Mhe. Nkamia umeidharilisha tasnia ya habari

Ni wachache wanaweza kukaa katika kundi la mafisadi au wavuta bangi wakatoka salama.Lazima ukubali imani unayoitumikia hivyo basi Nkamia anaimani mpya.
Pole Nkamia lakini huku sisi hali sio shwali kama unavyoamini.Tunahisi hatuna Baba wala mama.Lakini hivyo vyote ni viashiria vya mabadiliko makubwa katika jamii yetu.
 
Heeeee unachezea ccm ww?Yan kinachonisikitisha mpaka jambo la kweli mtu anapinga na kutuambia tusiamin vyombo vya habar na si kwamba tumesoma gazeti labda ni kauli ambayo madaktar bingwa wametoa kwa macho na masikio tumeona na kusikia ktk tv.Nkamia hovyo!
 
ni mwandishi wa Habari tena Alikuwa Mtangazaji Mzur sana wa Mpira TBC, hususani Mechi kubwa zinazochezwa Bongo kama Simba na Yanga.

Nasikia pia ni maarufu na mtaalam wa kuwahonga waadishi wa habari wanawake ili wakafanye coverage hotelini anakolala nao
 
Nilipokuwa nasikia kauli ile tena ikitoka kwa mwanahabari mwandamizi,Juma Nkamia nililishtuka sana,yaan watanzania wengi wamesikia wenyewe kwa kuona kwenye tv madaktari bingwa wakitangaza kuanza mgomo jana,yeye anatumbia tusiamini vyombo vya habari?,kweli ccm ni kama pepo!
Amesema nini maana wengine tuko Iramba porini mawasiliano hakuna .Niko jimboni kwa Mbunge wangu Chemba Mugulwi lete ni maneno tafadhali kwa uwazi
 
Nilijua unaniambia niache upuuzi kwa vile umeuacha na hutourudia, kumbe unautamani sana na hupendi mwingine awe nao kwa vile ni wako.Sasa wewe ukiwa proud ndio wengine wapo proud?Mbona kuwa watu kibao huwa dini zao hawazitaji hadharani kwa vile kila mara wanapata habari si nzuri.We mpuuzi kweli ,watu wanaficha kabila na si kubadili kabila.Ingawa kuwa makabila hayawezi jificha kutokana na viachiria vya nje.

Kuna ukabila wa kubagua na kuna ukabila ktk baana ya kuonyesha problem ilipo ili wao wakiikubali waifanyie kazi.Unajua wewe usijifanye mjanja katika ujinga.Dunia nzima weather watu WANAOGOPA AU WANAJIFANYA POLITICALLY CORRECT,WAKIPEWA TASK YA KUPATA GAIDI KWA HARAKA UTAONA WANAENDA WAPI?SIJUI UTAUITA UDINI AU LAH, ila ukweli probability kubwa ya success itakuwa ktk nchi za kiislam.Ndugu yangu kama unafanya research halafu unaleta huruma, na unafiki utavuna unafiki.

Mimi nikitaka soma vitabu huru na vyenye habari reliable sidhani km wasome wa kiislam wa baadhi ya nchi na certainphilosophies sina haja hata ya kuviangalia.HUYU MH. WAKO NAYE NI SEHEMU YA JUNK, na si muda atakuja shika taasisi za watu wa ukanda wenu na atawazamisha km kuku wa kunyonyoa huku mkipiga blah blah zenu kuwa yupo fit.
 
mkorakamili Umetoka kwenye ukabila sasa uko kwenye udini, kweli wewe ni kilaza, hebu achana na mimi, unaonekana ni mbaguzi sana eti JUNK wewe ni zaidi ya junk! siwezi kujibu darasa lanane kama wewe, nenda uwatafute watu wa saizi yako, infact you are not a thinker! unaeneza chuki za kidini na kikabila. Nafikiri siyo madhumuni ya hii forum! kwahiyo wewe tembea mbele tu huna hoja.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wandugu,naomba nimjibu Kibai hv hata kama mkeo ana makengeza siunakubali 2 hata kama umependa,Nkhamia tulimchagua akatuwakilishe mjengoni sisi walalahoi na hatukumchagua akajaze tumbo lake,hivyo lazima atambue hilo swala lako la ukabila hapa halina nafasi,aongopee watanzania halafu umtete au kwa kuwa ulikuwa kampeni meneja wake,nenda zako huko kumbe na wewe kilaza kama yeye,kaka mkorakamili upo sahihi.
 
Back
Top Bottom