Mh................!!!

Naamini kuna watu wanakua na tabia fulani kwa sababu hizi:
  1. Mapito ya maisha....tabia ambazo sio zake ila z kupewa na ulimwengu....shida n.k
  2. Tabia za ndani ya mtu....sio zile za kupewa na ulimwengu....
Kwa sababu ya kwanza mtu anaweza kubadlika (kama vile vilivyomfanya awe na tabia hizo vikiondoka), ila sababu ya pili hapana....hawezi kubadilika.

Safi sana mkuu...Ila malizia kwa kusema kuwa ni vigumu kwa mtu kutambua sababu ipi hasa ndo imemfanya mhusika awe hivyo...Ndo maana wale wenzangu na mie walioona mengi wanashauri tuchukue tahadhari tunapotaka kufanya maamuzi ambayo yataathiri maisha yetu yote ya baadaye!
 
  • Thanks
Reactions: RR
Kama ameamua yeye binafsi kubadilika na pia kama siyo tabia yake ya asili ,
Basi inawezekana kabisa akaacha tabia mbaya na kuwa mtu mwema, ila ni lazima awe,
anaamini ,anatambua,na kuwa karibu zaidi na MUNGU wetu kwa maneno na vitendo vyake.

BINADAMU MWENYE TABIA MBAYA HAPASWI KUTENGWA BALI KUWA KARIBU NAYE,
KWA KUMWELEWESHA,KUMWONESHA MATENDO MEMA TUTENDAYO,ILI YEYE KWA HIARI
YAKE AWEZE KUCHUKUA UAMUZI WA KUBADILIKA KUWA MTU MWEMA.

LAITI KILA MMOJA WETU,ANGETENGWA KWA MABAYA YAKE NAAMINI 99.9%
YA WANADAMU TUNGEKUWA TUMETENGWA,LAKIN TULIPEWA NAFASI YA
KUWEZA KUJIBADILISHA WENYEWE NA KUWA WATU WEMA,
NDIYO MAANA LEO TUNAONEKANA WEMA MBELE YA JAMII INAYOTUZUNGUKA LEO.
 
Mi namjua mbaba mmoja hivi alimuoa baamedi aliyekuwa anagawa kama pipi. Huwezi amini alivyobadilika. Hii ishu bana huwezi kupata jibu la moja kwa moja manake inategemea n'tu na n'tu...Ila kuwa safe zaidi.........Usiijaribu sumu kwa kuionja.

BTW ndo kusema nijiandae kukamata mahari ya Jambazi?
Chunga tamaa mbaya.

hapo naomba nisiongeze neno
 
Wapendwa
Nawaamkua!!

Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali nakosa jibu!
Eti ukimpenda mtu ambaye kwa bahati mbaya tabia zake huko nyuma hazikuwa nzuri (Yaani ana madoa machafu kitabia, mwenendo mzima wa maisha) mfano alikuwa changudoa, mwizi au jambazi et.c. Tabia ambazo zinamtia doa yeyote anayeongozana naye.

Je kuna uwezekano wa kurudia tabia zake za zamani au huwa tunabadilika kabisa?

mtume Paulo alikuwa anajulikana kwa jina la Sauli na alikuwa anaua wafuasi wa dini kwa wingi sana tu, alikutana na nguvu iliyombadilisha maisha yake yote.
 
Zumbe mkuu aksante duh umenikumbusha mbali sana ndugu yangu.

Aksante na ubarikiwe somo nililopata hapa ni kuwa Kama MUNGU akiwa Upende wetu, Ni nani aliey juu yetu?
 
MJ1 dear

People forgive but dont forget, adn believe me, you dont want to be on a receiving end when it comes to bad memories.... inauma sana uchungu when you are married to a person aliyewahi kwa mfano kubakwa, hata kama hakuwa na kosa, kwani tatizo huanzia kwenye kumbukumbu, it is then followed by the mental pictures followed up by full blow frustrations that cnt be solved by anyone

Ni mbaya but not fair

Iwe mimi, wewe au mtu yeyote yule

MTM
 
Naamini kuna watu wanakua na tabia fulani kwa sababu hizi:
  1. Mapito ya maisha....tabia ambazo sio zake ila z kupewa na ulimwengu....shida n.k
  2. Tabia za ndani ya mtu....sio zile za kupewa na ulimwengu....
Kwa sababu ya kwanza mtu anaweza kubadlika (kama vile vilivyomfanya awe na tabia hizo vikiondoka), ila sababu ya pili hapana....hawezi kubadilika.

Dahhhhh!!!!!....kaka taratibu bana.
nikitafakari hapa naona kuna wivu, hasira, uchoyo, dharau, kiburi, nk.... au????
Hivi tutaoza/kuozesha kweli kwa analysis hizi?
 
Dahhhhh!!!!!....kaka taratibu bana.
nikitafakari hapa naona kuna wivu, hasira, uchoyo, dharau, kiburi, nk.... au????
Hivi tutaoza/kuozesha kweli kwa analysis hizi?

Mkuu Mbu...
Katika hali halisi kila binadamu ana tabia fulani mbaya (ofkoz ubaya ni relative)....kumbuka hata kina Carlos 'the jackal', hitler au musolini walipendwa!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu Mbu...
Katika hali halisi kila binadamu ana tabia fulani mbaya (ofkoz ubaya ni relative)....kumbuka hata kina Carlos 'the jackal', hitler au musolini walipendwa!

swadakta!...kwahiyo ni kuitafutia mbinu tu ya kui accomodate tabia 'mbaya' ya mtu, ili maisha yaendelee.
Hakuna mkamilifu.
 
Kile kidude cha thanks kimeenda wapi?.........kupitia ubaya wetu tumetengeneza watu wengine kuwa kuwa wabaya bila wao kujua au kwa kujua ni ukweli mtupu hakuna asiye na ubaya/tabia mbaya sema tu viwango vimetofautiana kuna wanaofanya gizani wengine mwangani lakini matendo ni yale yale. Thanks Mbu.

swadakta!...kwahiyo ni kuitafutia mbinu tu ya kui accomodate tabia 'mbaya' ya mtu, ili maisha yaendelee.
Hakuna mkamilifu.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
MwanajamiiOne! yaani hawa wenye tabia mbaya huwa wanabadilika sana kwa sababu walikuwa huko wamefanya kila kitu, na wakiamua kubadilika huwa hakuna kitakachowarudisha nyuma, sasa ole wako kutana na mtu ambae hajapitia uchakaramu wowote ule halafu abadilike, huwa wanabadilika vibaya kuliko hata huyo changu, malaya, kiwembe n.k
 
swadakta!...kwahiyo ni kuitafutia mbinu tu ya kui accomodate tabia 'mbaya' ya mtu, ili maisha yaendelee.
Hakuna mkamilifu.

U rite mkuu...
Ukitaka kuoa/kuolewa na malaika utakufa mseja.....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

swadakta!...kwahiyo ni kuitafutia mbinu tu ya kui accomodate tabia 'mbaya' ya mtu, ili maisha yaendelee.
Hakuna mkamilifu.

Umenena......tunatofautiana wema/ubaya..... ukimchunguza kila mtu ana mambo yake mabaya aliyofanya zamani.....wachache sana kama wapo wenye historia nzuri

  • Thanks
Reactions: Mbu
[/SIZE][/FONT][/COLOR]
Toba Yaillah!! Mbu tartibu bwana ndo nini bwana? hapo kwenye angalizo mwe!! Inawezekana ni kweli anaivaa kila anapokukumbuka (akiwa hana hao wengine LOL)............yote maisha lakini ndio tumeumbiwa bana bila hizi experiences nyingine hatutokomaa!!

duh ama kweli mapenzi yanahitaji shule aksante kwa elimu hii.

Na kweli mwaya ya nini kujipa presha ama sivyo itakuwa kila relationship unakondeana kwa dhana!! Umenikumbusha taarab flani ya zamaaani (in 1980s) sikumbuki iliimbwa na nani wala kikundi gani. Ilikuwa na aneno yasemayo......

Dhana usinidhanie, hofu moyoni kuweka
Mwengine sifikirie, Wewe sitokuepuka
Ridhika na Utulie, Uache kunung'unika X2

Chorus: Dhana usinidhanie, shaka moyoni kuweka
Daima mimi na wewe, mwenginewe hatozuka.

mwj1....hapa tumsubirie BaK sasa, lol.....
ahsante mahbouba...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom