Mhe. Hawa A. Ghasia aanza wa mguu wa Kushoto

Maseto

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
944
545
Si lahisi kuamini, lakini ndivyo ilivyo nchi hii.

Na hapa Halmashauri ya wilaya Musoma imetokea. Mkurugenzi wa halmashauri hii, Bwana Karaine K.Kunei,amefanya madudu ya kufa mtu kwenye utekelezaji wa miradi ya mamia ya mamilioni.Lakini,pamoja na chunguzi mbalimbali kubaini ubadhilifu huo,amehamishiwa Halmashauri ya Ngorongoro akaendelee kutafuna.

Imethibitika kuwa kuna maafisa pale Tamisem wanamlinda fisadi huyu.Kwa wakurugenzi wa halmashauri ktk mkoa huu wa Mara,KUNEI Ndiye aliyelalamikiwa zaidi.

Mhe. Mwanri anapofoka hadi anatoa mapovu kule Korogwe ni kazi bure kwani kuna watu wanawazunguka mawaziri hawa kwani amehamishwa baada ya Hawa Ghasia kuapishwa.
 
mi naonaga huyu mwanamama anaabebwa tu
hana kiwango cha kuwa waziri
wangempa hata ukatibu kata
by the way kwami weye mgeni hapa njini?
 
Ipo siku kila mtu atatoa mahesabu yake kwa watanzania. Ninachoshindwa kuelewa ni kwanini watu wasio na uwezo wanapewa madaraka? Hivi tunafikiria kule Mali na Niger imetokea bahati mbaya?
 
Back
Top Bottom