Mhe. Tindu Lissu ''LIVE'' Wapo Radio now

Tundu Lissu, ebu acheni kuwachanganya wananchi wapenda amani.

Juzi wewe si ulikuwa Ikulu na mkoba wako umekaa kwenye sofa unakunywa juice na Rais uku unacheka kwa furaha mnagongeana na Prof. Safari.

Leo tena umekwenda kujificha kwenye radio gani sijui unaleta ngonjera.

Kwa nini mlikwenda Ikulu wakati Rais hamumtambui?

Acheni usanii...
 
jamaa anadai madai ya cdm rais alisema ni ya kweli tena ya msingi isipokuwa anawaogopa wabunge wa ccm asiposaini.jamaa ni muongo asiye na aibu,kama ni hivyo kwa nini walikubaliana na wakasaini.Jamaa falsafa yake ni siasa ni uongo.pamba....v
 
Jipambanue unapenda kutawaliwa ama unapenda kujitawala! yani hueleweki Kabisaa
 
Tundu Lissu, ebu acheni kuwachanganya wananchi wapenda amani.

Juzi wewe si ulikuwa Ikulu na mkoba wako umekaa kwenye sofa unakunywa juice na Rais uku unacheka kwa furaha mnagongeana na Prof. Safari.

Leo tena umekwenda kujificha kwenye radio gani sijui unaleta ngonjera.

Kwa nini mlikwenda Ikulu wakati Rais hamumtambui?

Acheni usanii...

Zama za giza zimepita tangia 1990. Wananchi hawachanganywi chochote bali wanaelimishwa wajue yale ambayo serikali ya ccm iliwaficha. Ikulu ni yetu sote. Kwenda huko sio dhambi hata kidogo. Ninawapongeza CDM kwa msimamo wao wa kuendelea na harakati kwa kutumia fursa zote zilizopo na zinazoruhusiwa kikatiba.
 
tatizo lenu hamtaki kuambiwa ukweli mnataka kusifiwa hata penye makosa,kuna bifu bain ya mbowe na slaa.Niliweka jana usiku post inayoelezea lakini mods wameitoatt
Nani kakudanganya? au unadhani CDM ni CCM?
 
huo ndio unaitwa uongozi bora na si utawala bora kama tulivyo sasa. Hawa cdm baada ya kuona wenzao wanafanya mambo kwa makusudi mazima yanayopelekea nchi kuingia matatani, wakaamua kutumia busara ya hali ya juu (kumbuka CCM/JK ndio wameshika panga na cdm wameshika makali) kuwaona hawa watu hili kunusuru hali. Na cha kufurahisha wakakubaliana na kusign documents, sasa kable hata ya kueleza kilichofanyika upande mmoja wa makubaliano ukavunja kwa kusign mchakato wa kuanzishwa katiba usiokubalika!
Kwa maana hiyo naona hatua ya Tindu Lissu ni mwanzo wa 'go public' ili hata wale waiokuwa hawajaelewa kinachoendelea (Bungeni, Ikulu nk) waamke na kujua ilivyokula kwao.
Tundu Lissu, ebu acheni kuwachanganya wananchi wapenda amani.

Juzi wewe si ulikuwa Ikulu na mkoba wako umekaa kwenye sofa unakunywa juice na Rais uku unacheka kwa furaha mnagongeana na Prof. Safari.

Leo tena umekwenda kujificha kwenye radio gani sijui unaleta ngonjera.

Kwa nini mlikwenda Ikulu wakati Rais hamumtambui?

Acheni usanii...
 
Tujitahidi kuondoa ubinafsi katika suala hili la katiba kwani linahusu maisha ya watanzania wote, hususan wananchi wa kawaida. Kunywa juice, kutabasamu na kucheka na JK ikulu haimaanishi ukweli wa issue unafutika.

Kusingekuwa na maana kama wangeingia magogoni wakiwa wamenuna na kukunja ndita. Ingetoa picha gani kama wangekataa juice aliyoandaa JK? Presentation yao ilijawa busara na hekima za hali ya juu.
 
jamaa anadai madai ya cdm rais alisema ni ya kweli tena ya msingi isipokuwa anawaogopa wabunge wa ccm asiposaini.jamaa ni muongo asiye na aibu,kama ni hivyo kwa nini walikubaliana na wakasaini.Jamaa falsafa yake ni siasa ni uongo.pamba....v

Hata hivyo hatukuamini wewe, tunamuamini lisu aliyeenda ikulu.
 
Tundu Lissu, ebu acheni kuwachanganya wananchi wapenda amani.

Juzi wewe si ulikuwa Ikulu na mkoba wako umekaa kwenye sofa unakunywa juice na Rais uku unacheka kwa furaha mnagongeana na Prof. Safari.

Leo tena umekwenda kujificha kwenye radio gani sijui unaleta ngonjera.

Kwa nini mlikwenda Ikulu wakati Rais hamumtambui?

Acheni usanii...

Swadakta maneno yako.

Huyu ndie anawadanganya na kuwaburuza wenzie. Hata Bungeni aliwaeleza wasubiri kwanza wasitoke mpaka yeye atakapowasilisha hotba yake ya mawazo ya kambi ya upinzani kuhusu mchakato huo wa katiba. Na baada ya kuwasilisha tu aliwataka wabunge wa Chadema watoke na sio kutetea kile alichoandika.

kama kweli walitaka kutoka Bungeni. Kwanini aliwasilisha hotba yake ya kambi ya upinzani kuhusu mchakato wa katiba yenu?

Vile vile yeye na Chadema wanasema ninim kuhusu kupandishwa kwa posho zao? mbona walikaa kimya mpaka magazeti yanafichua?

hao ndio wanafiki wakubwa sana
 
anazungusha tu,hana majibu ya kueleweka.Kuna tatizo la uongozi ndani ya CDM

Una akili kama kibao cha kuonyesha alama .Maana utakuta kibao kinaonyesha chooni ni kule lakini hakijawahi kufika huko.You wait and see what will follow na ujuha wenu huu.
 
Swadakta maneno yako.

Huyu ndie anawadanganya na kuwaburuza wenzie. Hata Bungeni aliwaeleza wasubiri kwanza wasitoke mpaka yeye atakapowasilisha hotba yake ya mawazo ya kambi ya upinzani kuhusu mchakato huo wa katiba. Na baada ya kuwasilisha tu aliwataka wabunge wa Chadema watoke na sio kutetea kile alichoandika.

kama kweli walitaka kutoka Bungeni. Kwanini aliwasilisha hotba yake ya kambi ya upinzani kuhusu mchakato wa katiba yenu?

Vile vile yeye na Chadema wanasema ninim kuhusu kupandishwa kwa posho zao? mbona walikaa kimya mpaka magazeti yanafichua?

hao ndio wanafiki wakubwa sana

Hujui uandikacho, sentesi zina, kama, kwanini, kuwa ndivyo viunganishi vikuu vya semi zako ambazo ni mashaka matupu, huna elimu ya kushawishi. ichukie ccm
 
acha wivu wa kike,ujumbe wake umefika na umeeleweka hata kwa tikiti maji kama wewe
Hujui uandikacho, sentesi zina, kama, kwanini, kuwa ndivyo viunganishi vikuu vya semi zako ambazo ni mashaka matupu, huna elimu ya kushawishi. ichukie ccm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom