Malipo kwamungu
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 574
- 86
Shida kubwa ya makanisa hawana umoja, wamesoma vizuri lkn hawana umoja, Mbowe amesema kwa sababu yeye pia ni muumini. Ndugu zetu waswahili mnataka nchi hii mbaki ninyi bila dini nyingine?
Nchi gani inayoongozwa kidini yenye amani hata chembe? Sheria za dini yenu zinaweza kumaliza uhuni wote? Mtazamo wa kidini hautaleta suluhu ya umaskini wala kuondoa magonjwa kwa taifa hili, mtazamo wa kidini utahalalisha mambo dhaifu yanayofanywa na watu kwa kutazama dini zao kama wa Dini ya Kiarabu wataonekana hawana hatia kwa sababu ya dini yao! hili ni janga kubwa linalonyemelea taifa letu.
MUNGU IPONYE TANGANYIKA, Mungu Ibariki Tanganyika