Mhe. Tindu Lissu ''LIVE'' Wapo Radio now

Hujui uandikacho, sentesi zina, kama, kwanini, kuwa ndivyo viunganishi vikuu vya semi zako ambazo ni mashaka matupu, huna elimu ya kushawishi. ichukie ccm

huyo jamaa achana nae ni mkimbizi wa Zenji amelowea Qutar, siasa za Bongo hazijui huyo
 
tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli mnataka kusifiwa hata penye makosa,kuna bifu bain ya mbowe na slaa.Niliweka jana usiku post inayoelezea lakini mods wameitoatt

Katika jukwaa linahoheshimika hapa JF ni la siasa kwa hiyo ukileta thread ya kipuuzi huwa tunaifutilia mbali.

kwa maelezo zaidi soma hapa.....

Jukwaa la Siasais the most popular sub forum on the community website. The traffic to the website has exploded in the last six months. The forum has now daily page views of over 158,000 with more than 43,000 visits. It is the most visited Tanzanian website according to Quancast and is the sixth most visited website in Tanzania according to Alexa. Over 48 Million page views in a single month, average of 16 minutes spent on the site, over 1.2 Million unique visitors and 26% new visits. The forum has over 105,422 topics or threads, 2 million posts and around 54,723 members contributing since inception.
 
Tundu Lissu, ebu acheni kuwachanganya wananchi wapenda amani.

Juzi wewe si ulikuwa Ikulu na mkoba wako umekaa kwenye sofa unakunywa juice na Rais uku unacheka kwa furaha mnagongeana na Prof. Safari.

Leo tena umekwenda kujificha kwenye radio gani sijui unaleta ngonjera.

Kwa nini mlikwenda Ikulu wakati Rais hamumtambui?

Acheni usanii...

I like your comment :poa. Hivi CHADEMA walifuata nini Ikulu wakati msimamo wa Mwenyekiti wa CCM na serikali yake uko wazi kuhusu mchakato wa katiba iliyopo - SIYO MPYA? Yaani wanakusudia kuhuisha katiba iliyopo ili iendane na wakati. Waliamini kweli kuwa rais anaweza kuwagomea washauri wake na wabunge wake wa CCM na CUF kwa kuacha kusaini muswada wa sheria?
 
Swadakta maneno yako.

Huyu ndie anawadanganya na kuwaburuza wenzie. Hata Bungeni aliwaeleza wasubiri kwanza wasitoke mpaka yeye atakapowasilisha hotba yake ya mawazo ya kambi ya upinzani kuhusu mchakato huo wa katiba. Na baada ya kuwasilisha tu aliwataka wabunge wa Chadema watoke na sio kutetea kile alichoandika.

kama kweli walitaka kutoka Bungeni. Kwanini aliwasilisha hotba yake ya kambi ya upinzani kuhusu mchakato wa katiba yenu?

Vile vile yeye na Chadema wanasema ninim kuhusu kupandishwa kwa posho zao? mbona walikaa kimya mpaka magazeti yanafichua?

hao ndio wanafiki wakubwa sana
Wapi Sheikh Ponda tumsikie kuhusu al shabaab??
 
tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli mnataka kusifiwa hata penye makosa,kuna bifu bain ya mbowe na slaa.Niliweka jana usiku post inayoelezea lakini mods wameitoatt

Kwani kuwa na bifu kati ya mwenyekiti wa chama (Mbowe) na katibu wake (Dr Slaa) (kama lipo kweli) kunahusiana vipi na mchakato wa katiba na maslahi wa waTanzania? Mbona CCM kila mtu ana bifu na kila mtu, tena dhahiri kuanzia kwenye mikutano ya chama mpaka kwenye vyombo vya habari, na sumu mnapeana kutaka kutoana roho...lakini wapiga debe kama wewe hamuoni kuwa ni tataizo!

Hoja ya katiba ya kitaifa ni ya waTanzania wote kasoro ma'parambulator' (Anyone known to be excessively dishonest for only minimal personal gain) wa CCM tu!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Swadakta maneno yako.

Huyu ndie anawadanganya na kuwaburuza wenzie. Hata Bungeni aliwaeleza wasubiri kwanza wasitoke mpaka yeye atakapowasilisha hotba yake ya mawazo ya kambi ya upinzani kuhusu mchakato huo wa katiba. Na baada ya kuwasilisha tu aliwataka wabunge wa Chadema watoke na sio kutetea kile alichoandika.

kama kweli walitaka kutoka Bungeni. Kwanini aliwasilisha hotba yake ya kambi ya upinzani kuhusu mchakato wa katiba yenu?

Vile vile yeye na Chadema wanasema ninim kuhusu kupandishwa kwa posho zao? mbona walikaa kimya mpaka magazeti yanafichua?

hao ndio wanafiki wakubwa sana
Kama vile wewe unavyoburuzwa na mzee Mohamed Saidi na historia za uislam. Kwanza wacha vimaneno vyako vya wasichana, bora ubaki huko uarabuni ukiburuza makalio kwa majuha wenzenu, tuachieni Tanganyika yetu wenyewe kenge msie aibu nyie.!
 
Tundu Lissu, ebu acheni kuwachanganya wananchi wapenda amani.

Juzi wewe si ulikuwa Ikulu na mkoba wako umekaa kwenye sofa unakunywa juice na Rais uku unacheka kwa furaha mnagongeana na Prof. Safari.

Leo tena umekwenda kujificha kwenye radio gani sijui unaleta ngonjera.

Kwa nini mlikwenda Ikulu wakati Rais hamumtambui?

Acheni usanii...

tumia akili na maarifa kupost mambo yako, kuwa ikulu au kunywa juice hakubadilishi dhana ya kudai mchakato huru na haki, alafu radioni sio maana pa kujificha, hajalipia airtime bali ameombwa kwa makubaliano fulani kuweka mabo sawa yanayoonekana kuwa kero kwenye huu mchakato.mbona mnakurupuka jamani?acheni hayo mambo mmekuwa wakubwa sasa na wadogo wafanye nini???
 
Swadakta maneno yako.

Huyu ndie anawadanganya na kuwaburuza wenzie. Hata Bungeni aliwaeleza wasubiri kwanza wasitoke mpaka yeye atakapowasilisha hotba yake ya mawazo ya kambi ya upinzani kuhusu mchakato huo wa katiba. Na baada ya kuwasilisha tu aliwataka wabunge wa Chadema watoke na sio kutetea kile alichoandika.

kama kweli walitaka kutoka Bungeni. Kwanini aliwasilisha hotba yake ya kambi ya upinzani kuhusu mchakato wa katiba yenu?

Vile vile yeye na Chadema wanasema ninim kuhusu kupandishwa kwa posho zao? mbona walikaa kimya mpaka magazeti yanafichua?

hao ndio wanafiki wakubwa sana

barubaru kwetu ni mtu asiyekuwa na uhakika na mambo anayoyazungumza!so wanajamvi msitumie mda wenu kuhangaika nae!jina lake linabainisha uwezo wake wa kufikiri!
 
tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli mnataka kusifiwa hata penye makosa,kuna bifu bain ya mbowe na slaa.Niliweka jana usiku post inayoelezea lakini mods wameitoatt
kweli wewe unajipambanua kwa propaganda za uongo bifu lipo kwa magamba kati ya Lowassa v/s jk ndio maana juzi lowassa kanika ukweli kuhusu ufisadi wa richmond.
 
Wakuu huma ndani ya jf sasa nimeamini kwamba kuna wanajamii takribani makundi matatu:
1. Ambao wamefahamu kinachoendelea
2. Ambao wanafikiria kinachoendelea
3. Ambao wanasikilizia kinachoendelea
Thread inajieleza , hoja zinazotoka zinagawanyika katika hayo makundi hayo MUNGU TUSAIDIE TUVUKE SALAMA. Katiba ni yetu sote tusikubali itekwe nyara
 
Wakuu huma ndani ya jf sasa nimeamini kwamba kuna wanajamii takribani makundi matatu:
1. Ambao wamefahamu kinachoendelea
2. Ambao wanafikiria kinachoendelea
3. Ambao wanasikilizia kinachoendelea
Thread inajieleza , hoja zinazotoka zinagawanyika katika hayo makundi hayo MUNGU TUSAIDIE TUVUKE SALAMA. Katiba ni yetu sote tusikubali itekwe nyara
 
Tundu Lissu, ebu acheni kuwachanganya wananchi wapenda amani.

Juzi wewe si ulikuwa Ikulu na mkoba wako umekaa kwenye sofa unakunywa juice na Rais uku unacheka kwa furaha mnagongeana na Prof. Safari.

Leo tena umekwenda kujificha kwenye radio gani sijui unaleta ngonjera.

Kwa nini mlikwenda Ikulu wakati Rais hamumtambui?

Acheni usanii...

Usiwe mwongo, bingwa wa kusahau na hodari wa kuzusha... tuambie ni lini CHADEMA walisema hawamtambui Rais?

Usihamishe kauli za CUF/Maalimu Seif dhidi ya Dk Amour na Karume kuwa za CHADEMA.
 
Tundu Lissu, ebu acheni kuwachanganya wananchi wapenda amani.

Juzi wewe si ulikuwa Ikulu na mkoba wako umekaa kwenye sofa unakunywa juice na Rais uku unacheka kwa furaha mnagongeana na Prof. Safari.

Leo tena umekwenda kujificha kwenye radio gani sijui unaleta ngonjera.

Kwa nini mlikwenda Ikulu wakati Rais hamumtambui?

Acheni usanii...
Umemfuatilia anachokisema au ndo yaleyale ya kudandia thread tu? Mngekuwa manapenda amani mngewanyonya wananchi?
 
Tundu Lissu, ebu acheni kuwachanganya wananchi wapenda amani.

Juzi wewe si ulikuwa Ikulu na mkoba wako umekaa kwenye sofa unakunywa juice na Rais uku unacheka kwa furaha mnagongeana na Prof. Safari.

Leo tena umekwenda kujificha kwenye radio gani sijui unaleta ngonjera.

Kwa nini mlikwenda Ikulu wakati Rais hamumtambui?

Acheni usanii...

You are no where near the level of TUNDU LISSU mate, you will be better off getting your facts right before making those second best comments.
 
Swali dogo sana la kujiuliza ni kwanini JK alipokuwa anafanya kampeni mwaka jana alipofika jimboni kwa Tundu Lisu aliwaambia wananchi ni bora wamnyime yeye JK kula za urais kuliko kumpa Ubunge Tundu Lisu?

Jibu ni JK anatambua Potentiality ya Tundu Lisu. He has proved to be the man of his words no matter what and he has never back down from the challenges. Keep going LISU time will reward u one day.
 
Kwenye hii thread ndo nimeamin wanaccm kuna nati kichwani zimeanza kulegea.
tundu lissu kasamaje jamani? mwenye updates. over
 
anazungusha tu,hana majibu ya kueleweka.Kuna tatizo la uongozi ndani ya CDM

Lazima utakuwa unatoka majimbo ya vijijini wewe ambako uelewa bado, na tutawafuata huko huko kuwapa shule mpaka na nyie mpate elimu ya uraia.

Mnakandamizwa bila kujijua, absolutely pathetic!
 
Kuna wengine humu niseme wanapenda kuchangia pasipo hata kufikiria au niseme bora aonekane amechangia mara nyingi. Kwa sasa tuachane na mambo ya uccm na uchadema tuangaalie hili suala la katiba ndio muhimu kuliko zote. Tuchangie ili tujue upande gani tuko nao sawa katika kufuatilia. Katiba ni yetu sote itatusaidia wote uwe maskini au tajiri. Na itasaidia sana hasa maskini wanaonewa na kutokupewa huduma zinazotakiwa. Tujadiliane kwa hoja sio kuponda hata ambayo hayastahili kuponda kwa vile wewe ni ccm au chadema.
 
Wakuu huma ndani ya jf sasa nimeamini kwamba kuna wanajamii takribani makundi matatu:
1. Ambao wamefahamu kinachoendelea
2. Ambao wanafikiria kinachoendelea
3. Ambao wanasikilizia kinachoendelea
Thread inajieleza , hoja zinazotoka zinagawanyika katika hayo makundi hayo MUNGU TUSAIDIE TUVUKE SALAMA. Katiba ni yetu sote tusikubali itekwe nyara
Kama tungekuwa tunapiga kura kuchagua post bora ya siku humu JF hii ndio ingekuwa bora kabisa leo!!
 
leo JF imechafuka! Watu wanachungulia kama Guest tu humu wasionekane wamesoma maoni na pengine kupuuza! "Hivi mtu anayepuuza vitu ni mpuuzi?"by masoud kipanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom