Mhe. Sitta anapiga tarumbeta?

Rungu

JF-Expert Member
Feb 23, 2007
3,933
1,726
Au ni macho yangu?

610x.jpg
 
ajabu ni mbona babuyo anatembea na mkongojo/bakora acha kushangaa utalipia pesa
ooh usije mjini maana macho yako hayaoni basi yeye ndiye alikuwa anapuliza kwa mgeni ulitaka awe nani,
Conquest-njaa inauwa kukodi bendi ingekuwa noma akajitosa yeye ameingiza pesa hapo
 
Kweli macho yako yatazama kengeza, ni Sita huyo? labda sio Samweli mdogo wake.
 
Japo hiyo picha si ya Mh. Samwel Sitta, ila huo ufananisho na swali ulilo uliza limenichekesha.......kuna wakati watu kama ninyi mnahitajika sana Jukwaani hasa weekend kama ya leo. Asante sana
 
Japo hiyo picha si ya Mh. Samwel Sitta, ila huo ufananisho na swali ulilo uliza limenichekesha.......kuna wakati watu kama ninyi mnahitajika sana Jukwaani hasa weekend kama ya leo. Asante sana
Afadhali wewe umeliona hilo lakini kuna jamaa zangu wengine humu jamvini wanajifanya wao kila wakati wako siriazi!
 
That is funny...anaitwa Hoza ni kiongozi wa kikundi cha wapiga matarumbeta...the group is famous in Dar I think it is called Mount Usambara....
 
Huyu mama anapenda wapuliza matarumbeta, mumewe anapuliza saxophone. Jee, kuna siri ipi hapo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom