Mheshimiwa Kikwete - Ninajua aliko Balali

Naye JK Atamjibu hiv Mwafarika wa Kike:

Ndg Mwafarikia wa Kike,

Nashukuru kwa waraka wako mzuri wenye ujumbe mzito inaelekea una moyo na upendo wa nchi yako pamoja na kuwa haupo Tanzania,
lakini bado moyo wako na nafsi yako ipo nyumbani
Natumai ipo muda wewe na mwenzako Mwanakijiji mtajitolea na kuonyesha uzalendo wenu kurudi nyumbani kabla ya mwaka 2010 ili muwashawishi Watanzania wenzenu wasiweze kunichagua tena kuwa Rais wao kwa mara ya Pili.
Natumai watanzania wengi hawasomi wala kuifahamu JF na haswa vijijini ambapo kwenye mtaji wangu zaidi!Ili kufanikisha kunitoa madarakani itabidi wengi wenu mlioko hapa JF ambao mpo nje ya nchi mkarudi nyumbani ili muweze kulenda ushindani wa kisiasa,pia watanzania wenzenu wakawajua zaidi.
Nawatakieni kila la kheri katika mikakati yenu ya kunitoa madarakani ni mie Rasi wenu wa Jamhuri wa Muungani wa Tanzania
 
Nimesoma comment zote hapo juu nimegundua kitu kimoja na ningemshauri huyu jamaa aamke sasa

1.Nimegundua huyu jamaa hana kutu kichwani au hayuko tu serious
2.kuepusha kuwa Mocked kiasi hiki aende crash prog ya kupigwa msasa huko huko US
 
NAPINGANA NA KAULI YA MUUNGWANAS KUWA ALIJIANDAA ZAIDI YA MIAKA KUMI KUWA RAIS..KUNA TATIZO KAMA ALIJIANDAA MIAKA YOTE HIYO KULIKONI AKASHINDWAA KUTUANDALIA FIRST LADY,AKASHINWA HATA KUMPELEKA ZIARA ZA KUOSHA MACHO...NA HATA ENGLISH COURSE NJE...HATA KAMA NI KUKUZA LUGHA KUSHINDWA KUONGEA KINGEREZA FASAHA ..HAIVUTIII SANA....WAGOMBEA WENGI WANA KAWAIDA YA KUWASOMESHA WAKE ZAO ILI KUWAANDAAA..HILI KIKWETE HAKULIFANYA KABISA KWA SALMA...MIAKA KUMI INGETOSHA KUMFANYA SALMA AMBAYE NI MWALIMU WA UPE..KUWA NA DEGEREE YA UZAMILI..

......KINACHOONEKANA HAPO FIRST LADY NI MSHAMBA WA SAFARI BADO.....WAJIBU WA KWANZA WA FIRST LADY NI KUONGOZANA NA RAIS KADIRI IWEZEKANAVYO ESPECIALLY NJE YA NCHI HATAKIWI KUKOSA...JUST LOOK PRESIDA YUPO ZIARA YA KIKAZI WIKI MBILI NZIMA AKIWA BARCHELOR[HII NI TAFSIRI GANI..!!]....

KAMA MKEWE ATAJEUKA TENA KUMFUATA MAREKANI ..SI GHARAMA ZAIDI...FIRST LADIES WOTE HUTUMIA FURSA YA ZIARA ZA WAUME ZAO KUFANYA KAZI ZA KIJAMII NA FUNDRISING..NA SI KILA MMOJA KUPITA NJIA YAKE....

MKE NA MUME RAIS NI SURA YA FAMILIA YA KWANZA YA NCHI LAZIMA IWE MFANO WA UTENDAJI KAZI...PAMOJA NA MKAPA KUHISIWA HAWAELEWANI NA MKEWE ..HATA MARA MOJA HAWAKUSAHAU JUKUMU LA KUWA PAMOJA KILA MAHALA ..KAMA MFANO WA FAMILIA NAMBA MOJA[REGARDLESS OF WHAT IS SAID TO HAPPEN].....

SIKU HIZI TUNAYE RAIS NA MKEWE AMABAYE UKISIKIA HATA NYUMBANI YUPO ZIARANI KAGERA ...CLIP INAYOFUATA UTASIKIA MKEWE YUPO ZANZIBAR..UKISIKIKIA RAIS YUPO MAPUMZIKONI...MIKUMI ..CLIP INAYOFUATIA UNAMUONA MKEWE YUKO KWENYE SHEREHE YA RUSHA ROHO ZANZIBAR...

Ndugu yangu kuongea kiingereza sioni kama ni kigezo cha kuwa First lady mzuri, kuna mafirst lady wengi tu duniani hawajui kuongea kiingereza wala kifaransa, na wanafanya kazi nzuri sana kuliko hata hao wanaojua kuongea hizo lugha, kwanza ukumbuke kuwa the whole concept of first lady kwetu halina maana sana, mainly symbolic role, sana sana kazi yake ni kuwa anatakiwa kututunzia rais wetu vizuri. Na hilo la kusema familia namba moja halina maana sana, kama some of the members in same family wanahusishwa na ufisadi na ujanja ujanja mwingine. Wengine husafiri kwa malengo ya kupenda kusafiri tu na ulimbukeni labda na kuwapa mshiko wanaoongozana naye, na sio kusafiri kwa ajili ya kutafuta maslahi ya nchi. Sasa kama ingekuwa hiyo unayosema ya kupewa mafunzo ya u-first lady sijui nani angelipia hizo gharama, naona concept yote ni articial sana
 
kamza AC amejikusanyia izo na vipi EL wa siku nyingi kakusanya ngapi?wachunguzwe wote tujue wamechukua shs.ngapi na wameziweka wapi?
 
kikwete ameahirisha kwenda u.k kwa kua makamu wake anaondoka leo kwenda u.k na udachi,mojawapo ni kucheki afya.akili ya kawaida itakufanya uamini kua ni sababu za ki protokali
 
Jamani we have to be proud og our lugha...umeona ma first lady wa G8 wote wanongea perfect english lakini kila wanapotua hotuba wanaongea lugha zao.
Kwa hiyo Salma anapoongea swahili anawakilisha tumpongeze jamani

WENZETU WANAONGEA KIKWAO..SI KWA KUWA HAWAJUI KINGEREZA LA HASHA..WANAONGEA KIKWAO KWA JEURI TU!!!!....NA NI RAHA PALE UNAPOKUWA UNAONGEA KISWAHILI...KWA JEURI..NDIO WANAVYOFANYA HATA WAJERUMANI NA WACHINA ..UKIONGEA KINGEREZA WANAKUELEWA WANAKUJIBU KIKWAO...

SIKUSEMA FIRST ASOMESHWE NA SERIKALI ..BALI HILO NI JUKUMU LA MTU YEYOTE MWENYE MALENGO FULANI MBELENI KUJIANDAA KWA GHARANA ZAKE IKIWEMO KUMUANDAA MKEWE HATA KAMA HATAKI AJUE MALENGO YAKE...NDIO NASEMA KIKWETE KAZI HII HAKUIFANYA!!!!
 
Kaja kuhakikisha - Boyz to Men watakuwepo mkutano wa Sullivan!.. haa haa haa emergency!

Hili kwa Kikwete ni bonge la Emergency.... Mambo ya kupanda kwa bei ya nishati, usafiri, njaa inayokuja, ufisadi, vifo mererani, muafaka zanzibar, na mengine mengi sio issue kwake.

Yeye anajali watoto wa jirani na mambo ya Boyz to Men zaidi ya hayo yote. Inatia huruma sasa na kutisha!
 
MK mmejiandaje kumpokea JK maana tulinge tu hapa halafu akakosa mapokezi, tuulizie zile $1000000 kwenye account ya AC zinarudi lini maana shule ya msingi moja huko lindi inaitaji 100m tu ili nao wanufaike na matunda ya uhuru na muungano wa Tanzania.
 
Ndugu yangu kuongea kiingereza sioni kama ni kigezo cha kuwa First lady mzuri, kuna mafirst lady wengi tu duniani hawajui kuongea kiingereza wala kifaransa, na wanafanya kazi nzuri sana kuliko hata hao wanaojua kuongea hizo lugha, kwanza ukumbuke kuwa the whole concept of first lady kwetu halina maana sana, mainly symbolic role, sana sana kazi yake ni kuwa anatakiwa kututunzia rais wetu vizuri. Na hilo la kusema familia namba moja halina maana sana, kama some of the members in same family wanahusishwa na ufisadi na ujanja ujanja mwingine. Wengine husafiri kwa malengo ya kupenda kusafiri tu na ulimbukeni labda na kuwapa mshiko wanaoongozana naye, na sio kusafiri kwa ajili ya kutafuta maslahi ya nchi. Sasa kama ingekuwa hiyo unayosema ya kupewa mafunzo ya u-first lady sijui nani angelipia hizo gharama, naona concept yote ni articial sana

Mimi nafikiri swala hapa sio kujua kuongea kiingereza, la hasha, swala ni elimu ya mama Salma.JK amekuwa waziri kwa muda mrefu sana wa nchi yetu, hususan waziri wa mambo ya nje kwa miaka kumi. Sasa swali ni kwamba inakuwaje kiongozi mwandamizi wa serikali anakuwa na mke mwenye elimu duni (mwalimu wa shule ya msingi kwa muda huu wote)? JK ameshindwa kumhamasisha mke kusoma atakuwa na moyo wa kuwaendeleza watanzania kweli? kuna usemi usemao 'charity begins at home' sasa mkuu ameshindwa nyumbani kwake ataweza kwa taifa letu? kama mama Salma angejiendeleza kielimu, asingetupa aibu ya kuongea kiswahili wakati ameenda kuomba msaada wa NGO yake.
 
Kaka mimi namshukuru sana huyu mama maana kuongea kiswahili inamuonyesha kuwa anajali utamaduni wake, halafu kuongea kiswahili sana au kuwa mwalimu wa shule ya msingi haina maana hajui kingereza, please muwe objective katika vitu kama hivi, huyu mama professinal yake ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu hatuwezi kuidharau kiasi ya kuomba mke wa raisi wetu asiwe nayo.
 
Tunaagalia uwezekano wa kumfungulia Balali mashtaka huku USA!Tunataka pia tuwasiane na yule jamaa wa America's most wanted ili na yeye aweze kutusaidia kwenda kumhoji Mh wetu Balali!
 
Mkuu,

Balali yuko kwenye undisclosed location between hell and heaven.

So far that's what can be said for now!

Asante

umeanza mwenyewe kuwa unajua where balali is....lakini ur just rambling in your sentences with no any explaination,hapa naona ni usanii tuu unaendelea la sivyo jibu swali u just started.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom