Mhe. Tindu Lissu ''LIVE'' Wapo Radio now

............. MUNGU TUSAIDIE TUVUKE SALAMA. Katiba ni yetu sote tusikubali itekwe nyara...........
Kweli
mimi naogopa sana hapa ilipo kama vile imemilikiwa na kundi moja fulani, halitaki kitumbua kiguswe, na sababu za kichumi na kiusalama zipo. Je itawezekana kuirudisha katiba kwa wananchi? Nguvu ya dunia kwa sasa inaegemea makampuni makubwa, wameshikilia serikali zote zenye rasilimali ya aina yoyote kwa kuwakumbatia viongozi dhaifu wanaoongoza kwa kutumia katiba dhaifu,
tutaweza kweli wenzangu?
 
Oooh my!! Mkuu Lunyungu hii kali ya kufunga mwaka 2011 aisee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Una akili kama kibao cha kuonyesha alama .Maana utakuta kibao kinaonyesha chooni ni kule lakini hakijawahi kufika huko.You wait and see what will follow na ujuha wenu huu.
 
Kuna mtu anayeweza kutupa summary ya nini Lissu alichoongea? shukran
 
Tundu Lissu, ebu acheni kuwachanganya wananchi wapenda amani.

Juzi wewe si ulikuwa Ikulu na mkoba wako umekaa kwenye sofa unakunywa juice na Rais uku unacheka kwa furaha mnagongeana na Prof. Safari.

Leo tena umekwenda kujificha kwenye radio gani sijui unaleta ngonjera.

Kwa nini mlikwenda Ikulu wakati Rais hamumtambui?

Acheni usanii...

Ndiyo maana UWT wanavaa vitenge na kanga zenye picha ya JK kwanye Masaburi na kuiachilia hewa ya masaburi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom