Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Keep it up Mkuu, then in the morning you come out with your tangible conclussion.Zitto kwa hili hawezi kutoka, mimi naifuatilia hii thread mpaka asubuhi. Nipo tayari kukesha nijue mwisho wake.
Keep it up Mkuu, then in the morning you come out with your tangible conclussion.Zitto kwa hili hawezi kutoka, mimi naifuatilia hii thread mpaka asubuhi. Nipo tayari kukesha nijue mwisho wake.
Quixotic dreams! He is a flop for his incumbent position how dare would he bid for presidency. Besides, who in their right minds will do a grave mistake by puting this tyro politician into such a high position?Zitto is still seemed by most of Tanzanians as the potential material for this country's presidency.
Zitto is still seemed by most of Tanzanians as the potential material for this country's presidency.
Tanzania charges 30 per cent corporate income tax, but Barrick pays none because it hasn't recouped expenses as three of its mines aren't considered profitable yet.
Aside from not receiving corporate income tax, Tanzania actually owes Barrick millions. In Tanzania, companies pay a "value-added tax"
Barrick has no Tanzanian clients so it's entitled as of December 2010 to a total refund of $121 million that Tanzania over-collected over the years and can't afford to repay. It's more than one per cent of the country's official debt.
Kwahiyo kama habari haina ukweli, je upo tayari kumpeleka mwandishi mahakamani kwa kukuchafulia jina?Mimi binafsi sijawahi kupokea msaada wowote binafsi kutoka kampuni ya Barrick. Siku zote nimekuwa na misimamo isiyoyumba kuhusu sekta ya madini na nimekuwa nikiwa engage sana Barrick ili Tanzania ifaidike na madini yake.
Hata hivi sasa ukienda kwenye blog yangu zittokabwe.com utakuta nimewasema Barrick kwa kutolipa kodi ya mapato. Niliwasema katika interview na huyo kijana kutoka Canada kuhusu jambo hilo na niliwasema katika mijadala ya vyuo vya elimu ya juu kuhusu madini.
Zitto will become the presindent of this country in the future believe me. Kuhama haitakusaidi Mamanalia kwa sababu masikioni utaendelea kusikia Rais wa Tanzania Mh. ZZK. Labda ujinyonge, hiyo ndiyo itakuwa nafuu yako.Kaka sahau hizo ndoto za mtu kama zito rais, mie ntahama nchi hii kama mtu kama zito ataweza kuwa rais.
Barrick deflects Tanzanians' demands for more taxes by touting the trickle-down effect. It says it spent $69 million on goods and services from Tanzanian companies in 2009: proof that it's injecting money into Tanzania's economy and benefiting the entire nation. "Our biggest argument when dealing with government is convincing them that this is an issue about getting a bigger cake rather than trying to get more slices from the same cake," says Teweli Teweli, the company's Public Relations Manager.
Nilisimamia kuandikwa kwa sheria mpya na kuhakikisha inakuwa na maslahi kwa Watanzania. Nimekuwa mkali kutaka kampuni za madini kulipa mrahaba wa madini wa sasa kwa mujibu wa sheria mpya. Ukitembelea blog yangu utakuta hotuba zangu Bungeni zenye misimamo yangu ya wazi kabisa kuhusu sekta ya madini.
He also came to know Barrick
The commission ended in 2008 and published a widely-cited document called the Bomani Report. It highlighted numerous flaws in the country's mining agreements, suggesting that villages around Tanzania's gold mines haven't benefited from foreign investment as they should have and that the government was misguided when it sold Barrick its final five per cent share of Bulyanhulu soon after the giant entered the country. The report recommended the government increase royalties and grant fewer tax exemptions.
Parliament began to discuss a new Mining Act
Hii habari ni ya kweli kabisa. Huyo mwandishi (mtafiti) alinihoji na mie ndio niliweka wazi kuwa Barrick mwaka 2008 walinunua mabati kwa ajili ya shule ya Sekondari Mkabogo katika Jimbo la Kigoma Kaskazini. Sikuwahi kushika mkononi pesa hizo wala kushiriki kuamua zitumike namna gani. Niliamua hivyo kwa uwazi kabisa.na ndio maana sikuwahi kuficha suala hilo na hata kuliweka wazi kwa mwanafunzi huyu ambaye alinihoji mwaka 2010.
Sijawahi kuwa kimya kabisa katika suala la sekta ya madini. Nilisimamia kuandikwa kwa sheria mpya na kuhakikisha inakuwa na maslahi kwa Watanzania. Nimekuwa mkali kutaka kampuni za madini kulipa mrahaba wa madini wa sasa kwa mujibu wa sheria mpya. Ukitembelea blog yangu utakuta hotuba zangu Bungeni zenye misimamo yangu ya wazi kabisa kuhusu sekta ya madini.
Nakaribisha mtu yeyote aende Jimboni kwangu, kijiji cha Mkabogo akafanya uchunguzi kuhusu msaada ule. Nipo tayari pia Halmashauri ya Wilaya waweke wazi account iliyopokea pesa hizo na kuweka matumizi yao wazi.
Mimi binafsi sijawahi kupokea msaada wowote binafsi kutoka kampuni ya Barrick. Siku zote nimekuwa na misimamo isiyoyumba kuhusu sekta ya madini na nimekuwa nikiwa engage sana Barrick ili Tanzania ifaidike na madini yake.
Hata hivi sasa ukienda kwenye blog yangu zittokabwe.com utakuta nimewasema Barrick kwa kutolipa kodi ya mapato. Niliwasema katika interview na huyo kijana kutoka Canada kuhusu jambo hilo na niliwasema katika mijadala ya vyuo vya elimu ya juu kuhusu madini.
Ninaamini makampuni yana jukumu la kusaidia jamii. Kwamba Barrick walisaidia ujenzi wa shule ya Sekondari Jimboni kwangu, Jimbo ambalo lipo nyuma sana kimaendeleo ni jambo la kushukuru na sioni tatizo lolote la kimaadili.
Hii habari ni ya kweli kabisa. Huyo mwandishi (mtafiti) alinihoji na mie ndio niliweka wazi kuwa Barrick mwaka 2008 walinunua mabati kwa ajili ya shule ya Sekondari Mkabogo katika Jimbo la Kigoma Kaskazini. Sikuwahi kushika mkononi pesa hizo wala kushiriki kuamua zitumike namna gani. Niliamua hivyo kwa uwazi kabisa.na ndio maana sikuwahi kuficha suala hilo na hata kuliweka wazi kwa mwanafunzi huyu ambaye alinihoji mwaka 2010.
Mkuu acha kusoma thread kwa makengeza. Ameelezea kwamba habari ni za kweli, na amefafanua vizuri unataka nini la zaidi.Kwahiyo kama habari haina ukweli, je upo tayari kumpeleka mwandishi mahakamani kwa kukuchafulia jina?