Mhandisi wa kiume aingiliwa kimaumbile hadharani na Mzungu.

kwa hiyo engineer alikuwa engineered kwenye mrefeji wa maji taka yake. labda mrefeji wake uliziba na alipenda mwenyewe kuzibuliwa.
Hahahahha Ha hahaha

wengine hivyo ni vigezo , dalili na viashiria vya maendeleo . Kweli kazi ipo.

Hayo ndio 'maendeleo' yaliyoletwa na sisi M(hhh??)
 
Hata wasomi wamekuwa mibwabwa ,sasa msomi akiwa bwabwa kweli anaweza kusimamia masilahi ya nchi na watu wake kwani NYEGE zikinpanda mtu wa sampuli hiyo husahau yote yeye anafikiria kumegwa tu,angekuwa lofa ningesema ulofa wake ndio umemuongoza kufanya hivyo lakini anapokuwa ni msomi tena mhandisi hapo kunakuwa na tatizo kubwa,tuombe tusijekuwa na watu wa sampuli hiyo kwenye uongozi wa taifa kwani wanaweza kupewa rusha ya kumegwa na wakauza nchi
REV MASANILO na msaidizi wake FIDEL wanajiandaa kwenda kuweka kambi LOLIONDO.
Mchungaji anapenda tope mpaka sisi waumini inabidi tujiuzulu kuchungulia jicho. Mungu amchome......
 
Inasikitisha na inatisha, ni taarifa ya uhakika toka TULAWAKA gold Mines.

Juzi usiku majira ya saa 3 kambini (estate) katika maeneo ya Club pembeni mwa swimming pool mfanyakazi mmoja wa Kizungu alibambwa LIVE akimwingilia kinyume na maumbile mhandisi wa Kibongo (Jina ninalo) mfanyakazi mwenzake. Sio kuwa alibaka la hasha walikuwa kwenye starehe!!!!

Walikamatwa na kupelekwa hospitali kupimwa kwa udhibitisho ikabainika ni kweli na bwana mzungu alishatupa mbegu.

Bado walikuwa wanashikiliwa na POLISI nini kitafuata.

WanaJF inatisha

Wanapotusainisha mikataba ya kifisadi wanatuita (kimoyomoyo): W*A*S*E*N*G*E*

Wanapoanza kuchimba madini wanatuonyensha kivitendo kuwa sisi ni: W*A*S*E*N*G*E*

Chagua CCM uone moto wa ahera unavyochoma!!!!
 
sasa mungu anaingia vipi hapo....

hawa ni watu wawili wenye kuaminiana(mind u jamaa alikuwa ameshatupa mbegu..meaning hakukuwa na dume hapo) waliokuwa wakistareheshana kwenye pool side baada ya kazi ngumu ya mchana kutwa....

si tumekubali kucheza na dog...sasa tunaingia nae msikitini..

anyway..wako wengi siku hizi..hata wanasiasa...unakumbuka mrema na mbatia walivyoshambulina bungeni siku zile? mbatia akiwa mbunge wa vunjo na mrema tmk...mbatia akisema baadhi ya waheshimiwa ni wehu wakapimwe akili..mrema akisema baadhi ya waheshimiwa ni mashoga wachunguzwe..

sikumbuki iliishia wapi...

hiyo ndiyo tz ya leo...ni zaidi ya uijuavyo!!!!!!!!!1
:confused2:HIVI NINGESEMA OOH MY GOD ! NINGEELEWEKA KAMA NI MSHANGAO :becky:
 
Heri mimi sijasema. Sema taratibu wakikusikia hao! kuna zile zinakaaga kwenye mkoba (ala) nyekundu wakichomoa utasikia ubaridi mwili mzima.
Ah..hawaniwezi..wakileta za kuleta n'enda zangu kwa babu mfuga popobawa..halafu tione sasa nani zaidi....mwene jambia au mwene popobawa.
 
Kumbe ilikuwa ni kwa ridhaa na walikuwa wakistareheka....

I don't see any news here..... Why didn't those guys mind their own bisuness? Polisi waliwashikilia on which charges.... Its obvious huyo mhandisi kama ni wa kiume basi ni SHOGA na kama ni wa kike huo mchezo ni wa kawaida sana kwa dada zetu bongo hii.... So what is the Big deal here?
i beg to differ mkuu, kutiwa hadharani regardless ya sexual orientation ni indecent conduct na wanastahili kuchukuliwa hatua.... tusiiige uzungu kila sehemu, i usually find hii phrase ya "mind your own business" kama defensive tu

wafunguliwe mashtaka na wapate adhabu yao, na huyo injinia shoga pole zake, yaani alishindwa kupiga hatua chache tu kwenda kupewa njuruu vizuri?
 
Wanapotusainisha mikataba ya kifisadi wanatuita (kimoyomoyo): W*A*S*E*N*G*E*

Wanapoanza kuchimba madini wanatuonyensha kivitendo kuwa sisi ni: W*A*S*E*N*G*E*

Chagua CCM uone moto wa ahera unavyochoma!!!!
Aiseee...IS IT????????
 
Je wajua kuwa watu wengi maarufu wenye vyeo ndio wafanyavyo???Ila huwa ni siri yao.Hata wengi walio na fedha ndio mchezo wao.Hakuna mtu awezaye kusimama kwenye nafasi yoyote asipokuwa na nguvu za rohoni.Kwa kufanya hivyo anajiungamanisha na mwenye nguvu,maana wanakuwa mwili mmoja kwa namna ya rohoni.
 
huyu sio mhandisi, ni contractor wa kujenga ukuta wa kuzunguka mgodi kaletwa mgodi tajwa kwa mchongo wa SIsiEm..
 
Yasemekana aliahidiwa kitengo nyeti hapo mgodini akaamua kukabidhi wizara ya maji taka
 
Ila jamani kama alitoa kwa upendo wake inakuwaje??

Mkuu kauli yako inaowana na ile kauli ya wazungu hasa (Waingilishi)wanamsemo wao wanautumia wanasema ujaribu kitu mara moja kwani kama jajaribu utajuwaje kama unakipenda kitu au unakichukia na ndio utakuta msemo huo waingilishi wanautumia kwa wanawanasa wafrika wengi na watu wa mataifa ya kimasikini isitoshe kuna yule micheal polilo ambae aligombani wakati fulani awe kiongozi wa konsavative Uk alisema kwenye Bunge kuwa yeye alifanywa kwa kujaribu tu lakini sio mchezo wake ,na kwa hapa Tanzania wapo yaliowakumba kwa mfano mzee kingunge hivi miezi ya karibuni alionyesha jinsi gani wazungu waingilishi wa ( kikatoliki) walivyomtenda wakiwa wao ni walimu na yeye ni mwanafunzi lakini hakutaka kwenda mabali
 
Back
Top Bottom