki haswa kipindi hiki cha kuongezeka kwa ukubwa wa tabaka kati ya walio nacho na akina kapuku..
 
Kaka Dr Slaa huwezi mfananisha na mzee wa Kiraracha. Mrema yeye anataka cheap popularity. unadhani kuna mtu anaweza katwa mshahara wake kwa kelele za Mrema. Si kirahisi kama unavyofikiria
:A S 103:
 
Kamati za bunge kazi yake ni kushauri na si utendaji......kutoa maagizo kama kukata mshahara wa mtu ni suala la kiutendaji zaidi
 
Muige wewe mimi sitaki wala sioni kama ana jambo lolote la maana alilofanya.. acha upuuzi wako
 
Wana JF naxchukua fursa hii kuwakumbusha uongozi wa uadilifu wa Dr. Lyatonga Mrema katika kamati ya serikali za mitaa kwa namna anavyotekeleza majukumu yakeb tofauti na watangulizi wake katika kamatii husika, Akiwemo Dr. Slaa ambaye katika kipindi chake hakuwa na uthubutu wa kuwakata mishahara watumishi wa local govt. Kwa haraka haraka inaonyesha Mheshmiwa Dr. Mrema amerudisha nidhamu kwa watumishi wa serikali za mitaa kuhusu kuingia mikataba.
Huna uhakika na unachokinena, hujui alichofanya Dr Slaa kwenye kamati hiyo.
 
tatizo chadema wengi humu jf. wanataka dk slaa apate sifa zote na chadema peke yao acheni roho za korosho, mpeni mrema sifa anayostahili. chuki na matusi ya nini...
 
jf is not 4 great thinker anymore. ni genge la wahuni. mrema does not deserve these comment. baba zenu hawamfiki nusu ya matendo ya mrema lakini wanaropokoka. mie naona mrema achukulie hatua jf kwa matusi anayotukanwa huku jf. there some member should be ban from posting comment.
 
Back
Top Bottom