Mhasibu anamiliki billion 150 benki-Dira ya Mtanzania

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nimeiona hii heading kwa Mjengwa blog ktk ile page ya magazeti.
Kwa ambao wako na hardcopy ya ilo gazeti mnaweza tupa ufafanuzi ni mhasibu wa wapi na amezipataje izo ela kama zimeanishwa!
Alafu tunalalamika serikali ina ukata while wanachi wake ni matajiri
 
Nimeiona hii heading kwa Mjengwa blog ktk ile page ya magazeti.
Kwa ambao wako na hardcopy ya ilo gazeti mnaweza tupa ufafanuzi ni mhasibu wa wapi na amezipataje izo ela kama zimeanishwa!
Alafu tunalalamika serikali ina ukata while wanachi wake ni matajiri
The Web server (running the Web site) is currently unable to handle the HTTP request due to a temporary overloading or maintenance of the server......

anyway mkuu utaambiwa una wivu na huyo mhasibu.....
 
Yaani nilishangaa kwa hela iyo naweza fadhili vibajeti vya wizara kama ya habari na michezo,au ile ya mama Simba na chenji ikabaki
Hakuna wivu apa suala la kumjua liko wazi ni kwamba gazeti Dira ya Mtanzania silioni online
 
Gazeti gani hilo?...au MJENGWA hajasema!!

SAM_2434.JPG
 
Nikaambiwa ni Reja....o sishangai. huwa nateta sana kufaidishwa na serikali ya CCM.
 
natamani kulia. yaani mimi imebidi kila mtoto awe na account yake ili kila mwisho wa mwezi niwe namwekea ada yake nisije nikaumbuka shule zinapofungua, kumbe wengine wana mahela ya kulipia ada wanafunzi wote Tanzania na chenji ikabaki.
 
Wakuu hivi ni vijisent alivyovibakiza bank za Bongo tu!

Hebu tujiulize vijiswali vidogo vifuatavyo:-


Je a/c zake nje ya bongo za dola, euro, Yen ..... zitasoma sifuri ngapi?

Je shambani kwake kafukia kiasi gani (Km yule mjomba wa Zambia)?

Je tukichunguza investments alizonazo e.g majumba, magari, vijisenti vilivyoko kwenye a/c ya mkewe, wanawe, nduguze na marafiki wa karibu itakuwa na thamani gani?

Huyu ni mmoja tuliemgundua kwa bahati mbaya, je ni wangapi wanaomiliki mihele kama hii ktk nchi yetu?

Je unafikiri vibakuli tunavyovitembeza kwa wafadhili vyote vinamiminiwa kwenye vipaumbele vya kitaifa au vinamiminiwa mifukoni mwa wenye mkono mrefu wa kuchukua chao mapema?


Je x...........?

Kweli hii ndio nchi ya WADANGANYIKA! Kindly M4C help us ......!
 
Hii zenji wangesema watu wana mihela bwana we acha tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom