mheshimiwa pinda:ratiba yangu ya leo

baada ya jana kutuonesha kweli umepinda na ukatumia vitisho kuturudisha kazini nimeona nikuelezee ratiba yangu ya leo.
Nimeamka saa tatu kasorobo asubuhi nikakaa kwenye computer kuprint cv.by saa nne nilifika mwenge nikaenda uchochoro fulani kupata supu na chapati.nikapeleka cv kwenye private hospital nne.mida hii nipo valentino pub napata konyagi na bitter lemon bariiiiiiiiidi na sambusa za buku mbili nikisubiria barua yako ya kunifukuza kazi.nikiondoka ntakutaarifu.pole kwa kazi za kujenga taifa
ratiba yako ni nzuri sana.
komaeni bana msikate tamaa yan mkirudi nyuma nitawashangaa, komaeni hadi kieleweka ! kitaeleweka tu very soon coz nyie ni watu muhimu sana.
 
baada ya jana kutuonesha kweli umepinda na ukatumia vitisho kuturudisha kazini nimeona nikuelezee ratiba yangu ya leo.
Nimeamka saa tatu kasorobo asubuhi nikakaa kwenye computer kuprint cv.by saa nne nilifika mwenge nikaenda uchochoro fulani kupata supu na chapati.nikapeleka cv kwenye private hospital nne.mida hii nipo valentino pub napata konyagi na bitter lemon bariiiiiiiiidi na sambusa za buku mbili nikisubiria barua yako ya kunifukuza kazi.nikiondoka ntakutaarifu.pole kwa kazi za kujenga taifa

Dr. Chichi, very good, stick to your guns until this corrupt government surrenders! You have a majority support.
 
Pinda karata aliyorusha jana inaonekana ndio ya mwisho kabisa ila aliwarushia wrong people, nahisi alifikiri yuko shule ya vidudu. Nasikitika alipoteza muda wake pamoja na wa viongozi waliomsikiliza na watanzania tuliokuwa tunaangalia luninga kwa matumaini kuwa kiongozi aliyebakia mwenye busara alikuwa yeye. Unfortunately amepoteza ile fursa kwa kuongea kwa frequency ambazo ni heri hata angemtafuta mjumbe wa nyumba kumi pale Magomeni makuti akamwakilisha.
 
umeenda na kobe wako?
avatar10505_3.gif

Bila shaka.
 
Kazeni buti, tuko nyuma yenu. Msikubali kuyumbishwa na viongozi wabinafsi kama Pinda.. Komaeni mpaka kieleweke, wamezoea kuwatisha waalimu!
 
Hah.............................akiipata hii ataamuru Mahospital ya Private marufuku kuajiri madaktari kwa muda wa miezi sita
Akizuia hilo labda wataanza biashara ya kuzichoropoa za wanafunzi na wa kwenye ndoa ambao wamepata "kwa bahati mbaya" na bila kutegemea. Si mnajuwa wapo wengi sana ila tu hawatangazwi?
 
yangu macho... let us be patient where patience is violated every moment ... ni hayo tu
 
Saa nne asubuhi na chupa ya konyagi..sijui mida hii utwakuwa na hali gani dr chichi
all the best
 
baada ya jana kutuonesha kweli umepinda na ukatumia vitisho kuturudisha kazini nimeona nikuelezee ratiba yangu ya leo.
Nimeamka saa tatu kasorobo asubuhi nikakaa kwenye computer kuprint cv.by saa nne nilifika mwenge nikaenda uchochoro fulani kupata supu na chapati.nikapeleka cv kwenye private hospital nne.mida hii nipo valentino pub napata konyagi na bitter lemon bariiiiiiiiidi na sambusa za buku mbili nikisubiria barua yako ya kunifukuza kazi.nikiondoka ntakutaarifu.pole kwa kazi za kujenga taifa

ha ha haaaa!! Duh! Serikali mwaka huu itakiona cha moto na huu ni mwanzo tu.
 
Chichi bomba sana ila angalia usilewe maana walevi huwa wana tabia ya kutoa siri zao isije jirani akawa amekaa mtu TISS akawaambia watu kwamba na wewe ni kama Ulimboka hujamaliza Internship yako. LOL
tiss ndio nn?

Btw kazi ya ulimboka haihitaji medicine licence sio kila dr anafanya tiba... Ni kama kigwangallah.. Hata aakimfuta mat hapotezi kazi yake
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom