dazipozi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 1,137
- 106
mm nataka kuoga na nguo baby
basi mimi ntaogo bila sabuni,Mx
mm nataka kuoga na nguo baby
sijamuona kabs hata mm namtaka.
basi mimi ntaogo bila sabuni,Mx
Mwali anakuja,alikuwa anamalizia kupiga pasi nguo zangu,Mx
unfortunatly kwangu ipo!
utatoka na taka shingoni wewe..
basi mimi ntaogo bila sabuni,Mx
he..unamtaka au unamtafuta? mimi ndio namtaka tutamtakaje wawili sasa
Mwali anakuja,alikuwa anamalizia kupiga pasi nguo zangu,Mx
najua sio dobiumeambiwa mwali ni dobi?wewe utakuwa unamchanganya na nitonye.
utambeee! Mwali yupo levo ingine kabisa!
Safi kama unaenda nae.nitaenda nae ati.
Mtu chake...
Smile siku hizi hakabi saana. So tujiachie tu!akija smile unatetema.
Angaria wee kabinti, hiro rijamaa rimeahidi kuoga bira nguo kwa ajiri yako, sasa ritahitaji ukariogeshe ww bira nguo. Sawasawa?Golden Mpoleeee, mbunge mtarajiwa mzuri na mpole. Longa jibaba unamuambia nn GM?
simpo ina maana kanizimia mpaka hawez kujieleza.
your what? have we met before? Do I know you?najua sio dobi
she is my....Mx
Nakusalim Mh. Mwambie huyo kijana, ni kama kajisahau anaongea usingizini.utambeee! Mwali yupo levo ingine kabisa!
Mwali kumbe huwa unakuwa serious???....nataka na mimi nifanye kama huyo kijana...hope u wont be harsh kwangu!!Nakusalim Mh. Mwambie huyo kijana, ni kama kajisahau anaongea usingizini.