Mheshimiwa Lowasa baada ya matokeo ya Arumeru unasemaje? Hapo vipi?

kimalando

Senior Member
Jan 6, 2011
114
17
Mheshimiwa huyu alitumia single hii kumnadi mkwewe. Atokee sasa uwanjani baada ya matokeo aendeleze single yake hii nadhani atapata wateja.
 
Alisema amerudi na yuko tayari kwa mapambano sasa sijuhi siraha zake ziliibwa kabla hazijafikishwa site,ama kweli huyu mzee anaumwa tena sana

Hapo POOOOOOOWA Sana!!
 
Hawezi kuongea chochote, pressure inapanda pressure inashuka. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeees poweeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrr mpaka Monduli mvunguni mwa kitanda alikoenda kujificha kwa aibu. SHAME SHAME SHAME kwa CCM na magamba wote
 
chanzo cha kushindwa CCM huko Arumeru ni kumtumia Lowassa jukwaani kwenye kampeni hizo za Ubunge.
 
Mheshimiwa huyu alitumia single hii kumnadi mkwewe. Atokee sasa uwanjani baada ya matokeo aendeleze single yake hii nadhani atapata wateja.

Mheshimiwa kwa lipi!!!!!!!!!!???? Ebu sema Lowassa, acheni upuuzi bwn. Mtu ametuhumiwa kwa makosa lukuki hii ya kuendelea kumtukuza inatoka wapi bwn?

Alafu kule akuwepo Lowassa peke yake, Ongelea viongozi wote na chama cha CCM. Na JK yumo. Wewe unatuletea Lowassa tuamini kuwa wale watoa matusi wengine hawakuwepo.....?????
 
na hao watoa matusi ndio tunaowataka hapa!!! akina lusinde!! n.k

kwanza lowasa asingethubutu kuongea kwa vile ameukana umeru akajibandika umasai na wakati yeye ni mmeru. alishawakana ndugu zake wameru. baba yake mmeru na mama mmasai
 
Back
Top Bottom