Mhe NAPE Na CHAIN

ODD

Member
Mar 25, 2010
31
2
Maswali ya kujiuliza hivi.....
Hivi inakuaje kiongozi kama Nape kuongea na vyombo vya habari huku akionyesha chain .
Hivi Chama hakina maadili yanayohusiana na mavazi.
Hivi alisahau au alifanya makusudi.
Hivi kiongozi mkubwa kama huyo anaonyesha mfano gani.
Hivi tukisema ameanza kulewa madaraka tutakuwa tumekosea.
Hivi kama ameanza na chain za dhahabu shingoni baadaye je.
Hivi akishauriwa kuwa kwa wakati huu chama kinajitahidi kurudisha imani kwa wananchi atasikia.
Na mwisho hivi ukiwa msemaje wa chama unasema kutoka kichwani mwako tu au unayo sema ni yale ambayo chama kimekutuma
 
Mkuu,
Maswali yako ni muhimu, lakini yanakosa alama za viulizo mwishoni, na kupoteza utamu wake!

Jambo unaloliongelea lilishasemwa na Mar.Mwalimu zamani sana!
Hii ni miiko ya uongozi!...Kuna namna ya uvaaji ambayo hata ukikesha unawahubiri wananchi , hawatakuamini hata kwa neno moja!
Kumtoa mtu from nowhere, hadi kuwa msemaji wa chama/SERIKALI(ref.ishu ya UDOM) lazima anakuja na mambo ya USWAZI!
 
Mimi sijaiona aina ya chain anayovaa Nape, lakini kama ni kuvaa chain tu anafuata nyayo za viongozi wa chama chao kwani wengi tu wanavaa hiyo mikufu ya dhahabu wakiwemo John Malecela, Ben Mkapa na hata William Lukuvi kwahiyo nadhani ni utamaduni wa chama chao!!
 
Hivi vaisi vesa ya 'Ukipenda, kipofu unaita chongo' ni nini?
 
Maswali ya kujiuliza hivi.....
Hivi inakuaje kiongozi kama Nape kuongea na vyombo vya habari huku akionyesha chain .
Hivi Chama hakina maadili yanayohusiana na mavazi.
Hivi alisahau au alifanya makusudi.
Hivi kiongozi mkubwa kama huyo anaonyesha mfano gani.
Hivi tukisema ameanza kulewa madaraka tutakuwa tumekosea.
Hivi kama ameanza na chain za dhahabu shingoni baadaye je.
Hivi akishauriwa kuwa kwa wakati huu chama kinajitahidi kurudisha imani kwa wananchi atasikia.
Na mwisho hivi ukiwa msemaje wa chama unasema kutoka kichwani mwako tu au unayo sema ni yale ambayo chama kimekutuma

Ndugu,

Uvaaji wa Mtu hauna uhusiano wowote na Uadilifu wake.

Sisi tunamtaka mtu Mwadilifu na si mvaa ovyo. Kwa Umri wa Nape, ningemshangaa sana na ningemwona ni Mnafiki wa kutupwa kama angekuwa anavaa makoti eti tu yeye ni kiongozi!

Chenge anavaa Chain gani? Kutokuvaa Chain kwa Rostam je kunakufanya wewe uamini kwamba ni Mwadilifu?

Lete hoja zenye kujadilika na si uvaaji au utembeaji wa mtu. Kwa nchi masikini kama Tanzania tuna mambo mengi ya msingi ya kujadili na si kuvaa kwa mtu au kutembea kwa mtu. Vitu vingine binafsi ambavyo havina hathari ya moja kwa moja na kupanda kwa gharama zamaisha naona tuache kuvijadili kwanza, vitatupotezea muda tu. Hapa tujadili kuhusu hizo siku 90 na zile barua alizotuahidi Nape kwa mbwembwe kwamba watawapa Mapacha Watatu zimefikia wapi?

Mimi nahisi hata hao Mapacha Watatu kwa Nape ni watu wakufikirika tu wala hawajui na anaongea tu kama kasuku kwa utamu wa kupewa hayo madaraka aliyopewa.

Maadam yupo humu JF, kama si kweli hawajui na anaongea tu kama kasuku basi aandike akiwataja kwa Majina au hata Initials za majina yao.
 
Ni wabinafsi sana, unafikiri kama anafikiri kuuvika mwili wake na vito vya thamani,
anafikiri kuupumzisha kwenye kasri la namna gani?
anafikiri kuendesha gari la namna gani?
anafikiri kuustarehesha na wanawake warembo namna gani?
anafikiri kuupa mvinyo mzuri kutoka nchi gani?
Kichwa kinachofikilia haya, kinaweza kubaki na space
ya kufikiria juu ya
mfumo bora wa elimu,
namna ya kuinua kipato cha watanzania, n.k
 
Ndugu,

Uvaaji wa Mtu hauna uhusiano wowote na Uadilifu wake.

Sisi tunamtaka mtu Mwadilifu na si mvaa ovyo. Kwa Umri wa Nape, ningemshangaa sana na ningemwona ni Mnafiki wa kutupwa kama angekuwa anavaa makoti eti tu yeye ni kiongozi!

Chenge anavaa Chain gani? Kutokuvaa Chain kwa Rostam je kunakufanya wewe uamini kwamba ni Mwadilifu?

Lete hoja zenye kujadilika na si uvaaji au utembeaji wa mtu. Kwa nchi masikini kama Tanzania tuna mambo mengi ya msingi ya kujadili na si kuvaa kwa mtu au kutembea kwa mtu. Vitu vingine binafsi ambavyo havina hathari ya moja kwa moja na kupanda kwa gharama zamaisha naona tuache kuvijadili kwanza, vitatupotezea muda tu. Hapa tujadili kuhusu hizo siku 90 na zile barua alizotuahidi Nape kwa mbwembwe kwamba watawapa Mapacha Watatu zimefikia wapi?

Mimi nahisi hata hao Mapacha Watatu kwa Nape ni watu wakufikirika tu wala hawajui na anaongea tu kama kasuku kwa utamu wa kupewa hayo madaraka aliyopewa.

Maadam yupo humu JF, kama si kweli hawajui na anaongea tu kama kasuku basi aandike akiwataja kwa Majina au hata Initials za majina yao.

ni kaka ako?
 
bado kijana .... unashangaa nini? Juzi juzi alikwua UDOM.. kwenye kiwanda cha urembo!
 
piga micheini ya gold mzeya si wamekuchagua wenyewe? lakin ukiwa mpiga kazi hizo chain hakuna mtu atakayeziona
 
siku zote huwa anafaa cheni na kupaka karolaiti mwanaume inabidi kujiamini kuwa asilia hivyo vyafaa kina dada..
 
Hiyo ni personal life yake, na haihusiani na mambo ya chama. Ni kijana, na bado mdogo, kupendeza ni haki yake
 
Wacheni ujinga, kuangalia personal life ya mtu. Kuna mengi ya maana mbona hamyafuatilii na mkatuwekea humu ili jamii ipate kufaidika. Eti ooh Nape kavaa chain mara kavaa shanga. Upuuzi mtupu. Kama hamna cha kuandika si bora muwe munasoma tu. Halafu siku hizi humu jamvini mumekuwa na mambo ya kitoto na wale members wakubwa nao wanashabikia. Hivi tunataka kuharibu ile dhana ya GREAT THINKERS? Jamvi limevamiwa jamani tujihadhari.
 
nadhani hawa wanaomponda ni CCM wenzake, namashaka hasa na wale UVCCM wa arusha ndo wanampaka matope bwana Nape.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom