Mhe. Kikwete chanzo cha migogoro isiyoisha CCM

naninibaraka

JF-Expert Member
Oct 13, 2011
910
668
Uwoga au udhaifu wa kiutendaji wa mh JK ndo chanzo cha migogoro isiyoisha ndani ya chama,kwa nafasi yake ndani ya chama kama mwenyekiti alipaswa kuwaunganisha wana ccm wote kuwa kitu kimoja,badala yake kasabisha mifarakano kwa kutumia vijana wachanga kwenye siasa kama kina Nape kuendelea kukiua chama,wito wangu ni kuwa mh Rais atambue thamana aliyopewa na watz ni kubwa,na wala si ya kuchezea,aache uwoga akemee haya,vinginevyo tabia ya kuwa bubu na kufumba macho baadhi ya issue za msingi,ndo utamng'oa madarakani kabla ya mda wake...
Nawasilisha
 
Hata mbowe na Dr slaa ni chanzo cha migogoro isiyoisha chadema tangu enzi za kukimbia akina Kabouroo, marehemu wangwe, kafulila na sasa Zitto akitaka kugombea uenyekiti mvutano unaanza.

Tofauti ni ukubwa wa migogoro CCM ni chama kikongwe haepukiki kuwa na migogoro rejea Julius Malema wa Afirca kusini na akina Zuma. Chadema hakina miaka mingi kwenye ulingo wa siasa japo ndio chama imara cha upinzani kwa sasa lakini kikikua hakiwezi kukosa mogogoro
 
Uwoga au udhaifu wa kiutendaji wa mh JK ndo chanzo cha migogoro isiyoisha ndani ya chama,kwa nafasi yake ndani ya chama kama mwenyekiti alipaswa kuwaunganisha wana ccm wote kuwa kitu kimoja,badala yake kasabisha mifarakano kwa kutumia vijana wachanga kwenye siasa kama kina Nape kuendelea kukiua chama,wito wangu ni kuwa mh Rais atambue thamana aliyopewa na watz ni kubwa,na wala si ya kuchezea,aache uwoga akemee haya,vinginevyo tabia ya kuwa bubu na kufumba macho baadhi ya issue za msingi,ndo utamng'oa madarakani kabla ya mda wake...
Nawasilisha

Huyo unayemuita Mhe! ni mhe kwako; watanzania hatuna uhakika kama kweli sisi ndo tulimpa dhamana ya kuongoza nchi na CCM yake.
Pili JK sio mwanasiasa bali ni mchora dili za kupata fedha tu!
 
Uwoga au udhaifu wa kiutendaji wa mh JK ndo chanzo cha migogoro isiyoisha ndani ya chama,kwa nafasi yake ndani ya chama kama mwenyekiti alipaswa kuwaunganisha wana ccm wote kuwa kitu kimoja,badala yake kasabisha mifarakano kwa kutumia vijana wachanga kwenye siasa kama kina Nape kuendelea kukiua chama,wito wangu ni kuwa mh Rais atambue thamana aliyopewa na watz ni kubwa,na wala si ya kuchezea,aache uwoga akemee haya,vinginevyo tabia ya kuwa bubu na kufumba macho baadhi ya issue za msingi,ndo utamng'oa madarakani kabla ya mda wake...
Nawasilisha
Uwezo wake ni wa chini sana na baada ya kuligundua hilo ikabidi aingizie ishu za udini ili ionekane anahujumiwa kwasababu ni Mwislam. Haka kajamaa ni janga la Taifa kwa kweli ukiangalia tokea kameingia madarakani mpaka leo hii inaumiza sana sijui tunaenda wapi kwa kweli, ikifikia hata mkuu wa nchi anafanya au kubariki majungu na fitina katika kuendesha nchi inauma sana
 
kuna haja ya kupeleka mswaada bungeni kuondoa matumizi ya neno mheshimiwa.
 
Back
Top Bottom