Mheshimiwa Kiwia Kutoa ushahidi wa waliotaka kumuuwa

Kiwia amemtaja live bungeni kuwa anahusika kwani siku ya tukio gari la mh. Hewa lake lilikuwepo eneo la tukio, na ameahidi kuwasilisha ushahidi na majina ya washukiwa wengine

Vipi mkuu, Kiswahili kinakupiga chenga nini?...
 
Kiwia amemtaja live bungeni kuwa anahusika kwani siku ya tukio gari la mh. Hewa lake lilikuwepo eneo la tukio, na ameahidi kuwasilisha ushahidi na majina ya washukiwa wengine

mbona taarifa yako iko 0.5? Hata source haina!.Kaka vp weka full habari!
 
Kiwia hajafa bado yuko hai na yuko bungeni,zaidi ni kwamba alipovamiwa kabla ya uchaguzi wa diwani huko kata ya Kirumba aliletwa Mhimbili kwa matibabu yeye na mh Machemli,lakini kwa sababu yeye aliumia zaidi,ilibidi apelekwe India kwa ajili ya uchunguzi na matibabu zaidi.na leo yupo bungeni na lichokieleza leo baada ya Lukuvi kuomba kutoa taarifa kwa mzungumzaji,Naibu spika alimruhusu Lukuvi ndipo alipoomba aseme wale waliokuwa wamepanga njama ya kumuua na ambao wanaendelea na uratibu wa njama hizo za kutaka kumuua.

Mh Kiwia akasimama na kutaja kiashiria kimojawapo ambacho ni gari la Mbunge wa viti maalum CCM kutoka Mwanza mjinililikuwepo pale eneo la tukio ambapo Mh Highness alipokuwa akishambuliwa,na hivyo hiyo inatoa ushahidi tosha kuwa kuwepo kwa gari hilo eneo la tukio ni kielelzo tosha kuwa Mh Maria Hewa alihusika na njama hizo za kutaka kumuua Kiwia.
 
Kiwia amemtaja live bungeni kuwa anahusika kwani siku ya tukio gari la mh. Hewa lake lilikuwepo eneo la tukio, na ameahidi kuwasilisha ushahidi na majina ya washukiwa wengine

Tulia ndiyo uandike habari, unatusababishie pressure kupanda!!!!
 
Siwezi shangaa huyo mama kuhusishwa na hizo njama. Hata akiwa anachangia hoja bungeni huwa anaonyesha chuki ya wazi kwa wapinzani! Ni kati ya wana CCM malimbukeni wasioelewa misingi ya demokrasia ya vyama vingi!
 
hakuna haja ya kupeleka ushaidi, hapoinatakiwa ziku ya kutoa ushaidi, aompe kwanza ushaidi wa lema utolewe kwanza, ili kuwa na imani na spika. mahakama zenyewe zinatumiwa sembuze bunge
 
Back
Top Bottom