Mhe Lowassa azungumza na waandishi, asema yupo 'fit'

yuko tayari kwa kazi ipi? Kama ni ya wizi sawa. Mimi ni mwiongoni mwa watu ambao sijawahi kumwombea kwa neema ya mungu amerudi salama ila naomba jambo moja mungu amshugulikie talatibu mpaka mwisho wa uhai wake na kama kweli ni muwazi aseme magonjwa yake yote ili wanaomwombea waombe wakijuwa mgojwa wao anaumwa nini.

Makonda kabla Lowasa hajatutajia Ugonjwa Wake tutajie Ugonjwa Wa Baba yako Sita Anae Vuja Jasho ktk Viyoyozi na Ambae anaishi kwa kupulizia Upepo Maalum Puani na kuvuja Jasho Miguuni Mpaka kushindwa kuvaa Viatu

Ukitutajia huo Ugonjwa na Lowasa atatutajia wakwake Pia ule Ugonjwa wako Wa Kuanguka na kutokwa na Mkojo
 
Daima alichokibariki Mungu mwanadamu hawezi kukilaani.

Hata farao alifanywa kuwa na moyo mgumu, ili mungu atende muujiza wapate kumwamini na kumwabudu. mshaurini lowasa aachane kabisa fikra za kuwa mpangaji magogoni, akishupaza shingo atachuma janga akale na watu wa kwao.
 
Makonda kabla Lowasa hajatutajia Ugonjwa Wake tutajie Ugonjwa Wa Baba yako Sita Anae Vuja Jasho ktk Viyoyozi na Ambae anaishi kwa kupulizia Upepo Maalum Puani na kuvuja Jasho Miguuni Mpaka kushindwa kuvaa Viatu

Ukitutajia huo Ugonjwa na Lowasa atatutajia wakwake Pia ule Ugonjwa wako Wa Kuanguka na kutokwa na Mkojo

Anzisha uzi, shusha data za ukweli tuone, sio kumuwekea mwenzio kigingi, nakufananisha na mkapa dhidi ya v. nyerere arumeru mashariki.
 
Lowassa amekanusha habari zote za uongo, asema yuko fiti na anaendelea vizuri, aeleza alifanyiwa operation miaka iliyopita akashauriwa awe anafanya check up kila mara vile vile amefanya check up zingine zote pamoja na moyo na yuko mzima. Anawashukuru wote waliotuma message na kumuweka kwenye maombi, anashukuru maaskofu na mashehe walimuweka kwenye maombi, asisitizia yuko tayari kwa kazi zote na anaendelea vizuri.

Amekanusha kuongelea hali ya siasa arusha.

Mungu akubariki lowassa..

Haya waongo kanusheni sasa

mbona hajakanusha kuhusishwa na rushwa kwa ajili ya kumpitisha mgombea wao sumari..acha kukurupuka.
 
Amemaliza matibabu au kaona bora aje mwenyewe kuokoa jahazi huko Arumeru Mashariki?
 
Ina maana kazi ya Kumfanyia Tracing Balali imeshakamilika? Nisiulizwe swali . . . . najisemea tu . . .
 
jamani kwa kufanya check up nako kunahitaji maombi ya viongozi wa dini mpaka atoe shukrani??
Isije ikawa ameenda huko kugawana hela za Dowans na RA?
Ila to be honest mzee anaonekana yuko weak. hata kama hasemi wazi but haonekani kama mtu anayeitamani magogoni maana afya inamzidi mbio.
 
Lowassa, kwenye taarifa ya habari TBC anasema yeye yupo fit 100% na yupo tayari kwa mapambano.
 
Tulisema yupo Ujerumani kwa matibabu, na ametoka ujerumani kwa matibabu uongo uko wapi?
 
Akiongea katika uwanja wa Kimataifa wa Dsm Mh. Lowasa amesema hana tatizo lolote lile, mapigo ya moyo yake ni sawa 120/80. Akazidi kutononosha kuw hana kisukari, pressure.

Waliosema nina stroke ni waongo wa kutupwa, nipo fit kwa mapambano yoyote yale.

Hakukufanunua ni mapambano gani.

Swali langu je kaja kuokoa jahazi Arumeru au ndiyo mapambano ya urais?
 
CDM, mbona Lowassa anawaumiza kichwa sana? Kumbukeni Lowasa ni mbunge tu...but mnahaha!
 
EL is the only remaining person to lift the Tanzanian population out of their age-long poverty. May God furnish him with even more wisdom and supply him with sufficient body strength so to accomplish this necessary task.
 
Back
Top Bottom