Mhariri Jambo Leo afariki dunia

Mshahara wa dhambi ni mauti uliwatumikia na kuwatetea mafisadi kwa manufaa yako binafsi na ukiwaacha watanzania wenzako wakiishi maisha magumu wamama wakizalia sakafuni vitu vikipanda bei wanafunzi wakikosa mikopo yote hii ni kutokana na hao mafisadi ambao ulikuwa ukiwatetea kupitia hiko kijijalada chako cha jambo leo,kweli malipo ni hapa hapa duniani,dhambi ya kuwazulumu watanzania imekutafuna na wote waliobaki nao pia itawatuna tu
 
at least for the first time witnessing GT celebrating members death joyfully....................!
 
Mshahara wa dhambi ni mauti uliwatumikia na kuwatetea mafisadi kwa manufaa yako binafsi na ukiwaacha watanzania wenzako wakiishi maisha magumu wamama wakizalia sakafuni vitu vikipanda bei wanafunzi wakikosa mikopo yote hii ni kutokana na hao mafisadi ambao ulikuwa ukiwatetea kupitia hiko kijijalada chako cha jambo leo,kweli malipo ni hapa hapa duniani,dhambi ya kuwazulumu watanzania imekutafuna na wote waliobaki nao pia itawatuna tu
Iwe fundisho kwa waandishi wengine wa habari wa aina yake,wajue watanzania wanaumizwa na uandishi wao
wa kutetea ufisadi na kukwepesha ukweli,il hali watanzania sasa hivi wanajua ukweli halisi,waandishi msifikiri
mnaweza kuwafool watanzania kwa kalamu zenu.Ni kwa mara ya kwanza naona watu hawasikitishwi na msiba.

hivi haya siyo mawazo yako wewe binafsi kweli?, hivi haya ni mawazo ya watanzania kweli?!, kwa hiyo unataka watu sasa wasitoe mawazo yao kwa kuwa wewe unawaombea kifo?!, well; nadhani sasa wale(hasa) wewe uliyekinara wa kupinga ufisadi hutakufa. Bravo, bravo.
 
Back
Top Bottom