''MHESHIMIWA DOCTOR rais''......!vp wazee inaendana na alikoifikisha nchi sasa?

Huna haja ya kuhangaika na hilo. Sasa hivi ukisema, "Dr." direct pipo wanajua ni Slaa, ila kwa Jk ni lazima useme Dr. JK coz inalazimishiwa iwe hivyo hasa na TV
 
Ninavyojua mimi kama ni honorary hata Marais waliotangulia walikuwa nazo na hakuna hata mmoja alijiita dokta.

Halafu hiyo 'honorary Dr' hata viwango vyake ni v. questionable - alipewa na chuo kimoja cha kiislaam lisichokuwa na mbele wala nyuma cha huko Turkey.
 
Halafu hiyo 'honorary Dr' hata viwango vyake ni v. questionable - alipewa na chuo kimoja cha kiislaam lisichokuwa na mbele wala nyuma cha huko Turkey.

Oooh my Goodness!!!!!!!!!! is this serious!!
 
halafu hiyo 'honorary dr' hata viwango vyake ni v. Questionable - alipewa na chuo kimoja cha kiislaam lisichokuwa na mbele wala nyuma cha huko turkey.

hicho chuo chenu cha kikristo kilicho na nyuma peke yake kiko wapi ndugu?
 
Title ya Dr. kwa mtazamo wangu ilibidi wapewe watu walosotea shuleni wakabobea kitaaluma kama matabibu na ma PhD holders.Kina Majimarefu na hata ma honoris causa ilibidi wasiruhusiwe kutumia hii title.
 
him is a dakta of KUANGUKA so he deserves this honor,Luningaz zinamkuza tu but hana lolote huyo....Nyerere alikuwa nayo mbona alipenda aitwe Mwalimu?Vyuo vingine mzee choo bin kufulia...
 
Back
Top Bottom