Mhe. Golden Mpoleee (Mb.)

Nakuchawia? Kwamba huwezikuwa pacha wake GM au?

sasa akiwa pacha utamu nitaupataje?
Nataka nitengeneze nafasi, si unajua akishakuwa mbunge tena? Posho, marupurupu na kila kitu, miksa hakuna presha ya kuibiwa na vidosho wa Dodoma kama wanayopata wake za wabunge.
Teh teh teh!
 
Unataka nikuonyeshe msimamo gani tena? Huoni mimi naenda direct kwenye point? siyo kama akina Mphamvu wanazunguuka!!!

nini tena kaka?
Unataka kila mtu afanane swaga? Si unaona mwenyewe GM anavyoelekea 'kiblah'...
Once a loser, ALWAYS A LOSER!
 
Nitarudi tena jamani,
kwa sasa naelekea Libreville, kwenye AFCON.
Bye bye till then!
 
Bebi kwa majibu sikuwe zi,ok twende basi ukanisuguwe mgongo mtoto wa mwanamke mwenzio,Mx

kusugua mgongo hata Ashraf Mpemba wa Ilala Bungoni anaiweza hiyo kazi.
Usichubue mikono mizuri ya GM kwa sugu zako za mgongoni.
Sawasawa?
 
moja, hongera sana mkuu GM kwa kuamua kuingia kwenye siasa.

pili, mueshimiwa huku kwetu maji sasa yamekuwa ni ndoto sijui utatusaidiaje? ni hilo tu MP GM..

ni hayo tu..


sante mjumbe. maeneo yenu yapo wap? niksema serkali tutaleta mabomba ya maj safi nitakua naongopa mfuko wa hio sekta umefisadiwa tayari. kwa kutumia uzuri wangu nitaongea na mtoto wa mfalme wa Oman aweze fadhili hapo. mnipe miez mi3 hio ndoto itakua halisia.
 
Back
Top Bottom