Mhe.Mallah na mfano wa mimba ya mwanafunzi

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,988
4,507
Nimekuwa nikijiuliza sana Mhe. Malla alikuwa na maana gani alipofananisha mgogoro wa Madiwani na mtoto wa shule aliyerudi nyumbani na mimba kwamba mzazi hawezi kumfukuza. Anataka kutuambia yeye na Madiwani wenzake baada ya kutembea na CCM na kupata hiyo mimba isiyotarajiwa sasa anataka kuilazimisha Chadema ikubali tu pasipo kuulizia kulikoni au ilikuwakuwaje hiyo mimba ikapatikana matunzo yake yakoje nk. Hata kama ningekuwa mimi ndiye baba Chadema nisingekubali. Ebo!!!!!
 
Utakataa kwa sababu humjui baba wa mtoto au? Maana hapa baba wa mtoto anajulikana na mwanao ndio huyo kitumbo kinaonekana na mjukuu yuko njiani. Hebu sema tena utakataa kwa misingi gani?
 
Ukitaka kumjua Malla kwa undani tembelea Arusha kuna baa moja maarufu katikati ya jiji inaitwa HOUSE OF WINE hapo ndipo anapopooza koromeo lake baada ya pilikapilika zake.
 
Ni simple kama baba wa mtoto anajulikana na msichana anaonekana kumpenda aliyempa ujauzito nitawatakia maisha mema yaani Malla na CCM.
 
Mchezo walioucheza wana magamba ktk skendo ya Arusha hatimae imekamilika. Mallah kategwa then kategeka.. Wananchi kazi imebaki kwenu kuamua!
 
kwa hiyo amekili makosa?

Je ameshaomba radhi kama alivyotakiwa kwenye barua?
 
Ukitaka kumjua Malla kwa undani tembelea Arusha kuna baa moja maarufu katikati ya jiji inaitwa HOUSE OF WINE hapo ndipo anapopooza koromeo lake baada ya pilikapilika zake.

Ndallo tutake radhi!!!!!!!!!!!!. Huyu Bwana ana baa yake inayoitwa Pentagon si kweli kwamba huwa anashinda house of wine .
 
Nimekuwa nikijiuliza sana Mhe. Malla alikuwa na maana gani alipofananisha mgogoro wa Madiwani na mtoto wa shule aliyerudi nyumbani na mimba kwamba mzazi hawezi kumfukuza. Anataka kutuambia yeye na Madiwani wenzake baada ya kutembea na CCM na kupata hiyo mimba isiyotarajiwa sasa anataka kuilazimisha Chadema ikubali tu pasipo kuulizia kulikoni au ilikuwakuwaje hiyo mimba ikapatikana matunzo yake yakoje nk. Hata kama ningekuwa mimi ndiye baba Chadema nisingekubali. Ebo!!!!!

Tatizo hapa anatakiwa auwe kichanga kilichoko tumboni na bila hivyo haruhusiwi kukanyaga home sasa atafanyeje?
 
Ni simple kama baba wa mtoto anajulikana na msichana anaonekana kumpenda aliyempa ujauzito nitawatakia maisha mema yaani Malla na CCM.
ni jibu zuri sana mkuu Feedback ila huoni kama ishatokea dosari katika familia yaani cdm..
 
Lakini bado mtoto atakayezaliwa ni mjukuu wako! Utamwita mwana-haramu mjukuu wako?
 
Tatizo hapa anatakiwa auwe kichanga kilichoko tumboni na bila hivyo haruhusiwi kukanyaga home sasa atafanyeje?
Achague moja akubaliane na masharti mapya nitakayompa yakiwemo kuomba radhi (barua) au aongozane na aliyempa mimba(CCM)
 
ni jibu zuri sana mkuu Feedback ila huoni kama ishatokea dosari katika familia yaani cdm..
I want to keep my family clean aende asije kuambukiza na wadogo zake na hilo litakuwa fundisho pia kwa atakaowaacha huo utakuwa ndio msimamo wa familia.
 
Lakini bado mtoto atakayezaliwa ni mjukuu wako! Utamwita mwana-haramu mjukuu wako?
Definitely mtoto wa nje ya ndoa ni haramu vyovyote utakavyompamba hata maandiko matakatifu yanasema hivyo.
 
Back
Top Bottom