Mheshimiwa na baiskeli ya kike!!

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
05_11_5eqh3y.jpg
 
jamaa hazijui unajua yy ameshazoea phonix za kpnd kileeeee......ndo aksema ajaribu hizi mpya...!!!!!
 
jamaa hazijui unajua yy ameshazoea phonix za kpnd kileeeee......ndo aksema ajaribu hizi mpya...!!!!!
Hana watoto wakumwambia "baba hiyo mwachie mama".Inaoneka kama ndio alikuwa anajifunza kuride hapo.Wenzake wame relax, Magufuli kama kachorewa mstari chini.
 
hiyo baisikeli ya kuendea dukani, ukinunua vitu unaweka kwenye kikapu ndiyo matumizi yake. wabongo walibambika jina ya kike kwavile walikuwa wanawaona wazungu wanawake mitaa kazaa wakiendea kununua vitu na kueka kwenye kikapu. basi jina likabambikwa wengine bila hata kufikiria wanazania ni ya kike tuu….
 
Taabu yetu waBongo baiskeli tumekuwa tukiona Phoenix na Raleigh...Na ziote zilikuwa baiskeli za kazi!! Sasa hii kuwa na kikapu cha kubebea mzigo mbele jamaa wameeshaamua kuiita ya KIKE!!!!! Ingekuwa haina ile FRAME ya kati (toka kwenye kiti kwenda kwenye usukani) ndiyo walau ingeitwa ya kike kwa kuwa kwa uzoefu wangu hizo ndiyo kawaida hutumiwa zaidi na akina dada!!! Kigezo cha kikapu hakitoshi kuiita baiskeli ya Mh kuwa ya KIKE:)
 
hakuna mahala ilipoandikwa kwamba ni ya kike.mtu yoyote anaweza kuendesha.kikapu kazi yake kubeba mzigo ulionao.
 
  • mleta mada kwa nini umesema baiskeli ya kike. Je inaweza kupata mimba.

  • Je waheshimiwa wanaptumia VX badala ya VITARAau RAV4 sababu vitara nazo wenye mawazo finyu wanazizita kitchen party utawashangaa ?

So sometime kumbe tunawarushia mawe wanasiasa ila hata sisi tukipata nafasi mambo ni yale yale. KWa kuandika neno baiskeli ya ike i can see utakapokuwa kwenye postion ya kuamua kununua VX au vitara kwa mfanyakazi wa umma anayeishi masaki. Kama ni mwanaume VX kama ni mwanamke ........


Kweli kazi tunayo kama mawazo yenyewe ni haya .........

BTN.
Hapo jamaa wanawfundisha wanasiasa kuwa kuendesha baiksekeli maybe hata pikipiki sio kundoa status ya cheo .kwanza ni kujeng afya pili ni uonyesha unajali mazigira. Its only wanasasia wakifrika baiskeli /pikipiki ni msamiati .
Hivi ni vitu vidogo lakini vikifanywa na wasiasa japo mara moja kwa wiki vinaweza kuleta change. Hata kupunguza kero ya foleni
 
  • mleta mada kwa nini umesema baiskeli ya kike. Je inaweza kupata mimba.
  • Je waheshimiwa wanaptumia VX badala ya VITARAau RAV4 sababu vitara nazo wenye mawazo finyu wanazizita kitchen party utawashangaa ?
So sometime kumbe tunawarushia mawe wanasiasa ila hata sisi tukipata nafasi mambo ni yale yale. KWa kuandika neno baiskeli ya ike i can see utakapokuwa kwenye postion ya kuamua kununua VX au vitara kwa mfanyakazi wa umma anayeishi masaki. Kama ni mwanaume VX kama ni mwanamke ........


Kweli kazi tunayo kama mawazo yenyewe ni haya .........

BTN.
Hapo jamaa wanawfundisha wanasiasa kuwa kuendesha baiksekeli maybe hata pikipiki sio kundoa status ya cheo .kwanza ni kujeng afya pili ni uonyesha unajali mazigira. Its only wanasasia wakifrika baiskeli /pikipiki ni msamiati .Hivi ni vitu vidogo lakini vikifanywa na wasiasa japo mara moja kwa wiki vinaweza kuleta change. Hata kupunguza kero ya foleni

Step-through frame

<!-- /firstHeading --><!-- bodyContent --><!-- tagline -->From Wikipedia, the free encyclopedia
<!-- /tagline --><!-- subtitle -->
<!-- /subtitle --><!-- jumpto -->Jump to: navigation, search
<!-- /jumpto --><!-- bodytext -->This article is about a type of bicycle frame. For step-through motorcycles, see Underbone.





Woman with a step-through frame bicycle in the 1890s


A step-through frame (aka low-step frame) is a type of bicycle frame, often used for utility bicycles, with a low or absent top tube or cross-bar.<SUP id=cite_ref-0 class=reference>[1]</SUP><SUP id=cite_ref-1 class=reference>[2]</SUP>
Traditionally, bicycles with a step-through frame were known as "Ladies'", "Women's" or "Girls'", mainly for their advantage to riders wearing skirts or dresses. Bicycles with a high top tube (cross-bar), known as a diamond frame, were known as "Men's", "Gents'" or "Boys'". However, since the late 20th century, clothing has become less stereotyped and gender-based descriptions are now often seen as assumptive. Gender-neutral descriptions which describe the frame style, rather than the presumed gender of the rider, are increasingly common. This change acknowledges the fact that restrictions upon an individual's mobility may be due to a physical impairment as well as clothing worn by both men and women (long overcoats, rain garments).
 
Back
Top Bottom