Mhe.Zitto aenda Rombo kuhitimisha Kampeni za Udiwani

Deus F Mallya

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
705
440
Leo kuanzia saa Nane mchana Mhe.Zitto atakuwepo jimboni Rombo kuhitimisha Kampeni za Udiwani kata ya Nanjara Reha. Kata hii ni kati ya kata zaidi ya 13 ambazo CHADEMA ina uhakika wa kushinda KWA KISHINDO.

(c) Mhe.Joseph Selasini Facebook Page.
Nawatakia kila la heri Makamanda na wapiga Kura wote!.
 
Karibu sana Zitto, karibu kamanda. Hakikisha unapiga mtori, mbeere, mtango, mashalari, wari, ngararimo.
 
Safi sana, wakati Magamba wakirumbana kama Rushwa ilikuwepo kwenye Chaguzi zao au La , CDM inatakiwa kumove mbele
 
yap naamini kurasa itafunikwa vizuri kabisa safi sana zzk.


Mkuu DM na wewe utakuwa unahitimisha wapi ?
 
dogo zitto piga kazi kaka, acha mbwembwe mengine yatakufata, uzoefu wako ni muhimu wananchi ndio watakao kupima viatu, kaza buti cdm ni yetu sote tushirikiane kuijenga siyo kuibomoa
 
Hayo ndio mambo tunayotaka kuyasikia kamanda Zitto tuimarishe chama kwa pomoja mambo mengine baadae
 
CHADEMA. . . . . .

Vp huyo ndo mgombea Urais wenu au?

Ningeomba ufafanuzi tafadhari.
 
Hapo kwenye hiyo kata kuna pumbavu mmoja alikuwa ni diwani kwa ticket ya cdm, akaamua kujiuzulu kwa shinikizo la ccm (mkuu wa wilaya na mkoa) baada ya magari yake kukamatwa na mahindi or sukari hapo himo yakidhaniwa kuvushwa kwenda kenya kinyemela. Wakamwambia akijiuzulu watamwachia akajiuzulu kweli. Stupid him!
 
Back
Top Bottom