Mheshimiwa Kikwete - Ninajua aliko Balali

umeanza mwenyewe kuwa unajua where balali is....lakini ur just rambling in your sentences with no any explaination,hapa naona ni usanii tuu unaendelea la sivyo jibu swali u just started.

Nimesema kuwa najua aliko Balali na nimempa Kikwete nafasi ya kujua kila kitu kuhusu Balali first hand (just in case alikuwa hajui hili).

Katika situation ambayo kuna kundi la watu mashuhuri linataka kuona mtu fulani akiwa amekufa, inabidi hao wanaosubiria kifo cha Balali waendelee kupandwa pressure na mizuka.

Kikwete kwa vile ameahidi kushughulikia hili na kutoa report kwa wananchi hivi karibuni, natumaini atatumia hii nafasi kusafisha uovu wote unaomzunguka katika issue ya Balali!
 
hivi kuna uwezekano kweli hao wakubwa hawajui kabisa alipo!!! mi nadhani wanajua kwahiyo we tuambie tu alipo dada angu
 
NAPINGANA NA KAULI YA MUUNGWANAS KUWA ALIJIANDAA ZAIDI YA MIAKA KUMI KUWA RAIS..KUNA TATIZO KAMA ALIJIANDAA MIAKA YOTE HIYO KULIKONI AKASHINDWAA KUTUANDALIA FIRST LADY,AKASHINWA HATA KUMPELEKA ZIARA ZA KUOSHA MACHO...NA HATA ENGLISH COURSE NJE...HATA KAMA NI KUKUZA LUGHA KUSHINDWA KUONGEA KINGEREZA FASAHA.Jamani mbona unakuwa mgumu kuelewa wewe?.si umesikia alikuwa na mpango wa kumpiga chini awe na dad wa RA?SASA NDIO MANA HAKUMPELEKA SHULE, KAKA PHILE
 
Mimi nafikiri swala hapa sio kujua kuongea kiingereza, la hasha, swala ni elimu ya mama Salma.JK amekuwa waziri kwa muda mrefu sana wa nchi yetu, hususan waziri wa mambo ya nje kwa miaka kumi. Sasa swali ni kwamba inakuwaje kiongozi mwandamizi wa serikali anakuwa na mke mwenye elimu duni (mwalimu wa shule ya msingi kwa muda huu wote)? JK ameshindwa kumhamasisha mke kusoma atakuwa na moyo wa kuwaendeleza watanzania kweli? kuna usemi usemao 'charity begins at home' sasa mkuu ameshindwa nyumbani kwake ataweza kwa taifa letu? kama mama Salma angejiendeleza kielimu, asingetupa aibu ya kuongea kiswahili wakati ameenda kuomba msaada wa NGO yake.

Kuwa mwalimu wa shule ya msingi ndiko kuwa na elimu duni? Tafadhali tuheshimuni kazi za watu jamani! Mwalimu wa shule ya msingi ndiye aliyekuwekea wewe msingi wa elimu uliyonayo, na ndiye anayeendelea kuelimisha wanetu kila siku huko mashuleni, leo unambeza unasema ni elimu duni? Kwa hiyo ulitaka awe nani ili useme ana elimu bora (maana "duni" ni kinyume cha "bora"). Hivi ubora wa elimu aliyo nayo mtu unatokana na cheti alicho nacho? Kwamba mwenye shahada ya uzamili ana elimu "bora" na mwenye cheti cha ualimu wa shule ya msingi ana elimu "duni"? Hii tabia ya kudharau kazi za wengine ni ulimbukeni usiomithilika! Unashindwa nini kuona kuwa uduni wa elimu upo katika kila ngazi ya elimu, yaani katika elimu ya msingi kuna duni na bora, sekondari pia kuna duni na bora, na hata vyuo vikuu kuna duni na bora. Usishangae kukuta mtu mwenye elimu duni ya sekondari akawa na ufahamu duni kuliko yule aliyepata elimu bora ya msingi. Na usidhani kuwa watu wote waliosoma katika taasisi zinazojiita "university" na kupewa vyeti vyenye majina ya "shahada" basi wana elimu ya chuo kikuu, wengine bado elimu yao ni ileile ya high school baada ya kukutana na elimu "duni" katika vyuo walivyoenda.

Sijapendezwa hata kidogo na hii kauli ya kutaja kuwa elimu ya mtu ni "duni" ati tu kwa kuwa ni mwalimu wa shule ya msingi. Ni dharau, mabezo, na ni tusi kabisa, waungwana hawafanyi hivi.
 
Hata ukifanikiwa kumuonyesha aliko Daudi nafikiri kwasasa isitumike garama kubwa kumtafta kwani pia hata Andrea Chenge,Richmond na wengineo wanajulikana walipo,tuanze na walioko hapa karibu.Mwambieni aje,yawezekana watatokea walaji zaidi yake kadri mda unavyoenda,asiogope watasaidiana kusukumiana mzigo mpaka watakapopatikana na hatia.Kwakuwa hii ni made in Tanzania bila watasahaulika tu
 
Yuko hapa hapa marekani!aende wapi zaidi?Last time wamarekani walitaka kumrudisha lakini serikali inasema wanasubiri mpaka ripoti kamili itolewe!Hopefully atakuwa bado hai kwani akifa na kesi inaweza ikafa!Ndiyo maana nasisitiza kuwa kwanini watanzania wote tulioko hapa US tusifungue kesi na jaji am summon aje kujibu mashtaka?Serikali ya marekani iko radhi kuisikiliza serikali yetu..je iko radhi kuvisikiliza vilio vya wanyonge ambao ni wananchi wake?Ladies and gents i am looking at this possibility...as in if we can file a motion on behalf of the citizens of Tanzania to be able to ask his excellence former leader of our central bank some very important questions!questions that can be used as a valid an valuable evidence against all those who stole the enermous amount of money from the poor citizens!Money that was appropriated specifically for paying off the foreign debts!paying the debts even though we cant even feed our kids and or ourselves!
 
Wanataka waimalize nchi vyema kwa kubadilishana safari, akirudi mama, baba aondoka makubwa haya mbona tutapigika kisawasawa safari hii!!! yetu macho ila inauma kwasababu hizo hela zingenunua vitanda kadhaa muhimbili wagonjwa wapone kulala chini!!
Mkereketwa.
 
Je alikuwa na mkalimani wakati anawasilisha kwa kiswahili? kama alikuwa na mkalimani ni sawa,and I hope she had one. Well,ila kwakweli hapo ndio tunapoambiwa watz lets step out of our comfort ZONE and be real! Tujifunze hii lugha ya wenzetu esp. kwavile we still need them for our development!Hata First Lady kama yuko serious about it anaweza kujifunza English kwa kutumia private tutor, is possible the question is does she want to do it? au ataendelea kubonga kiswahili kwenye International meetings & conferences mpaka lini??
Mimi nafikiri swala hapa sio kujua kuongea kiingereza, la hasha, swala ni elimu ya mama Salma.JK amekuwa waziri kwa muda mrefu sana wa nchi yetu, hususan waziri wa mambo ya nje kwa miaka kumi. Sasa swali ni kwamba inakuwaje kiongozi mwandamizi wa serikali anakuwa na mke mwenye elimu duni (mwalimu wa shule ya msingi kwa muda huu wote)? JK ameshindwa kumhamasisha mke kusoma atakuwa na moyo wa kuwaendeleza watanzania kweli? kuna usemi usemao 'charity begins at home' sasa mkuu ameshindwa nyumbani kwake ataweza kwa taifa letu? kama mama Salma angejiendeleza kielimu, asingetupa aibu ya kuongea kiswahili wakati ameenda kuomba msaada wa NGO yake.
 
Kuwa mwalimu wa shule ya msingi ndiko kuwa na elimu duni? Tafadhali tuheshimuni kazi za watu jamani! Mwalimu wa shule ya msingi ndiye aliyekuwekea wewe msingi wa elimu uliyonayo, na ndiye anayeendelea kuelimisha wanetu kila siku huko mashuleni, leo unambeza unasema ni elimu duni? Kwa hiyo ulitaka awe nani ili useme ana elimu bora (maana "duni" ni kinyume cha "bora"). Hivi ubora wa elimu aliyo nayo mtu unatokana na cheti alicho nacho? Kwamba mwenye shahada ya uzamili ana elimu "bora" na mwenye cheti cha ualimu wa shule ya msingi ana elimu "duni"? Hii tabia ya kudharau kazi za wengine ni ulimbukeni usiomithilika! Unashindwa nini kuona kuwa uduni wa elimu upo katika kila ngazi ya elimu, yaani katika elimu ya msingi kuna duni na bora, sekondari pia kuna duni na bora, na hata vyuo vikuu kuna duni na bora. Usishangae kukuta mtu mwenye elimu duni ya sekondari akawa na ufahamu duni kuliko yule aliyepata elimu bora ya msingi. Na usidhani kuwa watu wote waliosoma katika taasisi zinazojiita "university" na kupewa vyeti vyenye majina ya "shahada" basi wana elimu ya chuo kikuu, wengine bado elimu yao ni ileile ya high school baada ya kukutana na elimu "duni" katika vyuo walivyoenda.

Sijapendezwa hata kidogo na hii kauli ya kutaja kuwa elimu ya mtu ni "duni" ati tu kwa kuwa ni mwalimu wa shule ya msingi. Ni dharau, mabezo, na ni tusi kabisa, waungwana hawafanyi hivi.

Kithuku,

Nafikiri hujanielewa, siwezi hata siku moja kuwadharau walimu wa shule ya msingi, samahani kama nimeeleweka hivyo. Hoja yangu ni kujiendelezakielimu, kama mwalimu ni grade C au mwenye certificate, nategemea ajiendeleze apate diploma na baadae ajiendeze zaidi apate shahada ya chuo kikuu. Walimu wengi wamefanya hivyo, kwa nini mama Salma ameshindwa kujiendeleza? Hoja yangu ni kwamba kama angejiendeleza kielimu kuzungumza kiingereza isingekuwa issue, angeweza kuamua kuzungumza kiswahili au kiingereza as she wishes, and no body will question. Sasa hivi anashindwa kuzungumza kiingereza kwa sababu hajaona umuhimu wa kujiendeleza kielimu. Nafikiri sasa nimeeleweka.
 
Mheshimwa Kikwete,

Kwa mujibu wa habari zinazodondoka hapa JF kuwa unakuja tena US kwa safari zako za kawaida. Kwa mikono miwili na heshima nyingi, wana JF wa USA tunakukaribisha tena kuja kula mbwa wa moto (hot dogs) na kucheza mpira wa kurushwa na kupigwa na gongo lenye umbo la kuchukiza (baseball).

Hongera pia kwa ziara ya Mama Kikwete hapa kwa mwaliko wa Mama Kichaka juu ya (on top of) mengine yooote. Pamoja na kuwa watu wa UK hawajui kwa nini umewatosa na kukwepa kuhudhuria mkutano wao ambao ulikosa maelezo thabiti hapa JF, mimi binafsi natoa shukurani kwa uamuzi wako wa kuja tena USA.

Nakushukuru kwa vile najua kabisa kuwa una taarifa zote kuwa yule mtu anayetuhumiwa kufanikisha wizi mkubwa kabisa wa BoT alikuwa anajificha hapa kwa muda fulani ili mafisadi wasimdito. Nakushukuru kwa vile najua kabisa kuwa una nia kabisa ya kujua nini kilitokea kwenye mapesa yote pale BoT ambayo kwa bahati mbaya au nzuri yalifanikisha kukuweka madarakani.

Kwa kujua hili na kwa vile naamini kuwa umebadili moyo na una nia ya kuomba msamaha kwa watanzania na kuhakikisha kuwa wezi wote wanakamatwa na kuwekwa lupango wanakostahili, nakupa juu (I holla you) kuwa ninajua kilichotokea kwa Balali na yale yote ambayo mafisadi wanajitahidi kwa kila njia kuyafunika huku ili watanzania wasiyajue kabisa.

Kwa haya yote, karibu tena USA ili tusaidiane kujua kwa undani zaidi kilichotokea kwenye mapesa yetu pale BoT. Karibu tena ili tusaidiane namna ya kudeal na huyo mwizi na mkoloni mwenye uraia wa utata ambaye ametokea kuwa swahiba wako - Rostam Azizi.

Karibu tena USA President Kikwete ili tukusaidie kujua yale yote yaliyotokea kwa Balali na mapesa ya walalahoi wa kitanzania na wale wakina mama na watoto wanaokufa kila siku kwa kukosa dawa na chakula bora huku mabilioni yakitumika kumlipa richmonduli!

Asante!

Kaswali kadogo tu kwako Mwa wa Kike .Je ulisikia JK anasema kwamba Ballali anatafutwa ? Je uliambiwa JK na watu hawajui Ballali aliko ? Unataka JK ajue amfanyeje Ballali na yeye ameshika mpini wao wote wameshika makali ? Kwa kifupi Ballali hatafutwi na hajawahi kutafutwa na Ikulu wala mwana CCMM .
 
Kithuku,

Nafikiri hujanielewa, siwezi hata siku moja kuwadharau walimu wa shule ya msingi, samahani kama nimeeleweka hivyo. Hoja yangu ni kujiendelezakielimu, kama mwalimu ni grade C au mwenye certificate, nategemea ajiendeleze apate diploma na baadae ajiendeze zaidi apate shahada ya chuo kikuu. Walimu wengi wamefanya hivyo, kwa nini mama Salma ameshindwa kujiendeleza? Hoja yangu ni kwamba kama angejiendeleza kielimu kuzungumza kiingereza isingekuwa issue, angeweza kuamua kuzungumza kiswahili au kiingereza as she wishes, and no body will question. Sasa hivi anashindwa kuzungumza kiingereza kwa sababu hajaona umuhimu wa kujiendeleza kielimu. Nafikiri sasa nimeeleweka.[/QUO]

mrefu ...well explained ..kuna umuhimu wa kujiendeleza ..si vema kukaa miaka kumi hata bila kufanya correspondence..iweje mtu ukubali kuanzia uwalimu wa UPE hadi unastaafu usijiendeleze..najua wengi leo maprofesa wameanzia primary school teachers...

safi...mtu akijua kiengereza ataamua kuongea kiswahili as he or she wish ...na si kwa sababu hana option kwa kuwa hajui kingereza!!
 
Hivi naomba kuuliza, kuna anywwhere ambako ilishawahi kusemwa kuwa Balali anatafutwa na serikali au muuungwana? Na kwamba eti muuungwana hajuia alipo Balali? au?
 
MWK kama JK hana haja ya kumtafuta Balali aliko na nyinyi munamjua inabidi tuchangishane tumtafute na akipatikana tumtake atoe siri zote za ufisadi japo kwa nguvu. Kama hili linawezekana basi nynyi mulioko huko mutwambie tutachanga akamatwe najua akibinywa na kupigwa msasa wa chuma sehemu nyeti atatoa siri zote kwani tumechoka.
 
Hii ni sawa takwimu zinaonyesha wasomi wengi kwa hapa kwetu walio na shahada ya mwanzo na kuendelea ni wale waliozipata kwa kujiendeleza yaani hawakuzipata kwa kutokea high school moja kwa moja.Lakini pengine Mama JK alichukulia elimu ni njia ya kujikomboa tu kimaisha na kwa vile baba anazo akaona haina haja Umaimuna wake unamtosha unajua saa nyengine ulwa unakusababisha uwe mvivu wa kuona mbali.
 
Hivi naomba kuuliza, kuna anywwhere ambako ilishawahi kusemwa kuwa Balali anatafutwa na serikali au muuungwana? Na kwamba eti muuungwana hajuia alipo Balali? au?

Muungwana anaweka notion kuwa hajui Balali aliko na sasa kama kawaida yangu namkumbusha kila anachopretend kuwa amesahau huku akivuta muda wadanganyika wasahau kama ilivyokawaida yao ya kusahau wakipewa vitenge na kofia!
 
Infact serikali haijawahi kusema imemtafuta Balali amekosa wala hawajawahi kusema hajulikani haliko bali wanasema anatibiwa na pesa inalipwa na serikali, that was their last comment on Balali, perhaps tuwalize tena watupe updates kama amepona au bado anaendelea kuumwa, kama amepona mbona harudi nyumbani, kama bado anaumwa watumbie amelazwa Hospital gani na anaumwa nini.
 
MWK kama JK hana haja ya kumtafuta Balali aliko na nyinyi munamjua inabidi tuchangishane tumtafute na akipatikana tumtake atoe siri zote za ufisadi japo kwa nguvu. Kama hili linawezekana basi nynyi mulioko huko mutwambie tutachanga akamatwe najua akibinywa na kupigwa msasa wa chuma sehemu nyeti atatoa siri zote kwani tumechoka.
Ni utaratibu tunaangalia wa kisheria kama tunaweza kum summon hapa US kwa niaba ya wananchi wa tanzania!Serikali yao haiwezi kutuficha kwani ni mtumishi wa serikali yetu na wananchi wake!Na kuna tumaswali twa kujibu kutokana na tuhuma za wizi wa mamia ya mabilioni!Kumficha ni sawa na kukiuka haki za binadamu pamoja na demokrasia wanayo ipreach kila kukicha!Wamarekani hatathubutu kuzuia haki yetu ya kumhoji Balali!Wakijaribu tutaandamana hapa hapa US!Ni mara ngapi watuhumiwa wamekuwa wakihojiwa hata huko hospitali?Kama hali yake ni mbaya kiasi cha kutokuweza kuzungumza then jaji ataelezwa na mahakama na vithibitisho kutolewa!Hatoweza kujificha mandhali tunamwitaji kwa udi na uvumba!
 
Balali mwenyewe sio muungwana...kama ana siri si azitoe ata huko mafichoni aliko..kitu rahisi tuu anunue cheap camcorder walmart ajirecord aweke youtube.
 
Kwani Balali ametafutwa? Hajatafutwa mpaka leo maana serikali itakuwa inajua alipo na anafanya nini. arudi ili iweje aje kumuumbua JK na Che nkapa haiwezekani he will never return either willingly or by force
 
Back
Top Bottom