Mhadhiri wa chuo muhimbili anapokula kona kukimbia mawe

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,721
21,778
SAMAHANI KAMA NI BABAKO HII NI AJALI KAZINI WALA USIOGOPE
mhadhiri wa chuo cha muhimbili akila kona kwenye mahafali baada ya kutupiwa mawe kwenye hafla ya kukabidhi degree zao
baadhi ya wanafunzi wamefanya fujo kushinikiza kurudishwa chama chao

wakati huo pembeni kuna dada alieamua kuanza kujipa raha hata kabla ya mahafali kuisha
 

Attachments

  • Mbiomawe.jpg
    Mbiomawe.jpg
    15 KB · Views: 81
  • asset.jpg
    asset.jpg
    2.5 KB · Views: 110
Wahesabu hiyo juu ni asset ama liabilities??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom