Mhadhiri Bakari Muhammed amng'ang'ania Kikwete - Sehemu ya 2

Mhadhiri maligwa walugulu na wazaramo husema husema " kulila nzogole kuna kae" yaani panapolia jogoo basi kuna makazi hapo.........
 
Mhadhiri maligwa walugulu na wazaramo husema husema " kulila nzogole kuna kae" yaani panapolia jogoo basi kuna makazi hapo.........
Unaleta mashairi kwa great thinkers?! Wao wanajadili figures wewe mashairi? unaleta zile zile za mbayuwayu? bwahahahahahahahhahahahaha
 
"Love is blind"!! Hapa watu wanajadili hoja za Mhadhiri Bakari dhidi ya Hotuba aliyoitoa JK na jinsi hotuba ile ilivyokuwa bomu in the real sense of the word. Wewe uliyepofushwa macho kwa 'mahaba' unatuambia hotuba ilikuwa nzuri! Hotuba ilikuwa nzuri; nzuri kwa nani - kwa wafanyakazi ambao ndio waliokuwa walengwa? Labda hotuba ilikuwa 'nzuri' kwa wa wale wanaoneemeka ambao hawaoni mateso wanayopata wananchi wenzao wenye kipato duni.

WildCard tukupe mshahara wa 104,000 kwa mwezi ambao hauna rupurupu la aina yoyote na unatumia siku yako nzima kazini bila kuwa na muda wowote wa kufanya shughuli nyingine itakayoweza kukuongezea kipato; utaweza kuishi? Je, hutanung'unika pale unapoona wapo Watanzania wenzio wakiwemo viongozi wanaopata mara 300 na zaidi ya unachopata wewe kwa sababu ya mgawanyo mbovu wa pato la Taifa usio na uwiano unaostahili.

Acheni utetezi usio na macho ya kuona dhiki na taabu wanazopata Watanzania wenzenu.

Wapo WATANZANIA tena kwa MAMILIONI hiyo 104,000/= hawaipati hata kwa mwaka mzima. Tunajisahau tu.
 
uchambuzi wa muhadhiri wa chuo kikuu mzumbe Mohamed Maligwa...umeenda shule ,umetulia sana ni busara basi anayetaka kuupinga aje na waraka kama wake...maana hapa jf ni hoja kwa hoja ...hoja nzito kamwe haipingwi na hoja shallow .........

....ni wazi kuwa rais kikwete ameshagundua kuwa alikosea na kukurupuka....na hata tulio na uwezo wa kusoma uso wa mtu na kujuwa...tangu mwanzo tuliona ...hali aliyokuwa nayo na kupata wasi wasi mkubwa hata wa afya yake ....he looked unfocused than ever..to the extent of requring medical and psychological attention ...he was in total disray..and in poor state of mind.....nimerudia kuangalia ile video clip...and satisfy my self kuwa we are right ...kuhisi kuwa rais alipokuwa akitoa hotuba ile hakuwa kwenye hali nzuri ya afya na akili...[rudieni kuangalia]..nyuma ya rais kwa kawaida kunakuwa na..aide de camp mmmoja na wengine husimama kwa mbali...au kukaa...but that day nyuma yake viti vitatu walikaa wasaidizi mahsusi wa usalama ,ambapo daktari wake alikaa nyuma yake kabisa na ndiye aliyekuwa akimmiminia maji ya glucose mara kwa mara....pia walikuwepo nyuma yake washauri [secretaries] wawili...ambao mara zote they seated leaned toward his chair...and one of them was always noddin his head.....wakiwa pamoja na kapuya....idadi ya wasaidizi waliokuwa nyuma ya rais siku ile ilisababisha hadi wakuu wa vyombo vya usalama kukaa kwa mbali kidogo nyuma.....

mpangilio wa maneno ya rais na kurudia rudia kauli bila utaratibu ni dhahiri kuwa hata kama wasaidizi walimuandikia detail nzuri basi alishindwa kufikisha hadhirani..kutokana na pressure aliyokuwa nayo na hasira juu...nachelea kuwatupia washauri wake lawama....nahisi inawezekana mara zote wanamshauri vema basi akichanganya na akili zake anaharibu ndio maana anashindwa kuwafukuza.......[/SIZE]

rais wetu ni wazi kuwa anao udhaifu mkubwa wa kutopenda kujisomea .....na kubaki kutegemea kuandaliwa kila kitu...ni hatari hii....ushahidi ni namna alivyoweza kusaini sheria kubwa kama ya uchaguzi bila hata kupitia madokezo.....ya washauri wake wa sheria na pia yeye mwenyewe kuisoma......urais ni kazi inayotaka sana kusoma ...kwani washauri wakijuwa kuwa husomi haata maofisini basi watakuchomekea mambo kwa faida yao......ni hatari...
sasa tujiulize ni muda gani rais wetu anapata kusoma makabrasha mbalimbali anayowekewa mezani..........au anawaambia kina mbena na januari...".someni tu ....mkiona sawa niwekeeni mezani nisaini..!!"...ndio kwa kuwa mara zote yupo safarini....au matembezini au anapiga soga.....ni hatari sana hasa kama rais wa nchi anakutana na hotuba zake jukwaani kwa mara ya kwanza....na kwa kujianya naye "nyerere" akataka kuhutubia pasi kuonekana anasoma sana hotuba..ni dhahiri atapotosha kabisa hotuba aliyoondaliwa na washauri...basi na washauri wakijuwa waanaandaa hotuba hazifuatwi na mambo yanaongewa kinyume basi hata hotuba zinazofuata wataandaa bila umakini!! ndicho kinachooendelea ikulu!!

viongozi wote waliotangulia kama nyerere ,mwinyi na mkapa walikuwa na muda wa kukaa ikulu na kusoma nyaraka zao si huyu!!...makosa mengine anatakiwa awe na uwezo wa kuyaona...kabla ya kusoma kwa watu....naomba lets keep washauri ..in these...washajuwa kuwa yeye kiazi!!

Tazameni hata kikwete anavyotoa hotuba zake kwenye makongamano na marais wenzake utaona kuwa hoja zake zipo too shallow na hurudia hizo hizo kila forum...ni wazi general knowledge yake ni ndogo kuliko ya wenzake..yote he because hasomi ..vitabu wala majarida na machapisho mbali mbali ......ni lazima abadilike ....la sivyo viongozi wenzake watakuwa pia wanamshangaa......


Hapo penye red huenda pana ukweli, nimerudia hotuba yake sioni mahala palipoandikwa hata miaka nane mshahara walioomba tucta hauwezi kupatikana hivyo hiyo sentesi alichanganya aliyoandikiwa na ya kwake ndipo akazidi kuharibikiwa
 
Back
Top Bottom