Mhe. Hyness Kiwia (Ilemela) yupo hoi Hospitali ya Muhimbili

Kiasi gani inaonyesha hawa wanyama wapo tayari kumwaga damu ya watu ili tu waendelee kutawala. Ina uma sn.
 
Hakika CCM wanachokifanya ni ujama wa hali ya juu, siasa leo zinalifikisha hapa Taifa letu, je waliofanya tukio hilo sasa wamepata faida gani. Hakika Mungu yupo na hasa wanaharakati wa wake kwa kila hali.
 
Akifa mbunge Kiwia CCM isiende kwenye kampeni Ilemela ikibali kushindwa tu maana itakuwa shida sana.
 
Da wabunge wetu wa chadema kipindi cha mshikemshike tembeeni na miguu ya kuku hawa sisiemu wakishajua wameumia wanaleta fujo!
 
Let the blood turn into water for the ''les damnes de la terres'' knows nothing but violents...long life kamanda
GET WELL SOON
 
Tunakutakia uponaji mwema Mhe uje uendelee kujenga taifa lako.
Get well soon Kiwia. t
 
polen sana wanandugu ,pole mh MUNGU Akupe nguvu turudi mapambani naamini ushindi wa leo utakutoa hapo kitandani cya 10 apr tutakubeba hata na machela kama ccm wametaka hivyo
 
Baada ya kushambuliwa na Kundi la watu wasiojulikana jana usiku, Mheshimiwa NYNESS KIWIA amehamishwa kutoka BUGANDO na kupelekwa MUHIMBILI kwa matibabu zaidi.

Mheshimiwa alivamiwa na watu waliokuwa na mapanga, marungu, na silaha zinginezo, wakitokea ndani ya magari mawili na kumzingira Mbunge alipokuwa akirejea kutoka katika harakati za uchaguzi mdogo wa Kata ya KIRUMBA Mwanza.

Hata hivyo Mhe. aliwasiliana na Mhe. WENJE na MACHEMLI,ili wafike kumsaidia, baada ya kujaribu kuwasiliana kwa muda kuwaita Polisi bila mafanikio.

Mhe. Kiwia amepata majeraha makubwa kichwani na mgongoni, pamoja na michubuko iliyotapakaa mgongoni na sehemu zingine mwilini, huku jicho moja likiwa na uoni hafifu.

SOURCE; TBC 1 News!

pole mheshimiwa, we pray 4 ur quick recovery. Tar 10 utakuwepo mjengoni kamanda
 
Back
Top Bottom