Mheshimiwa JK vipi hali ya Afya? Wapi Kitambi ?

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
8E9U5883.jpg
 
sasa matoke ya uchaguzi yatamfanya apukutike baada ya slaa kutangazwa mshindi mmmmh kazi ipo
 
Kwa hiyo ukiwa na kitambi ndio haujachakaa au?Kweli watu tuna mitazamo tofauti.Inasikitisha!
 
Mvi kibao ndani ya siku kadhaa tu, nywele hajachana, uso umepauka kama sox za mchawi, cheek bones nje nje, wrinkles kwa sana, smile fake,sunken eye sockets kama skull na mabega yameanza kupanda juu.
mna macho lakini hamuoni!
Nyambafu.
 
Mvi anazo kibao ila anapaka kanta ili aonekane bado wamo na anavuma. Kitambi kimefungwa na mkanda maalumu wa kazi hiyo ili aonekane hana tamaa ya lishe kama ya kaka yake Ben Mkapa
 
Jamaa amechoka kwakweli, sio siri. Na bado, watakapomtangazia matokeo:
"Tunaanza na waliopata chache... halafu yeye anakuwa wapili kutoka juu". Kazi anayo mwaka huu.
 
Back
Top Bottom