Zing
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 1,767
- 470
Mkuu soma vizuri ndio utaona tatizo la heading na mtazamo wako usio sahihi. Hata hiyo link uliyoweka inaonyesha wewe bado unatumia vigezo vya tradition na definition zilizotumika wakati wa past na si present.Step-through frame
Traditionally, bicycles with a step-through frame were known as "Ladies'", "Women's" or "Girls'", mainly for their advantage to riders wearing skirts or dresses. Bicycles with a high top tube (cross-bar), known as a diamond frame, were known as "Men's", "Gents'" or "Boys'". However, since the late 20th century, clothing has become less stereotyped and gender-based descriptions are now often seen as assumptive. Gender-neutral descriptions which describe the frame style, rather than the presumed gender of the rider, are increasingly common. This change acknowledges the fact that restrictions upon an individual's mobility may be due to a physical impairment as well as clothing worn by both men and women (long overcoats, rain garments).
Ndio maana nasema mtu kama wewe ukipewa maamuzi ya kumnunulia waziri wa kiume gari hutaunua vitara just bcs traditionaly watanzania waniita kitcehn party . Tubadilike
Hizo unaziita za zike zinaweza kuwafaa wamasai wa kiume wanazovaa mavazi yao ya asili. so mavazi ndo yaweza kudetermine baiskeli gani inafaa sio jinsia . Soma vizuri link uliyoweka