Mheshimiwa Rais, tafadhali soma hapa!

Mdau

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,789
470
Nimetumwa na wenzangu Kijiweni,hapa kwenye kona kama unaelekea kwa upande wa pili wa mtaa...wanaulizia yafuatayo:

1. Eti bado una yale majina ya ile sensa ya wale waliotajwa na waTz kwamba ni washiriki wa makosa mbalimbali ya kijinai katika ile sensa ya kipindi kileee??

2. Eti ni kweli wafanyakazi wa serikali yako hawana morali kabisa??

3. Eti ni kweli tutashindwa kuwa na uwezo wa kununua hata mlo mmoja kwa siku??

4. Eti wanauliza ukimaliza muda wako wakukumbuke kwa kipi??

Actually wana maswali mengi sana,afu wanauliza bila mpangilio,hata mengine nimeyasahu, nikienda tena nitayaandika vizuri kisha nitakuja kukupostia hapa jeiefu..ubarikiwe!!
 
Let me get my machine gun; I want to go for a walk around Magogoni front beach!! The weekend has just started and my fridge is running out of the lagers.
 
Nimetumwa na wenzangu Kijiweni,hapa kwenye kona kama unaelekea kwa upande wa pili wa mtaa...wanaulizia yafuatayo:

1. Eti bado una yale majina ya ile sensa ya wale waliotajwa na waTz kwamba ni washiriki wa makosa mbalimbali ya kijinai katika ile sensa ya kipindi kileee??

2. Eti ni kweli wafanyakazi wa serikali yako hawana morali kabisa??

3. Eti ni kweli tutashindwa kuwa na uwezo wa kununua hata mlo mmoja kwa siku??

4. Eti wanauliza ukimaliza muda wako wakukumbuke kwa kipi??

Actually wana maswali mengi sana,afu wanauliza bila mpangilio,hata mengine nimeyasahu, nikienda tena nitayaandika vizuri kisha nitakuja kukupostia hapa jeiefu..ubarikiwe!!

Alishaji jibu hili nataka wanikumbuke kuwa niliwakuta hapa na kuwapeleka pale---hata ukirudishwa nyuma kimaendeleo usishangae lengo alikuta hapa akupeleke pale
 
Baba rz1, full kujichekesha hata pasipochekesha, aliekukaririsha kwamba kuchekacheka huko ndo kutaleta huruma kwako sahau, ipo siku utakuwa unachekea selo
 
Jinamizi la wanamtandao linamsumbua kwani hao aliwagawia vyeo ndio waliofanikisha kuwapo kwake madarakani na ndio haohao wanaofanya madudu kila kukicha na hawaishi vinywani mwa watu kwa tuhuma za ufisadi,EPA,Deep GREEN,Kiwira,MEREMETA,madawa ya kulevya nk
KIUKWELI anawaogopa watamuumbua,na bahati mbaya wasaidizi wake kuanzia makamu,waziri mkuu na spika wote ni makondoo hakuna anayethubutu hata kumkosoa,afadhali ya Sitta alimwambia awe MKALI kidogo!
Anasahau kwamba ipo siku nae atakuwa raia wa kawaida kabisa,nadhani amuulize Kaunda ile katiba mbovu aliyoikumbatia Zambia alipoingia Chiluba akamchapa nayo
Kosa linatokea mara mbili bado unawachekea watendaji wako je wewe ni Raisi ama mhujumu mwenzao?
 
Naunawapongeza kwa kazi nzuri! ya kuuuzima maboom kati ya maghara 22, 21 yameteketea hata ukitafuta percent hapo mkuuu upuuuzi!
NDO MAANA NASEMA PUMBAVU ZENU!
 
[/B][/COLOR] Naunawapongeza kwa kazi nzuri! ya kuuuzima maboom kati ya maghara 22, 21 yameteketea hata ukitafuta percent hapo mkuuu upuuuzi!
NDO MAANA NASEMA PUMBAVU ZENU!
Mkuu wenye akili ndefundefu walimuelewa!
 
Je, anayo orodha ya watoto wa mtaani ambao miaka kadhaa itakayokuja ndio watakuwa vibaka na hata majambazi na wakati yeye atakuwa amepumzika kule kwenye mahekalu yake pwani akiendelea kulindwa na askari hodari na sisi walala hoi tukiendelea kula roba za mbao?...kama hajui hajui tu.
 
yAANI UKIONA UNAISHI KWA RAHA NCHI HII UJUE AKILI YAKO INAMATATIZO!
 
mkwere ww ni rais loser kama division ni 0, unatabasamu na kucheka wakati wananchi wanalia na kusaga meno! Unasema ooh at hayo ni maumbile yako (hotuba ya kwanza bungeni kama rais). Mbona maumbile yako yalikuwa serious wakati wafanyakazi wanatishia kugoma wakati huo una ugeni wa kimataifa ukajua watakudhalilisha! Ukawatishia wafanyakazi kumbe unaogopa fedheha ya wafadhili. Hivi ww unakerekwa na hali ya wa tz? mkwere you are a loser as a president
 
Unamwmbia kikwete asome..................afadhari usingeandika heading yako hivyo labda akina salva wangemsomea na kumpa taarifa au inteligensia wangemsaidia pia.............lkn kwa style hii wataogopa tu kusoma kwa hiyo mwisho wa siku utakuwa hujasomek
 
Kuna maswali magumu sana, anachoweza kufanya kwakweli ni kuongeza accountability kwa viongozi wa taasisi za umma na pia viongozi wa serikalini..

kuna vitu vingine vidogo sana hata mtendaji tu angekuwa anawajibika visingetokea!

Shame on govt!
 
salva akisoma anamwambia watu wanakusfifia sana bishomire veri excelent presidenti
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom