Ghati Makamba
Member
- Jun 29, 2009
- 37
- 2
Ungekuwa utawala wa kidunia, palikuwapo na haja kwetu kujadili na kusema kwa kadri ya utashi wetu, tungekuwa na haki ya kusema kwa namna tunavyoweza na pengine kama pangekuwepo na sababu ya kupinga kwa maandamano, tungefanya hivyo. Hii ni IMANI, tuliachie kanisa ligawe BARAKA na kuwapa watu wake wigo mpana wa kushiriki neema kwa kadri ya ufunuo wanaojaliwa.