Mhadhara Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi: Mwakyembe, Sitta, Shivji et al ndani!

mr mangasini anasema kwamba tanzania bado ni masikini na hiyo ni kwasababu tanzania yote ni a very big village kwasababu tanzania bado ni agriculture based country katika takrimu za uchumi
 
50 years ago tanzania ilikuwa sawa na korea kusini lakini flashforward tanzania bado ndo masikini na korea kusini ndo inatufadhili hii ni aibu
 
Nchi yetu ni masikini kwa kuwa inaporwa fedha na kikundi cha viongozi wanaoshirikiana na wafanyabiashara wachache. Umasikini huu utazidi kututafuna hadi tutakapopata mtu atakayeisafisha kuanzia ngazi ya juu hadi shina.

Ebu fikirieni, rasilimali zinaporwa na wageni huku serikali inaangalia. Wanyamapori wanaibwa kwa kupitishwa mlango wa nyuma wa uwanja wa ndege wa KIA, madini, umeme, nk,nk vyote ni matatizo tu, nchi itaendelea vipi?
 
la busara ni kupata maoni ya kila mdau, tukabiliane na nguvu ya hoja na sio hoja ya nguvu. Dk na sit bado naamini wana positive idea
 
Miaka 50 ya uhuru wa tz na umaskini.
Mrisho mpoto amezungumzia nuru anakwambia ''mjusi ukimfukuza mwisho ugeuka nyoka''
na nilichokipenda wakati ndio anaanza kujitambulisha,amesema yeye ni mwanasiasa mwanachama wa ccm anayefikiria kwa kichwa na sio tumbo

aliwahi kuandika insha na kushinda wakati akiwa form 4 ya ''how tanzania will look like''
''mkiichezea misingi ya nchi,misingi hiyo itawabomoa''-nyerere sept 1999
anatamani kuona kufikia 2025 taifa la tz liwe ni taifa la kati kutoka gnp ya $560 kwa mwaka hadi $3500.
 
tanzania ni masikini kwasababu:
1. siasa isiyo kuwa safi
2. viongozi wasiyokuwa waadilifu
3. sheria za nchi kuwa mbovu
4. hari ya watu wasioyotaka kufanya kazi
5. rushwa
 
doc.gif
 
Attachments

  • MR MANGASINI.doc
    26 KB · Views: 55
Naöna dk mwakyembe anatetea kuhusu katiba dah naona anaitetea ccm jamaa kweli kanyamazishwa kwa cheo cha uwaziri
 
DR Mwakyembe
the national developmental vision 2025. that Tanzania will become a middle income country, the things that will get us there are
1. mechanized agriculture
2. developed fishing
3. value addition on agro products
4. good governance
Dr mwakyembe is stating that the youth will be responsible for the reachiing of the vision 2025.US

the middle income countries are categorized as follows
1. lower middle income are US 1669 to US 3500
2. the upper middle income are US 3500 TO US 10000
3. Higher income like the developed countries and the only country in Africa to reach that is Equitorial Guinea.

The upper middle income countries are Botswana, South Africa, seychelles, Angola and others

-the middle income countries must have good governance and the governance which is good is having a good constitution.

The contribution of the youth is much needed in the changing of the country without the youth then there will not be any development, the youth in particular the elitist the educated should be the source of change in the country.

The reaching of the midlle income country is the exploitation of the education and technology sector.

Tanzania wont be called a middle income country if doesnt have sufficient electricity supplying the industries and the households. to reach the 2025 vision we need engineers 200800, and doctors 100000, and physics scientist 800.
 
Mheshimiwa waziri wa afrika mashariki kafungua kongamano kwa kuanza kutoa historia ya tanganyika, aelezea kuhusu elimu yake, vyama vya siasa wakati huo kabla ya uhuru vilikua vitatu . Pia alipata bahati ya kusomeshwa nje na serikali ya tanganyika. Baada ya kumaliza elimu yake aliweza kuwa waziri mdogo.
Pia aeleza jinsi alivyopewa neno la husia na hayati baba wa taifa mwl j.nyerere alimwambia msichezee misingi ya taifa 1. Uadilifu 2. Umoja 3. Kutopjilimbikizia mali 4. Usawa na uwaibikaji
kuhusu kwanini tanzania ni maskini baada ya miaka 50 ya uhuru amesema tanzania ina rasimali nyingi tukiitumia vizuri tutafika katika kilele cha maisha mazuri tunayoyahitaji, natukiwa na dhamira ya dhati, kuwa wazalendo, tukaacha rushwa tutafika katika hali nzuri ya kimaendeleo. Akasema vijana ndio chachu kubwa ya maendeleo kwahiyo tusikubali kutumiwa vibaya katika siasa za malumbano.
Kasema yeye anaifuata toka alipoingia tanu. Na wala hafikirii kwenda chama chochote kila. Habari za kwenye magazeti kwamba alikua anataka kuanzisha chama ni majungu. Kwani yeye ni mtaji wa urais. Na ujana wake wote amekulia ccm hawezi kukiacha. Na akasema wale wote wanaoipaka matope ccm waondoke ndani ya chama.nk……
na mhehshimiwa dr harisson makyembe amesema tatizo la umaskini tanzania ni ukosefu wa wataalamu hasa katika njanja ya sayansi na teknolojia, tanzania inaitaji wataalamu physical science 837000, wahandishi 2987000, nk
 
mimi naona kama mwekyembe kaingia chaka hivi? ni kweli tatizo la umasikini ni ukosefu wa wataalamu?? mbona hata waliopo hatuwatumii ipasavyo mpaka woote wanakwenda kugombea ubunge, Mwakyembe hajui kwanini Tanganyika ni masikini?? na hao wanaofanya kazi nje ya nchi je?? JK alishakutana na wanafunzi wa tanzania waliopo China na kuwaambie wataute maisha popote, kama na wewe mwakyembe upo hivyo basi TUMEKWISHA!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom