Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,320
- 6,806
Hivi kweli mabadiliko tunayotaka waTZ ni ya kuwasifia watu waliotufikisha hapa tulipo?, hivi nani hafahamu kuwa ZITO ana uhusiano mkubwa sana na mafisadi? inchuding RA? nani hajui kuwa zito ana mawasiliano na TISS katika kuihujumu CDM?
Kama Zito yuko CDM kwa ajili ya kuwakomboa waTZ inabidi atueleze wazi anatukomboa kutoka kwenye utawala wa CCM ambao anausifia aua mwingine?
Mimi nafikiri ifike mahali waTZ waelewe kuwa kuna wanaCCM na CUF wapo humu na hawapendi maendeleo ya CDM na waTZ kwa ujumla ndilo kundi linalo muunga sana zito humu... na si vinginevyo watu hawa wana agenda chafu sana.
Sina imani na ZITO
Unajua kuna watu wana akili sana, na wana weza kufikiri, na wanajua kuwa wana akili....tatizo huwa hawafikiri zaidi ya pale walipozoea kufikiri kwa sababu wanajua kuwa wana akili...... hili diyo tatizo lao, na tatizo la wachangiaji wengine humu na tatizo la Zitto pia ingawaje kati ya wachangiaji humu wengine wanafanya kusudi kwa sababu zao wanazozijua wao .....
Zitto ni JK wa CHADEMA kila anachokifanya anafanya kwa hila.... na huwa anasema kabisa eti "kila mwanasiasa anafanya jambo analoona litamletea umaarufu"!!! kweli? wanasiasa makini wanadandia umaarufu tu??
Ndiyo maana nina mfananisha na Kikwete, kwani JK anadandia jambo lolote linaloweza kumuongezea ujiko.....sasa angalia anavyodharirika nchini sasa kwa kushindwa kuongoza nchi!