Mhe. Rais Kikwete, Onesha mfano... maneno matupu hayatoshi!

tafiti nadhani una kazi kubwa sana .Mawazo yako na ya Mkapa ya kutaka ushahidi wa rushwa kwenye mikutano ya hadhara , iko kazi sana lakini ndiyo kazi yako ndugu ongeza kasi .
 
Salama aleykum waungwana.Nilikuwa napita tu kwenye forum lakini baada ya kusoma hoja za wenye uchungu na nchi yao nikaona ni lazima nami nichangie kidogo.Kuna mtu ananishangaza sana,na huyu si mwingine bali ni huyo anayejii ta "tafiti then jadili".Nadhani ni mwanamtandao kama baadhi ya members wanavyohisi.Unajua tuna Watanzania wenzetu ambao wana ugonjwa wa kupenda,na hao ni wengi kweli ndio maana mnaona sura zilezile za wezi,wazinzi,wala rushwa na wengineo wenye dhambi za uongozi wakirudishwa madarakani kwa kupigiwa kura na wananchi.Naomba niwe mkweli,katika siasa makini mtu kama JK ingemwia vigumu sio tu kupata urais bali hata huo mchujo wa wagombea ndani ya CCM.Swali ambalo mpaka leo sijawahi kupewa jibu la kuridhisha ni kwamba hivi JK alikuwa na sifa gani bora zaid kabisa ya wagombea wenzie ndani ya CCM?Wanazuoni wanasema kuwa kutotajwa kwenye skandali haimaanishi kuwa mtu huyo ni safi.Na kweli JK sio msafi kimaadili.Sio kumtusi,lakini anafahamika kwa ugonjwa wake wa vimwana,na madhara ya ugonjwa huo yameshaanza kujitokeza kwa kutoa zawadi za vyeo kwa makoloni yake.Ukiwauliza watanzania kuwa kwanini JK anapendwa namna anavyopendwa (sijui anapendwa au anashabikiwa tu) si rahisi kupata jibu la haraka.Wapo wenye hoja funyu kuwa ni kijana na ana haiba,sasa sijui kama hivyo ni vigezo vya kuwa kiongozi bora.Wapo wanaodai hajawahi kuhusishwa na tuhuma za ulaji.Hilo sina hoja nalo lakini aliwahi kudadisiwa alipokuwa USA kabla ya kupata Urais kuwa anaonekana kuwalaumu baadhi ya viongozi ndani ya CCM ambao hawana uchungu na nchi,lakini yeye kama miongoni mwa viongozi waandamizi wa serikali ya chama hicho amefanya nini kujitofautisha na hao aliokuwa akiwalaumu.Naambiwa aliishia kujiumauma tu.Collective responsibility sio excuse ya ku-consent ubadhirifu na wizi wa mali ya umma.

Hofu yangu kubwa kwa sasa ni kwamba JK anaelekea kuwa populist flani.Mtu wa kuongea maneno matamu wakati wananchi wanaendelea kuumia.Miezi minane sasa imepita na hakuna dalili yoyote kuwa yale tulokuwa tunayalaani katika enzi za Ben au Mwinyi yana dalili ya kutokomea.Kauli zimekuwa nyingi zaidi ya vitendo.Ukiangalia kwa makini sana unaweza kuhisi kuwa hii Awamu ya Nne ni kama haina dira na mwelekeo,ahadi zinazidi kutolewa wakati zile za mwanzo hata hazijaanza kufanyiwa kazi,na kibaya zaidi hakuna hata dalili kuwa kuna mwanga huko mbele ya safari.

Nirejee kwa huyu "Tafiti then Jadili".Yaelekea huyu ana ugonjwa wa kupenda...aidha kwa sababu za kibaiolojia (yes,kuna watu wamezaliwa wakiwa na hasira,wengine dhaifu wa kupenda.etc) au anatetea kula yake.Kupenda sio dhambi,kupenda kupita kiasi ni kilema.Na haihitaji hata short-course certificate ya rocket science kujua kuwa wakati sie wengine tunakuja kwenye forums kama hizi kujadili hatma ya nchi yetu,yeye yuko kazini...the more dirty stuffs she defends the more credible to her (may be his) masters she (or he) becomes.Pengine nisimlauu sana kwa vile sijui yuko based wapi,huko nyumbani au huku ugenini.Lakini nilicho na hakika nacho ni kwamba ni Mtanzania mwenzetu.Na sidhani kama kuna Mtanzania mwenzetu ambaye anaridhika na posho anazopewa kwa kutetea waovu huku babu,binamu,bibi,ndugu wengine,marafiki na hata majirani wanateseka kutokana na haohao waovu anaowatetea.Nashwishika kusema si mtoto,mke au ndugu wa karibu wa hao anaowatetea bali ni "mwajiriwa" tu,kwa sababu ni nadra sana kwa wale walio kwenye close circle za wanauza nchi yetu ku-bother kuja kuangalia "upuuzi" tunaouandika au malalamiko ya wanaotuibia.By the way,wako too busy kushiriki kula national cake to bother or care about what we are talking about.Lakini ikiwa ajira yako ni kufagia matapishi ya master wako then you have no other way than calling matapishi hayo some gratifying names.

"Tafiti then Jadili" waonee huruma Watanzania wenzako na usitetee tu as if umehamia kutoka huko walikotoka watu kama Rostam Aziz na wengine.Hao hata wasipojali kuhusu nchi yetu,wana sababu zao za msingi.Kinachonipa moyo ni kwamba naamini moyoni mwako hauko tofauti na sisi tunaokerwa ila you are just doing what you have to do kupeleka mkono kinywani.
 
tafiti then jadili said:
hizi zote kauli za rushwa ni hear say tu.

nashindwa kutoa uthibitisho kwa vile naona mnaongea ongea tu

kukiwa na ciritical points tutaonana manake siwezi kudispute maneno aliyosema mzee akinyolewa! au maneno ya kuwa kulikuwa na bahasha za brown, sikuwepo dodoma!

"All great truths begin as blesphemies"-George Bernard Shaw.
 
Jasusi said:
Mlalahoi,
I like your analysis, man. Keep up!
Asante,Jasusi.Kama kuna forum yenye watu wenye uchungu na nchi yao then this is undisputedly the best.Watu kama "Tafiti then Jadili" wanatusaidia kutukumbusha kuwa mvunja nnchi ni mwananchi pia.Ukiona mtu anatetea kila kitu hata kama kinamwathiri yeye wenyewe basi ujue kuna jambo hapo.

GOOGLE Inc ilianzishwa na watu ambao hawakudhani kama kuna siku itakuwa maarufu ilivyo leo.Kwa mtazamo wangu,forum hii can turn into a massive thing ,although nina hakika kuna watu wangependa ife hata sekunde hii.Hao wanaweza kudhibitiwa kwa hoja ambazo japo hawatozikubali hadharani wanaweza kuzikubali mioyoni mwao.
 
Mzee Tafiti,

Heshima yako mkuu,

finally unaanza kuelewa ingawa ni kdigo, kule BCS tulisema mwanzoni kuwa JK anapata hela toka Iran za uchaguzi, gazeti la African Confidential, kule London likathibitisha na mzee JK mwenyewe akasema kuwa atawashitaki, na wale yaani magazeti ya London wakamjibu kuwa akawashitaki kule kule London kwenye haki, ili waonane naye, sasa mpaka leo hatujasikia kitu,............ Vipi hili unalionaje?
 
Nipo safarini kikazi nitawaandikia kwa kirefu kuhusu hayo madai ya Iran na hoja za Mlalahoi.

Mwandishi alieshitakiwa na Jakaya kuhusu mafedha ya Iran ni rafiki yangu wa siku nyingi sana. Yani hapo mmenigusa jikoni kwangu!

I will write kwa kirefu soon.

Nashawishika kuifanya hii forum my home page!

Hongera sana Fillga
 
Mwanzoni ulituita kijiwe sasa umeona ni mawe kweli kweli hapa hatuchomi chumvi wala kulea na kuosha vidonda mtasema wenyewe .
 
Mhe. Kikwete, tujifunze kwa wenzetu!

Bates found guilty of fraud

BY DAVID ASHENFELTER and MARISOL BELLO
FREE PRESS STAFF WRITERS - Detroit Free Press, September 1, 2006

Alonzo Bates' long and turbulent public service career came crashing down in a Detroit courtroom Thursday when a federal jury convicted him of putting the mother of his son, an ex-girlfriend's daughter, his brother-in-law and his yardman on the city payroll without requiring them to work.

"Ku Klux Klan ... Ku Klux Klan," the stunned former Detroit City Councilman muttered after the U.S. District Court jury found him guilty of hiring so-called ghost employees and pocketing $3,684 worth of paychecks that were supposed to go to his yardman.

The jury deadlocked on whether Bates, 66, extorted a $7,480 roof from a city contractor, prompting the judge to declare a mistrial on that count.

"Nothing's changed since down South," Bates continued as his lawyer and wife tried to get him to shut up and leave the courtroom.

Before walking out, Bates turned and glared at WJBK-TV Fox 2 producer Ken Martinek, who with reporter Scott Lewis broke the ghost worker story that led to Thursday's verdict. The jury deliberated 15 hours over three days following a six-day trial.

An hour after the verdicts were announced, Detroit Public Schools officials said they must decide whether to rename the Alonzo W. Bates Academy, a nationally acclaimed elementary and junior high school Bates helped found as a Detroit school board member.

"It's something we'll have to consider," said school board President Jimmy Womack.

The most serious charge, bank fraud -- for forging and cashing several of the yardman's checks -- carries a maximum penalty of 30 years in prison and a $1-million fine. But Bates likely will face up to 3 years based on federal sentencing guidelines, which will take into account that he has no criminal record and that the crime involved less than $100,000.

U.S. Attorney Stephen Murphy III, flanked by Assistant U.S. Attorney Michael Bullotta, who tried the case, said at a news conference that the verdict sends a message to public officials that corruption will be prosecuted.

Murphy rejected claims by Bates' lawyer, Steve Fishman of Detroit, who said the federal government pursued Bates because he's an urban Democrat. Bates has claimed he was targeted because he is black.

"That is absolutely preposterous," said Murphy, a Republican. "We go where the evidence takes us, regardless of race, party affiliation or geography."

Murphy said he hadn't decided whether to retry Bates on the extortion count.

Fishman said he was disappointed but didn't know whether Bates would appeal. Sentencing was set for Jan. 4.

Fishman said he would have done nothing differently -- including his decision not to call Bates or any other witnesses, instead relying on cross-examining government witnesses.

Juror Delores Calloway, a Detroit schoolteacher, said jurors decided early in deliberations that Bates was guilty of everything but extortion.

"The evidence against him was overwhelming," she said.

Calloway, one of two black jurors, and a white juror, Denise Forsythe, a Harrison Township court reporting student, said the lack of direct testimony from anyone who heard Bates demand the free roof prevented them from deciding that count.

Calloway said she was disappointed to hear about Bates' Ku Klux Klan remark, adding that the jury carefully reviewed all of the evidence to make sure Bates got a fair trial.

"Had it been me, I would have pled guilty," Calloway added, saying that as a Detroiter and a black woman she was embarrassed by the conduct that landed Bates in court.

Bates was indicted in November 2005, a week after losing election to a second City Council term. He was charged with allowing the ghost employees to collect $87,909.

He paid the daughter of a former girlfriend $31,680 while she attended graduate school in New York.

The mother of his 12-year-old son got $42,818 while she worked full-time for a Detroit hospital. His brother-in-law received $7,750 as repayment for working on Bates' 2001 council campaign.

The yardman was issued checks for $9,345 to mow Bates' lawn, wash his cars and take out his trash.

Bates pleaded guilty on the first day of trial to four misdemeanor counts of failing to file federal income tax returns in 2001-2004, when he had about $400,000 in income.

Prosecutors wouldn't discuss whether other Detroit officials are being investigated. In 2005, Councilwoman Alberta Tinsley-Talabi said she was being investigated by a grand jury for hiring Bates' daughter.

Council President Kenneth Cockrel Jr. said the council operates far more efficiently than how Bates ran his office.

"The bottom line is, council members have discretion over who they hire and what people do," Cockrel said, "but that does not mean you can break the law."

Contact DAVID ASHENFELTER at 313-223-4490 or [email]ashenf@freepress.com[/email]. Librarian Alice Pepper contributed to this report.

[b]Kesi nyingine ambapo waendesha mashtaka waliwatolea uvivu viongozi kwenye jiji la Detroit[/b]

Last year, James Redmond, former superintendent of the Oakland Intermediate School District, was convicted of felony misconduct in office and misdemeanor conflict of interest for wasting millions of dollars and steering contracts to companies where he had personal ties. He served 6 months in jail.

• Detroit Councilwoman Kay Everett was indicted on 27 counts of corruption and bribery, accused of extorting thousands of dollars and perks from a contractor in exchange for her votes. She died in 2004 before a trial.

• Almost 20 public officials and contractors pleaded guilty or were convicted from 2001 to 2004 in a scheme to defraud the Clintondale Community Schools and East Detroit Public Schools out of more than $3 million.

• Former Detroit Police Chief William Hart was convicted in 1992 of stealing $2.6 million from police drug-enforcement funds. He served 6 years in prison and died in 2003.

• Charles Beckham, former Detroit water and sewerage director, was convicted in 1984 of accepting bribes in exchange for providing city contracts. Beckham currently heads the city's General Services Department, overseeing city and contract work for building maintenance and other services.

Je kuna cha kujifunza toka kwa wenzetu???
 
I happened to come across this article and I thought it will be worthy to share it with you. Any comments?

Zero tolerance, so far
The new President is pleasing the people with a crackdown on crime and corruption
Source: Africa Confidential 7 July 2006 Vol 47 No 14
A barnstorming campaign last December and victory with 80 per cent of the national vote left President Jakaya Mrisho Kikwete with much to live up to. So far, he has kept thepublic on side and won applause for a crackdown on crime and corruption managed by a new and vociferous police chief.
More quietly, but so far skilfully, Premier Edward Lowassa has shown toughness too. Like Kikwete, he is an insider in the governing Chama cha Mapinduzi (CCM), who has done various ministerial jobs since 1977. As Water Minister, he successfully negotiated settlement of an old dispute with Egypt over the use of Lake Victoria and terminated a British company's contract to manage the Dar es Salaam water supply.
Kikwete was criticised for increasing the number of ministries from 19 to 22, saying it would ‘emphasise priority areas for action'. He split the former Ministry of Water and Livestock Development into two and formed a new Ministry for East African Cooperation. He transferred responsibility for the police away from Home Affairs to a new Public Security Ministry. The Planning Department, formerly in the President's office, became the Ministry of Planning, Economy and Empowerment under Juma Ngasongwa, who has worked on planning under three presidents and is in charge of the donors' favourite subject, poverty reduction.
Kikwete chooses his team
Of ex-President Benjamin Mkapa's 26 ministers, 14 were dropped from cabinet; there are now seven full and ten deputy female ministers, compared to four full and four deputies before. Eleven regional commissioners were dropped and nine moved to other regions. Five overseas diplomats were reassigned and a lawyer who has specialised in corporate affairs, Mwanaidi Dinare Maajar, became the new High Commissioner in London. The President has visited all the ministries and harangued the new ministers and their staff. He told the people at the Agriculture Ministry to stop sitting in their offices enjoying fat salaries and go into the countryside and rescue it from backward farming. He ordered cattle removed from the Usangu Game Reserve wetlands, saying they destroyed the environment and impeded the flow of water to the vital Mtera hydropower dam. He told the bureaucrats in charge of the troubled Tanzania Fishing Corporation (Tafico): ‘If it collapses, so will you'. Civil servants who had ‘dubiously sold' hunting blocks were sacked or moved. A forestry official, said to have licensed illegal logging, was moved. Others were fired for misallocating plots of land. Government scholarships will no longer be given for private education or study abroad: ‘We cannot use our meager funds to sponsor someone who opts for Oxford'. Civil servants are required, as from July, to sign ‘Performance Contracts' specifying that their duties must be carried out decisively, promptly and successfully (this won the Prime Minister a standing ovation in parliament). Any official accused of financial mismanagement by the Controller and Auditor General (CAG), will face prompt disciplinary action. Encouraged by Kikwete's moves, journalists began uncovering examples of corruption, including fat payments to ‘ghost workers' in Zanzibar, Health Ministry scams and payments for work not done. Tax officials came under investigation. Such reforms need time to take effect. In the short term, Kikwete has faced some immediate crises. Drought brought food shortages to several parts of the country. He ordered in more food and officials selling relief supplies were sacked and prosecuted. The drought also reduced the level at the Mtera dam, causing power shortages, with serious economic consequences. Gas generators were ordered from Finland. A rise in violent crime has followed the inflow of small-arms from neighbouring countries; some 16 serious armed robberies were reported around the time Kikwete took over. This was Kikwete's chance to make a big impression. He said it was suspected that police were colluding with criminals and was proved right in January, when two gem dealers were killed by robbers in Dar es Salaam. It turned out that police had used the crackdown on crime to mount their own robbery. A commission of enquiry reported and 15 policemen were arrested. To make things worse, the Inspector General of Police (IGP), Omar Mahita, accused the opposition Civic United Front (CUF) of being behind some violent crimes and said the party would never come to power while he held his job. Opposition parliamentarians, and a huge crowd of demonstrators in the capital, urged Kikwete to sack him and in March, he was ‘allowed to retire'. The appointment as his successor of Said Ally Mwema was praised by all parties; several senior officers were promoted and new ones appointed. To ‘create a sense of transparency', the new IGP published in the press the office, home and mobile telephone numbers of all regional police commanders, plus his own. This produced some hoax calls at ‘ungodly hours' and several useful tip-offs.
The government has raised police morale by paying
allowances that had been due to them for years and set up a
fund to reward informers. All over Tanzania, the police got
busy. One district police commander was suspended; dozens
of businessmen were picked up on suspicion of sponsoring
gangs and possessing stolen cars. The deputy editor of a
leading newspaper was put under investigation.
Premier Lowassa joined the anticrime campaign, suspending
a district council director for failing to distribute food to starving
people and a municipal engineer for allowing the building of
a four-story building that collapsed. He went too far, cracking
down on street vendors, who reacted violently; two people
died and many were injured before riot police quelled the mob.
Lowassa halted the operation to allow time for change.
The media also reminded people that in 1966, the Warioba
Report on Corruption had named 30 influential people as
possibly corrupt and some of them were still in office. The
government replied that it had no evidence. Law-abiding
Tanzanians are pleased by the campaign; those who grew rich
under previous governments are keeping quiet.
 
tafiti then jadili said:
Nipo safarini kikazi nitawaandikia kwa kirefu kuhusu hayo madai ya Iran na hoja za Mlalahoi.

Mwandishi alieshitakiwa na Jakaya kuhusu mafedha ya Iran ni rafiki yangu wa siku nyingi sana. Yani hapo mmenigusa jikoni kwangu!

I will write kwa kirefu soon.

Nashawishika kuifanya hii forum my home page!

Hongera sana Fillga

Kama kweli JK alishitaki, na aliyeshitakiwa ni rafiki yako, basi naomba ujibu haya maswali:

(a) Kesi imekwisha au bado inanguruma?
(b) Kesi inafanyika au ilifanykia mahakama gani?
(c) Kama kesi imekwisha basi matokeo yake yalikuwaje?

Hii inahusiana na habari zilizodai kwamba JK alipewa $20 mil. na Iran kipindi cha uchaguzi, na kwamba fedha hizo zilipitia kwa Rostam Aziz.

Augustine Moshi
 
what went wrong here,tafiti then jadili Can we finalise the deal now after two years?
 
mheshimiwa mwanakijiji,

kama wewe ndie yule mwenye podcast nianze kwa kukushukuru kwa ujumbe wako maridhawa ambao huwa unautoa katika hizo, i am a great fan na keep it up!

Nasikitika umeshindwa kuelewa context ya mazungumzo ya Rais kwa vile alichosema na ndio maana kimepokelewa vizuri na waandishi wa habari ni kile alichosema kwamba kwa sasa sheria za sasa zilizopo zina walakini hazina meno ya kutosha kuwang'ata wale wanaoshukiwa kuhusika na ubadhirifu wa pesa manake kwa sasa ni utaratibu uliopo ni kwamba ubadhirifu ni suala la kinidhamu kazini hivyo mtu akituhumiwa kwa upotevu wa mamilioni basi atasimamishwa kazi uchunguzi uendelee na kisha ikija kubainika basi atafukuzwa kazi sheria ichukue mkondo wake, katika utaratibu aliorecommend sasa ni kwamba mtuhumiwa wa ubadhirifu na wizi wa fedha za serikali atakuwa chini ya uchunguzi wa kosa la jinai meaning atapelekwa ndani na kisha polisi kufanya kazi yake.

Hii inaenda sambamba na hatua za waziri mwapachu kuhakikisha polisi wanakuwa na elimu ya kutosha na meno ya kutosha kung'ata penye uhalifu, kwa sasa polisi wana udhaifu mkubwa katika kushughulikia makosa/uhalifu wa kisomi kwa vile wengi ni beyond elimu wanazoweza baini wizi wa namna hii.

Rais pia aliwahi kusema kwamba atahakikisha PCB inapewa nguvu za kutosha kupeleka kesi mahakamani wao wenyewe na sio kupeleka jalada kwa DPP ili kufungua mashtaka hii ni kuongeza urasimu usio na maana.

Ama kuhusu mifano:
Yes inawezekana wakati akiwa waziri wa mambo ya nje fedha zilipotea kiaina, tumewahi kusoma kuhusu missing milllions katika balozi kadhaa, lakini mara alipoingia urais kafanya nini, yupo balozi amefutwa kazi, ni costa mahalu aliekuwa italia huyu anashutumiwa kula takriban bilioni moja kaondolewa kabisa katika utumishi serikali na sasav PCB wanawork out on how to recover the money and sue him.

Tangu kawa rais amekuwa akielezea namna anavyoweza kudeal na rushwa kivitendo lakini huwezi kuanza kufukuza watu, rushwa imejikita ndani mno ya jamii kiasi ukisema uifute basi waweza ondoa serikali nzima au at least unaweza kuboggy step, the best way ni kudeal na mianya ya rushwa be it in terms of sheria dhaifu, watendaji dhaifu au kuimarisha mamlaka husika.

Kama unavyojua serikali yetu imekuwa na uwezo mdogo wa kulipa wafanyakazi wake hivyo inakuwa vigumu kwa wafanyakazi wenyewe kujizuia na chauchau hivyo moja ya mbinu zinazotumika hivi sasa ni kuanzisha executive agencies yaani ofisi ambazo zipo chini ya usimamizi wa serikali lakini zina semi autonomy ya kujipangia baadhi ya viwango vya mishahara, ndio maana utaona taasisi kama hizo mfano, TRA na Customs sasa hivi mishahara ni mikubwa kwa watumishi na opportunities nyinginezo hivyo mambo ya rushwa siwezi kusema hamna bali yamepungua kwa kiasi kikubwa sana.

Next in line ni kuondoa kabisa mashirika ya biashara katika usimamizi wa serikali manake mengi yamekuwa yakifa kwa sababu uteuzi wake ulikua ni wa kisiasa zaidi kuliko ujuzi hivyo huko nyuma tulikuwa tunapata watu wanaongoza mashirika ya biashara kusoma balance sheet hawawezi! Sasa hivi serikali imefungua milango kwa wataalamu wajiunge na mashirika waweze kuongoza. Katiba inabadilishwa kuhakikisha rais anaondolewa madaraka ya kuteua watu wengi, manake kwa sasa ni rahisi kwa rais kuteua mtu asiemjua manake wewe mwenyewe angalia rais ateue mawaziri na manaibu na makatibu wakuu na mabalozi na manaibu katibu wakuu, maRAS ma DC na Marc na wakuu wengine wa mashirika mengi zaidi wakati ingekuwa wanachaguliwa kwa sifa watu hawa ingekuwa poa zaidi.

Kwa hiyo mwanakijiji mimi nasema ni mwanzo mzuri tumpe rais muda na tufuatilie kwa makini maneno yakioanishwa na vitendo, if not utaniona tena hapa nikicomment kwa kukubaliana nawe!

Wacha kabisa longolongo zako za kutetea ufisadi. Kwa kuwa mkeo na wanao wanaishi maisha ya kifahari kwa hizo fedha mnazochota kwa wanyonge ndio unakuja na blah blah zako chafu? Muogope Mungu ndugu yangu! Huonei huruma maelfu ya Watanzania wanaoteseka na kufa kwa huu uchafu wenu??? Tumpe muda... tumpe muda.. tumpe muda... muda gani tena anataka apewe. Hayo majambazi Chenge Mamvi na Rostam wanajulika kila mahali amewafanya nini?? Au kwa kuwa ni mafisadi wenzie?
 
Imeripotiwa hivi karibuni kuwa Rais Kikwete ametaka wale wote wanaofuja fedha za serikali wafikishwe polisi badala ya Taasisi ya Rushwa au kuitwa kwenye vikao vya nidhamu. Maneno hayo yamesifiwa na vyombo vya habari vya bongo na baadhi ya watu ambao upeo wao wa kufikiri umetiwa kiwingu na kutangaa kwa Mhe. Kikwete. Hata hivyo, siyo wote ambao ni vipofu!!

Mhe. Rais,

a. Ulipokuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, je kuna fedha zozote ambazo zilipotea "kiana"? Je kuna mtu yeyote chini ya iliyokuwa wizara yako ambaye alituhumiwa kufuja fedha za umma? Kama yupo, je huyo mtu amefikishwa polisi?

b. Katika nafasi yako ya sasa kama Rais wa JMT, je kuna mtu yeyote ambaye chini ya ofisi ya Rais ametuhumiwa kufuja fedha, na bado yupo kwenye nafasi yake hiyo? Je uko tayari kumsimamisha mtu huyo na kumfikisha polisi ili uchunguzi ufanywe?

c. Je kati ya mawaziri na viongozi kadhaa uliowateua tangu uchukue madaraka kuna yeyote ambaye chini ya uongozi wake kiasi cha fedha kimepotea bila maelezo ya kutosha? Je uko tayari kumsimamisha mtu/watu hao kutoka nafasi hizo ili polisi wafanye uchunguzi na ikibidi afikishwe mahakamani?

Mkono mtupu haulambwi!! na maneno matupu hayavunji mfupa!!!!! Onyesha mfano badala ya kutuzuga!!!! Kama hauko tayari kuonyesha mfano usitegemee wengine wafuate!!!!

Thanks you!!!

It was in 2006, mwaka mmoja baada ya uchaguzi mkuu 2005.
 
I happened to come across this article and I thought it will be worthy to share it with you. Any comments?

Zero tolerance, so far
The new President is pleasing the people with a crackdown on crime and corruption
Source: Africa Confidential 7 July 2006 Vol 47 No 14
A barnstorming campaign last December and victory with 80 per cent of the national vote left President Jakaya Mrisho Kikwete with much to live up to. So far, he has kept thepublic on side and won applause for a crackdown on crime and corruption managed by a new and vociferous police chief.
More quietly, but so far skilfully, Premier Edward Lowassa has shown toughness too. Like Kikwete, he is an insider in the governing Chama cha Mapinduzi (CCM), who has done various ministerial jobs since 1977. As Water Minister, he successfully negotiated settlement of an old dispute with Egypt over the use of Lake Victoria and terminated a British company's contract to manage the Dar es Salaam water supply.
Kikwete was criticised for increasing the number of ministries from 19 to 22, saying it would ‘emphasise priority areas for action'. He split the former Ministry of Water and Livestock Development into two and formed a new Ministry for East African Cooperation. He transferred responsibility for the police away from Home Affairs to a new Public Security Ministry. The Planning Department, formerly in the President's office, became the Ministry of Planning, Economy and Empowerment under Juma Ngasongwa, who has worked on planning under three presidents and is in charge of the donors' favourite subject, poverty reduction.
Kikwete chooses his team
Of ex-President Benjamin Mkapa's 26 ministers, 14 were dropped from cabinet; there are now seven full and ten deputy female ministers, compared to four full and four deputies before. Eleven regional commissioners were dropped and nine moved to other regions. Five overseas diplomats were reassigned and a lawyer who has specialised in corporate affairs, Mwanaidi Dinare Maajar, became the new High Commissioner in London. The President has visited all the ministries and harangued the new ministers and their staff. He told the people at the Agriculture Ministry to stop sitting in their offices enjoying fat salaries and go into the countryside and rescue it from backward farming. He ordered cattle removed from the Usangu Game Reserve wetlands, saying they destroyed the environment and impeded the flow of water to the vital Mtera hydropower dam. He told the bureaucrats in charge of the troubled Tanzania Fishing Corporation (Tafico): ‘If it collapses, so will you'. Civil servants who had ‘dubiously sold' hunting blocks were sacked or moved. A forestry official, said to have licensed illegal logging, was moved. Others were fired for misallocating plots of land. Government scholarships will no longer be given for private education or study abroad: ‘We cannot use our meager funds to sponsor someone who opts for Oxford'. Civil servants are required, as from July, to sign ‘Performance Contracts' specifying that their duties must be carried out decisively, promptly and successfully (this won the Prime Minister a standing ovation in parliament). Any official accused of financial mismanagement by the Controller and Auditor General (CAG), will face prompt disciplinary action. Encouraged by Kikwete's moves, journalists began uncovering examples of corruption, including fat payments to ‘ghost workers' in Zanzibar, Health Ministry scams and payments for work not done. Tax officials came under investigation. Such reforms need time to take effect. In the short term, Kikwete has faced some immediate crises. Drought brought food shortages to several parts of the country. He ordered in more food and officials selling relief supplies were sacked and prosecuted. The drought also reduced the level at the Mtera dam, causing power shortages, with serious economic consequences. Gas generators were ordered from Finland. A rise in violent crime has followed the inflow of small-arms from neighbouring countries; some 16 serious armed robberies were reported around the time Kikwete took over. This was Kikwete's chance to make a big impression. He said it was suspected that police were colluding with criminals and was proved right in January, when two gem dealers were killed by robbers in Dar es Salaam. It turned out that police had used the crackdown on crime to mount their own robbery. A commission of enquiry reported and 15 policemen were arrested. To make things worse, the Inspector General of Police (IGP), Omar Mahita, accused the opposition Civic United Front (CUF) of being behind some violent crimes and said the party would never come to power while he held his job. Opposition parliamentarians, and a huge crowd of demonstrators in the capital, urged Kikwete to sack him and in March, he was ‘allowed to retire'. The appointment as his successor of Said Ally Mwema was praised by all parties; several senior officers were promoted and new ones appointed. To ‘create a sense of transparency', the new IGP published in the press the office, home and mobile telephone numbers of all regional police commanders, plus his own. This produced some hoax calls at ‘ungodly hours' and several useful tip-offs.
The government has raised police morale by paying
allowances that had been due to them for years and set up a
fund to reward informers. All over Tanzania, the police got
busy. One district police commander was suspended; dozens
of businessmen were picked up on suspicion of sponsoring
gangs and possessing stolen cars. The deputy editor of a
leading newspaper was put under investigation.
Premier Lowassa joined the anticrime campaign, suspending
a district council director for failing to distribute food to starving
people and a municipal engineer for allowing the building of
a four-story building that collapsed. He went too far, cracking
down on street vendors, who reacted violently; two people
died and many were injured before riot police quelled the mob.
Lowassa halted the operation to allow time for change.
The media also reminded people that in 1966, the Warioba
Report on Corruption had named 30 influential people as
possibly corrupt and some of them were still in office. The
government replied that it had no evidence. Law-abiding
Tanzanians are pleased by the campaign; those who grew rich
under previous governments are keeping quiet.

Maamuzi ni muhimu!
 
Mhe. Kikwete, tujifunze kwa wenzetu!

Bates found guilty of fraud

BY DAVID ASHENFELTER and MARISOL BELLO
FREE PRESS STAFF WRITERS - Detroit Free Press, September 1, 2006

Alonzo Bates' long and turbulent public service career came crashing down in a Detroit courtroom Thursday when a federal jury convicted him of putting the mother of his son, an ex-girlfriend's daughter, his brother-in-law and his yardman on the city payroll without requiring them to work.

"Ku Klux Klan ... Ku Klux Klan," the stunned former Detroit City Councilman muttered after the U.S. District Court jury found him guilty of hiring so-called ghost employees and pocketing $3,684 worth of paychecks that were supposed to go to his yardman.

The jury deadlocked on whether Bates, 66, extorted a $7,480 roof from a city contractor, prompting the judge to declare a mistrial on that count.

"Nothing's changed since down South," Bates continued as his lawyer and wife tried to get him to shut up and leave the courtroom.

Before walking out, Bates turned and glared at WJBK-TV Fox 2 producer Ken Martinek, who with reporter Scott Lewis broke the ghost worker story that led to Thursday's verdict. The jury deliberated 15 hours over three days following a six-day trial.

An hour after the verdicts were announced, Detroit Public Schools officials said they must decide whether to rename the Alonzo W. Bates Academy, a nationally acclaimed elementary and junior high school Bates helped found as a Detroit school board member.

"It's something we'll have to consider," said school board President Jimmy Womack.

The most serious charge, bank fraud -- for forging and cashing several of the yardman's checks -- carries a maximum penalty of 30 years in prison and a $1-million fine. But Bates likely will face up to 3 years based on federal sentencing guidelines, which will take into account that he has no criminal record and that the crime involved less than $100,000.

U.S. Attorney Stephen Murphy III, flanked by Assistant U.S. Attorney Michael Bullotta, who tried the case, said at a news conference that the verdict sends a message to public officials that corruption will be prosecuted.

Murphy rejected claims by Bates' lawyer, Steve Fishman of Detroit, who said the federal government pursued Bates because he's an urban Democrat. Bates has claimed he was targeted because he is black.

"That is absolutely preposterous," said Murphy, a Republican. "We go where the evidence takes us, regardless of race, party affiliation or geography."

Murphy said he hadn't decided whether to retry Bates on the extortion count.

Fishman said he was disappointed but didn't know whether Bates would appeal. Sentencing was set for Jan. 4.

Fishman said he would have done nothing differently -- including his decision not to call Bates or any other witnesses, instead relying on cross-examining government witnesses.

Juror Delores Calloway, a Detroit schoolteacher, said jurors decided early in deliberations that Bates was guilty of everything but extortion.

"The evidence against him was overwhelming," she said.

Calloway, one of two black jurors, and a white juror, Denise Forsythe, a Harrison Township court reporting student, said the lack of direct testimony from anyone who heard Bates demand the free roof prevented them from deciding that count.

Calloway said she was disappointed to hear about Bates' Ku Klux Klan remark, adding that the jury carefully reviewed all of the evidence to make sure Bates got a fair trial.

"Had it been me, I would have pled guilty," Calloway added, saying that as a Detroiter and a black woman she was embarrassed by the conduct that landed Bates in court.

Bates was indicted in November 2005, a week after losing election to a second City Council term. He was charged with allowing the ghost employees to collect $87,909.

He paid the daughter of a former girlfriend $31,680 while she attended graduate school in New York.

The mother of his 12-year-old son got $42,818 while she worked full-time for a Detroit hospital. His brother-in-law received $7,750 as repayment for working on Bates' 2001 council campaign.

The yardman was issued checks for $9,345 to mow Bates' lawn, wash his cars and take out his trash.

Bates pleaded guilty on the first day of trial to four misdemeanor counts of failing to file federal income tax returns in 2001-2004, when he had about $400,000 in income.

Prosecutors wouldn't discuss whether other Detroit officials are being investigated. In 2005, Councilwoman Alberta Tinsley-Talabi said she was being investigated by a grand jury for hiring Bates' daughter.

Council President Kenneth Cockrel Jr. said the council operates far more efficiently than how Bates ran his office.

"The bottom line is, council members have discretion over who they hire and what people do," Cockrel said, "but that does not mean you can break the law."

Contact DAVID ASHENFELTER at 313-223-4490 or [email]ashenf@freepress.com[/email]. Librarian Alice Pepper contributed to this report.

[b]Kesi nyingine ambapo waendesha mashtaka waliwatolea uvivu viongozi kwenye jiji la Detroit[/b]

Last year, James Redmond, former superintendent of the Oakland Intermediate School District, was convicted of felony misconduct in office and misdemeanor conflict of interest for wasting millions of dollars and steering contracts to companies where he had personal ties. He served 6 months in jail.

• Detroit Councilwoman Kay Everett was indicted on 27 counts of corruption and bribery, accused of extorting thousands of dollars and perks from a contractor in exchange for her votes. She died in 2004 before a trial.

• Almost 20 public officials and contractors pleaded guilty or were convicted from 2001 to 2004 in a scheme to defraud the Clintondale Community Schools and East Detroit Public Schools out of more than $3 million.

• Former Detroit Police Chief William Hart was convicted in 1992 of stealing $2.6 million from police drug-enforcement funds. He served 6 years in prison and died in 2003.

• Charles Beckham, former Detroit water and sewerage director, was convicted in 1984 of accepting bribes in exchange for providing city contracts. Beckham currently heads the city's General Services Department, overseeing city and contract work for building maintenance and other services.

Je kuna cha kujifunza toka kwa wenzetu???[/QUOTE]

Na hii!
 
Back
Top Bottom