Mhe ADEN RAGE Mbunge wa Tabora mjini

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Mheshimiwa huyu mwenye asili ya kisomali akichangia hoja ya ofisi ya waziri mkuu jioni hii amesikika akisema chama cha mapinduzi ni chama dume, chama dume kwa lipi? Chama dime kwa:-

1.Kumpitisha yeye agombee ubunge licha ya kuwahi kufukuzwa kazi na Mzee Nyerere katika mamlaka ya usitawishaji makao mkuu CDA kwa tuhuma ya ubazidhilifu hivyo kukosa kabisa sifa za kuwa kiongozi.

2. Ni chama dume kwa kumpitisha yeye kuwa mbunge licha ya kufungwa kwa makosa ya wizi akiwa katibu mkuu wa wa FAT japokuwa alishinda kwa rufaa kwa hiyo chama dume kisingeweza kabisa kukubali awe kiongozi .

Chama cha mapinduzi kilikuwa dume wakati wa Mzee Nyerere na Sokoine maana nakumbuka wakati akiwa Mbunge Mzee Mtaki aliwahi kumwuliza Maziri Mkuu Sokoine kwamba yeye aliwahi kuwa mhanga wa azimio la Arusha lakini sasa Kesha jirekebisha kwa nini asigombee ujumbe wa Halimashauri kuu? Mzee Sokoine alimjibu kwa nini achaguliwe yeye aliyejilekebisha wakati kuna watu hawana makosa kabisa?
Sasa huyu Rage kaita CCM ni dume kwa lipi? Kama kingekuwa dume kamwe kisingempitisha kugombea ubunge mtu mwenye tuhuma kibao wakati kuna wanyamwezi really ambao hawana tuhuma zozote za wizi.

Kauri yake imenichefua kweli kweli anajivunia ujinga wa wanyamwezi, siku wanyamwezi wakiamka ajitayarishe kwenda kugombea ubunge Mogadishu.
 
Hawa CCM wote kama wame.... vile yaani michango yao siielewi kabisa. Sijui ni LAANA?
 
Ukisikia michango ya wabunge wa ccm ndo utajua ccm ni lazima itoke, madarakani! Ukweli hakuna mbunge wa ccm aliyenikosha, wote wapuuzi tu!
 
Ni Kwasababu zifutazo:
  • Kilishindwa na kisha kujitangaza kimeshinda.
  • Kimefanikiwa kuuiba matrillion na bado watanzania mko kimya( Meremeta, EPA, Richmond, Rada...)
  • Wameweza kuiuza nchi na bado watanzania mko kimya(mnabaki kutafutana nani uamsho na nani siyo)
  • kinaua watanzania na bado watanzania mko kimya kimya(mkitaka kuandana mnaambiwa mtapigwa mabomu, na maji ya kuwasha)
  • Licha ya hali ngumu bado mko kimya huku CCM wakichuana kuweka mabilioni uswisi
 
Halafu huyu msomali nina hacira nae.. Anaongea wakati mchezaji wetu ameshatimkia Yanga.. Kazi yake kuongea tu..
 
...
Chama cha mapinduzi kilikuwa dume wakati wa Mzee Nyerere na Sokoine maana nakumbuka wakati akiwa Mbunge Mzee Mtaki aliwahi kumwuliza Maziri Mkuu Sokoine kwamba yeye aliwahi kuwa mhanga wa azimio la Arusha lakini sasa Kesha jirekebisha kwa nini asigombee ujumbe wa Halimashauri kuu? Mzee Sokoine alimjibu kwa nini achaguliwe yeye aliyejilekebisha wakati kuna watu hawana makosa kabisa?
Sasa huyu Rage kaita CCM ni dume kwa lipi? Kama kingekuwa dume kamwe kisingempitisha kugombea ubunge mtu mwenye tuhuma kibao wakati kuna wanyamwezi really ambao hawana tuhuma zozote za wizi.

...

Hapo kwenye
red; kama kweli hilo swali liliwahi kuulizwa na PM Sokoine akatoa hilo jibu basi Sokoine alikuwa genius. Hizo zilikuwa enzi za CCM ya ukweli na sio hii ya mafisadi hivi leo. Hebu jaribu kufikiria ingekuwa Pinda angejibuje?
 
Ukisikia michango ya wabunge wa ccm ndo utajua ccm ni lazima itoke, madarakani! Ukweli hakuna mbunge wa ccm aliyenikosha, wote wapuuzi tu!

Hivi kama michango ya ma-first class holders ndio hiyo ya akina Mwigulu ulitegemea ya jambazi iweje. Alichokisema ndio upeo wake.
 
Mkuu nimekupa like. Umenivunja mbavu mie hoop lol. Yaani ccm kuna wabunge vilaza mpaka kero. Kilaza mwingine ni migulu msamba

Mheshimiwa huyu mwenye asili ya kisomali akichangia hoja ya ofisi ya waziri mkuu jioni hii amesikika akisema chama cha mapinduzi ni chama dume, chama dume kwa lipi? Chama dime kwa:-

1.Kumpitisha yeye agombee ubunge licha ya kuwahi kufukuzwa kazi na Mzee Nyerere katika mamlaka ya usitawishaji makao mkuu CDA kwa tuhuma ya ubazidhilifu hivyo kukosa kabisa sifa za kuwa kiongozi.

2. Ni chama dume kwa kumpitisha yeye kuwa mbunge licha ya kufungwa kwa makosa ya wizi akiwa katibu mkuu wa wa FAT japokuwa alishinda kwa rufaa kwa hiyo chama dume kisingeweza kabisa kukubali awe kiongozi .

Chama cha mapinduzi kilikuwa dume wakati wa Mzee Nyerere na Sokoine maana nakumbuka wakati akiwa Mbunge Mzee Mtaki aliwahi kumwuliza Maziri Mkuu Sokoine kwamba yeye aliwahi kuwa mhanga wa azimio la Arusha lakini sasa Kesha jirekebisha kwa nini asigombee ujumbe wa Halimashauri kuu? Mzee Sokoine alimjibu kwa nini achaguliwe yeye aliyejilekebisha wakati kuna watu hawana makosa kabisa?
Sasa huyu Rage kaita CCM ni dume kwa lipi? Kama kingekuwa dume kamwe kisingempitisha kugombea ubunge mtu mwenye tuhuma kibao wakati kuna wanyamwezi really ambao hawana tuhuma zozote za wizi.

Kauri yake imenichefua kweli kweli anajivunia ujinga wa wanyamwezi, siku wanyamwezi wakiamka ajitayarishe kwenda kugombea ubunge Mogadishu.
 
Kama kuna anayemjua jamani huyu jamaa ambaye ni nguli wa Simba na mbunge wa Tabora atupe historia yake mana wengi huwa wanamtuhumu kuwa ni msomali sasa je ni msomali kwa upande mmoja wa baba tu au hadi na mama??

Lingine watu wanasema kwamba yeye alishawahi hadi kuichezea simba lakini kila nikijaribu kukumbuka historia ya vikosi vya simba sioni sehemu ambayo jina lake likitokezea hata kidogo.
sasa wadau wa siasa na wanamichezo wa zamani zaidi tunaomba mtupe mnayoyajua mana kama siyo raia sasa je alishaombaga uraia au bado? mana wasomali wanajulikana sana nchii hii kwa uuzaji wa meno ya tembo,tusije kuwa tunashangaa tembo mbona wanaisha kumbe kuna wasomali wenye nyadhifa nchini ndiyo wanacheza michezo hiyo.
TUJUZENI JAMANI.
 
Ismail Aden Rage ni mtanzania, aiyezaliwa Tabora hana utata wowote kuhusu uraia, ni mbunge ambaye ni mwanachama mwadilifu wa Simba na CCM
 
ismail aden rage ni mtanzania, aiyezaliwa tabora hana utata wowote kuhusu uraia, ni mbunge ambaye ni mwanachama mwadilifu wa simba na ccm

alkua mchezaji ,akini wa simba wa kikosi cha kwanza..enzi za kina king kibadeni, maulid dilunga ,mambosasa,alikua mchezaji wa kutumainiwa..
Na ni simba damu damu
amefanya mengi katika soka na kiongozi mjuaji wa mambo..kina tenga wanamulewa uzuri
 
Rage ni tapeli mtanzania mwenye asili ya kisomali. Alishawahi kufungwa kwa wizi pale FAT, pia kwa sasa inaaminika amekula pesa ya ujenzi wa uwanja wa simba.
 
Alikuwa fundi magari baadae akajiingiza kwenye utapeli tapeli kala pesa ya fat ana kaka yake yuko marekani ndio anayempa misaada ya kumuweka mjini Rage ndie aliyempa pesa za kufungua radio kule tabora kiitwacho VOT voice of tabora sijui kama bado ipo hiyo redio
 
Aliwahi kucheza sinema za ki-cowboy kule Hollywood katika miaka ya 60 pamoja na wacheza sinema nyota kama vile Clint Eastwood, Lee Van Cleff, Gary Cooper na John Wayne. Rage bastola.jpg
 
Back
Top Bottom