MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 257
Mwisho wa mafis ...adi umekaribia,wataisoma namba muda si mrefu unafikiri mungu anapenda?We subiri tu!
Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kumpigania Lowassa apone haraka ili awe Kagame wetu 2015.
tuna kazi kubwa sana ,mtoa mada unatoa taarifa au unatusuta?????
Huyu ni rais wetu mtarajiwa 2015. Lazima apambane na wanafiki na vizabinazabina kama akina Nape, JK, Kinana, etc.
Mkuu nimemuona akiongea TBC1, jamaa yuko fiti nadhani kuliko wakati wowote ule tangia aingie kwenye siasa. Sikuona uso wa kuchoka wala kukata tamaa bali uso, taswira na sauti vinaonyesha matumaini makuu mbeleni. Asije akawa ndiye mpakwa mafuta.Karibu laigwan nyumbani.
Nassari kwisha kaziLowassa amekanusha habari zote za uongo, asema yuko fiti na anaendelea vizuri, aeleza alifanyiwa operation miaka iliyopita akashauriwa awe anafanya check up kila mara vile vile amefanya check up zingine zote pamoja na moyo na yuko mzima. Anawashukuru wote waliotuma message na kumuweka kwenye maombi, anashukuru maaskofu na mashehe walimuweka kwenye maombi, asisitizia yuko tayari kwa kazi zote na anaendelea vizuri.
Amekanusha kuongelea hali ya siasa arusha.
Mungu akubariki lowassa..
Haya waongo kanusheni sasa
Unajua huyu ndiye chaguo la umma 2015. Kwa hiyo lazima apambane na vizabinazabina kama akina Nape,...,...
Karibu laigwan nyumbani.
Mkuu nimemuona akiongea TBC1, jamaa yuko fiti nadhani kuliko wakati wowote ule tangia aingie kwenye siasa. Sikuona uso wa kuchoka wala kukata tamaa bali uso, taswira na sauti vinaonyesha matumaini makuu mbeleni. Asije akawa ndiye mpakwa mafuta.
Anakimbia kimvuli chake, infact kama ulimuangalia fresh Huyu Fisadi amedhoofika kwa kiasi kikubwa,hata ukiangalia jicho lake la kushoto na uso wake kwa ujumla kwa upande wa kushoto umeshuka kimtindo......
stroke ni hatar sana especially ikikupiga on your left hand side,naaamin hiki ndo kilimkimbizia German
mkuu Kimbunga,
kwanza muangalie sana akiwa anatembea ule mkono wake wa kushoto...hata kwenye baada ya kuongea na wanahabari TBC ameonekana...mchunguze sana anavyotembea, namna mkono wa kushoto unavyo behave akiwa kwenye mwendo, halafu uje na maoni tena, sidhani kama yatakuwa kama hayo hapo uliyoyatoa sasa hivi. Sidhani kama anahitaji kueleza hali yake ikoje maadam wapo wanaoweza kumwona vizuri...
Hawa TBC nadhani watarudia tena ile taarifa, stay tuned.
Check up za mwezi mzima na kulazwa ndani yake??? Duh, nani anlipia hizo??? Ni hakahaka kamfuko ka serikali kalikochacha au anatumia zile alizozivuna baada ya kulitumikia taifa kwa miaka zaidi ya 30??
Kupinga uwezo wa kiuongozi wa mteule huyu ni sawa na kujaribu kukinga risasi kwa ungo. Semeni mpaka makoo yenu yazeeke lakini mtake msitake. Jembe EL Ndiye Rais ajaye!