Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,492
- 92,985
Ni kweli wapo mawakala wa vyama vya siasa kama Uhuru na Mzalendo, Habari leo, Jambo leo & co.Tatizo kubwa la wana habari wa Tanzania uwa ni mawakala wa vyama vya siasa...hawapo kwa ajili ya Wananchi siku maji yakiwafika shingoni ndio wanatafuta support kwa Wananchi...