Mheshimiwa jk bado unaweza kuondoka katika historia kama shujaa

Jan 16, 2007
721
176
mheshimiwa rais mpendwa jakaya mrisho kikwete sio wakati wote shujaa anaweza kupataikana kwa mema tu shujaa anaweza kupatikatika kwa kukubali uzembe wake katika uongozi wake huu ndio ushujaa wa kweli mwaga manyanga na kaa kando na msapoti dr.slaa katika uchaguzi huu.

Mpe miaka mitano ambapo tuna imani ya kua ana nafasi ya kutuletea mengi na mazuri kuliko wewe matokeo yoyote mazuri ya kazi ya dr.slaa ambapo hatuna mashaka itakua sifa na ushujaa kwako kwa kusoma mishale ya wakati mungu ibariki tanzania
 
Akifanya hivyo atakuwa Shujaa wa Dunia nzima na kuweka historia ya kwanza Duniani kwa kumpisha mpinzani wake...

Sidhani kama atafanya hivyo unavyomshauri manake itakuwa ni weakness itakayomkosesha hata kazi ya NGO katika mashirika ya kimataifa na kwingineko aki-retire.
 
Nchi ya Tanzania bwana... yaani mtu anaweza kufikiria urais ndani ya miezi minne na akapewa... kweli hajui tuendako....
 
Back
Top Bottom