Nsiande
JF-Expert Member
- Jul 27, 2009
- 1,649
- 870
unguzi unafanyika, baada ya hapo majibu yataletwa na wote tutayasikia. Public procurements zote zinafanywa kwa kufuata sheria za manunuzi and not otherwise.
Zitto yupo kwenye kamati ya ukaguzi wa hesabu za serikali na makampuni yaliyo chini ya serikali, that means kama kungekuwa na kitu chochote cha ziada wangeshakigundua tangu siku zote. Na anayafahamu makampuni yote in and out, he can not simply stand and support kuwa Mhando kaenda kinyume wakati ambapo yeye hilo hakuliona. Sasa kama mnamhukumu kahongwa just because anasimama katika kile anachoamini kuwa ni sahihi tunakosea sana. Tukumbuke kuwa kwenye party caucus juzi wabunge wa ccm chini ya kilio cha pinda walikubaliana wamuokoe maswi ili kurescue chama cha mapinduzi. What is done here is politics, tusipende kuwa overtaken by emotions pasipo kutafakari mambo kwa kina.
Mhando ametolewa kafara,na ndio maana speaker alisema issue ya mhando isijadiliwe bungeni,maana walikuwa hawajajipanga watokeje! Wameenda wamejipanga wamekuja wanapiga makofi paa paa paa. Katika hali kama hiyo lazima Zitto waseme amehongwa maana huwa hasukumwi na pressures za watu.Anasimamia haki na ukweli,ana reason before kufanya chochote![/QUOTE]
So Mhando kujipa biashara ni kutolewa kafara ???
Prof hakusema barua ya RITA inaitaka wizara inunue mafuta ??
Je PPRA hawajaislot TANESCO katika worst performers kwenye website yao getting 30% na wakaipeleka TAKUKURU ?
Je ZZK anajua mashirika yote in and out hivyo mbona mashirika haya yanaenda down?? Mbaya zaidi falsafa yake ya eyes on,hands off mbona hajaiapply yeye kama yeye wakati KM kamsimamisha kazi Mhando ( kumbuka hajaachishwa kazi )
Mwisho mbona ni Mhando tu ndio anahaha huku na kule kujinasua na kutafuta cheap sympathy ?mbona wenzake kina Mafuru,Ekelege and the CEO wa makumbusho ya taifa wako contented