Mh. Zitto kuna ukweli gani katika ripoti hii?

An extract from ABG CSR REPORT

Below is a sample list of projects that have received funding from ABG2009-2010 even though they fall outside of our impact areas.

"ABG community development funding is structured to primarily support social development in host communities. However, we do make considerations for developmental initiatives that are a priority to Tanzania's national development strategy. For example project that fall into the broad development priorities such as education and health have been our key focus areas "

*****************************************
PROJECT FUNDING
ABG's community development is structured to primarily support social development in host communities. However considerations will be made for developmental initiatives that are important to Tanzania's national development strategy.
  • Funding of community projects focuses on but is not limited to health, education, environment, water and sanitation, skills development and training.
  • These focus areas are consistent with national development priorities (MKUKUTA) and the Millennium Development Goals (MGD's).
  • Below are a list of projects outside of our impact areas that have received support from ABG.
ORGANIZATION
PROJECT
AMOUNT
Vice President's office
African Environment Day 2010
Tshs 20,000,000
IGP's office
Senior police officers conference on the 22[SUP]nd[/SUP] - 24[SUP]th[/SUP] Feb 2010 held in Dodoma
Tshs 10,000,000
Chunya District
Assistance to construct girls hostel in Chunya District
Tshs 5,000,000
Kinondoni Municipal Council( Masaki sub ward)
Greening project for Masaki sub ward under the local government environmental project initiative coded Masaki
Tshs 6,000,000
Bunda District
Bunda District soccer tournament
Tshs 10,000,000
Tanzania Education Development Association
Assistance to support TEDA for purchasing roofing sheets for several disadvantaged school.
Tshs 15,000,000
World Economic Forum
Hosting of the world economic forum in Africa
Tshs 25,000,000
Tanzania Tennis Association
Support Tennis tournaments for primary schools in Mwanza
Tshs 20,000,000
Engineers Registration Board
Workshop for engineers Annual Day, in-kind support in form of laptops for the four best engineering student from the university of DSM
USD 4800
Tanzania Tennis Association
Tennis coach Ramadhan Jerani for participation in the 7[SUP]th[/SUP] ITF African regional coaches' conference to be held in Pretoria.(Air ticket, accommodation and pocket money)
USD 1500
Former District Commissioners Forum(FODICO)
A proposal for rehabilitation of Mwisenge primary and secondary school in Musoma.
Tshs 20,000,000
The Association of Independent food security monitors (IFOSEMO), Coast Region
A proposal of a construction of a grain storage facility for Coast Region.
Tshs 15,000,000
The Institute of Engineers Tanzania
Technical Division of Workshop in Mwanza
Tshs 6,000,000
Femina HIP
Sponsorship to the production of femina magazine for secondary school submitted by Femina HIP
Tshs 13100
CCBRT
Construction for a maternity ward at CCBRT Dar es Salaam Region
Tshs 25,000
FODICO, Dar es Salaam
A proposal to conduct s six months broad based campaign to educate and sensitize against female circumcision.
USD 15,000
National Museum of Tanzania
Sponsorship proposal on photo on Northen circuit for a permanent ecological exhibition
USD 4200
CHANETA
Supporting Netball initiative
Tshs 6500,000
Lucy's Hope Centre for Orphans.
An out reach project to help orphans and other vulnerable children in Cost and dar es Salaam Regions
USD 20,000
The United Republic of Tanzania
Donation for Mwaisenge orphanage and elderly centre in Mara Region
USD 10,000

Children's Book Project
Pan Africa Reading for all Conference.
USD 20,000.00
CEO Roundtable-Tanzania
Fundraising for CEO Scholarship Fund Trust-2009
USD 3000.00
DISL's 2009 Youth camp in Dar es Salaam
Corporate Sponsorship Commitment for Youth Camp.
USD 7000.000
Tanzania House of Talent
Investment in music equipment, salary for music teachers and rehabilitation of centre in Dar es Salaam.
Tshs 30,000,000
Shukran mkuu kwa jitihada zako... wenye akili walishaelewa lakini kuna wale wenye ajenda zao za siri utawaona tu maneno watayokuja nayo. Yani mie nikiwaza tu wale watoto kule Kigoma saizi wako darasani wanakata shule roho yangu nyeupeee
 
Kwanza, I take this discussion very positively with the exception of few people who try to make this matter political.

This is ethical matter and I consider this as an act of public scrutiny of members of the public to the public office holder. Now, few responses:
Kigoma district council (Halmashauri ya Wilaya Kigoma) iliomba msaada huo katika juhudi zetu za kujenga shule zaidi za sekondari. Wao ndio waliandika proposal na walisambaza kwenye kampuni nyingi. TANAPA kwa mfano walijenga bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari Bugamba kipindi hicho hicho.

Mimi kama Mbunge wa Jimbo nilifuatilia maombi haya kwa karibu kabisa mpaka walipopata na kutumia fedha hizo kununua mabati (na saruji).
Je ni kazi ya Mbunge kuombaomba misaada? Kinadharia sio kazi ya Mbunge hii. Kiukweli tumekuwa tukifanya kazi za executive. Miradi mingi jimboni kwangu inatokana na juhudi binafsi za kutafuta misaada. Kazi hii ingefanywa na executive. Huu ni mjadala mpana na unahitaji kuwepo ili kuweza kusaidia. Mbunge akisema kuwa akae na kusubiri Serikali ilete miradi, miradi haitatokea kabisa kabisa. Kutokana na desire hii ya miradi kwenye majimbo wabunge tunajikuta katika mitihani kama hii ya Barrick kutoa misaada.

Hapa nakubaliana na mwanakijiji kwamba tunahitaji kuwepo na sheria ya lobbying. Nimelisema jambo hili Bungeni kwa muda mrefu sasa. Barrick katika hali ya kawaida walikubali maombi ya msaada Kigoma kuonyesha kuwa wao sio wabaya hivyo kama Zitto anavyowafikiria na hivyo CSR yao ionekane Kigoma. Kimsingi bajeti yao ya CSR ni kubwa sana na nimeona miradi mingi katika maeneo ya uchimbaji. Lakini hii haiiondoi kuwa wanapaswa kulipa kodi na ni jambo nimekuwa nikilisema kila wakati ninapopata nafasi.

Mkandara na wengine wanahoji sahihi kabisa. Ninaomba tu kuwa mijadala ya namna hii iendelee itatufanya wanasiasa tuwe makini na kujua public inatuweka kwenye mizani. Kwa kweli sioni kosa kusaidia watu wangu. Lakini kuna jambo kubwa la kujifunza katika maoni ya wengi hapa.

Mwaka 2008 na kisha mwaka 2011 niliwasilisha muswada binafsi Bungeni kuhusu sheria ya maadili ya viongozi. Moja ya jambo ninalopendekeza ni hili la kutangaza misaada tunayopata kwa ajili ya majimbo yetu (transparency).

Napenda kuwahakikishia kuwa nimejifunza katika mjadala huu na siku za usoni nitakuwa makini zaidi katika suala kama hili.

JF ya mijadala ya aina hii (ukiachana na wachangiaji wachache wenye kuleta masuala ya uwongo na uzushi) ndio JF tuliyoiunda. This public scrutiny shall extended to actions and inactions of many of us holding public offices. It shall go to NGOs receving donations from various corporations as well.

Kama kuna maswali zaidi nipo tayari kuyajibu.
Mkuu nashukuru sana kwa majibu yako murua na hakika kama tungekuwa na viongozi kama wewe ambao wapo tayari kukosolewa basi nchi yetu ingekuwa ktk hatua nyingine kabisa.. Hapo hapo nimemshangaa sana OmarIlyas kuna sehemu kaniweka ktk kundi la watu wanaopokea misaada ili kuliharibu jina lako lakini ktk hilo namwachia Mungu kwa sababu sii kweli na wala sii tabia yangu. Sina sababu ya kujitetea kutokana na kwamba mimi ni mpenzi wa Chadema na watu wenye kutetea mali na haki ya wananchi hivyo kujihusisha na makundi ya ushabiki kama wake ni kuipoteza imani.

Labda nirudie kusema kwamba nilitumiwa kipande hiki na mtu wangu wa Karibu kutoka kijiweni kwangu Chef Pride/K Teashop wakinibeza kuhusu wewe na chama na ndio maana nimeiweka hapa wazi kuliko kukuandikia wewe binafsi ili majibu yako yapate kusomwa na wengi naukweli utajulikana. Maadam sasa ukweli unaonekana na wewe mwenyewe umekiri kuwa makini sana na haya mashirika ambayo yametoa michango lakini wakachagua hili moja na kuliweka ktk gazeti ujue kuna sababu na pengine wahusika walikuwa na lengo la kuchafua jina lako toka mwanzo na sii mimi niliyeliweka wazi.

Kama ulivyosema Barrick wanatoa misaada sehemu nyingi sana iweje msaada huu wa jimbo la Kaskazini lipewe kipaumbele hadi kuandikwa ktk magazeti?.. Bila shaka jibu lake ni kuwa huyo Zitto wenu mnayemsifia sana mbona kapewa msaada na fisadi Barrick!...Yaleyale ya Mama Kilango kuchukua mchango wa harusi kutoka kwa Jeetu Patel, wakati mchangishaji fedha hizo alikuwa shoga yake na mleta mashtaka Mama Sophia Simba ambaye alikuwa waziri ofisi ya rais ktk maswala haya haya...viongozi wetu kuweni makini sana.

Shukran...
 
Mkandara una ajenda nzito sana iliyojificha moyoni mwako kuhusu issue hii. Ni wewe uliyeomba msaada wa JF kuchangia hebu baki neutral kwanza. mtunzi wewe , mwimbaji wewe, keyboard wewe, manyanga wewe, hapana hapana nakataa. let other part play the game. Mabilioni ya JK yalikuwa kuwasaidia wajasiriamali ili kufikisha idadi ya ajira milioni moja. Tena kupitia benki zetu. Halmashauri itakopaje fedha hizo? NO! WHAT I SEE IS 2015 PRESIDENTIAL RACE. MTAUANA BURE MA NDUGU ZANGU. THAT IS HOW POLITICS PLAYED.
Labda na mimi natafuta Umaarufu!..haa! haa! haa!
Mkuu siku hizi muziki kuu wangu unapigwa na keyboard tu halafu ukienda ku perform unatumia playback Cd kwa hiyo sii mimi nayepiga vifaa vyote bob..
Sikusema Halmashauri wakope hizo fedha na wala hakuna lisilowezekana. Mabillioni ya JK yalitumiwa vibaya sana na binafsi kama mbunge anaweza jiunga na Saccos kisha akakopa na kuitumia fedha hizo kujenga shule badala ya ujasiliamali ningempa sifa zote hata kama yalikuwa makosa. Hizi fedha zimeliwa vibaya sana yaani hakuna la kuonyesha kutokana na utaratibu mbaya wa uwekezaji ktk miradi ambayo haizalishi isipokuwa nyingi ni biashara za Udalali (middlemen)..Siwezi kuuana na Zitto hata siku moja, mimi mtu mdogo sana wala siwezi kumnyima usingizi..
 
pamoja na kutokubaliana na hoja nyingi za Zitto lazima nikiri daima atawashinda rivals wake kwa uvumilivu wake na kuwa tayari kusikiliza yote juu yake! Huu ni mfano wa Nyerere kukabiliana ana kwa ana na hoja za hata wanafunzi
 
Kwanza, I take this discussion very positively with the exception of few people who try to make this matter political.

This is ethical matter and I consider this as an act of public scrutiny of members of the public to the public office holder. Now, few responses:
Kigoma district council (Halmashauri ya Wilaya Kigoma) iliomba msaada huo katika juhudi zetu za kujenga shule zaidi za sekondari. Wao ndio waliandika proposal na walisambaza kwenye kampuni nyingi. TANAPA kwa mfano walijenga bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari Bugamba kipindi hicho hicho.

Mimi kama Mbunge wa Jimbo nilifuatilia maombi haya kwa karibu kabisa mpaka walipopata na kutumia fedha hizo kununua mabati (na saruji).
Awali kabisa nikushukuru kwa kurejea na kutoa ufafanuzi ingawa ni baada ya muda mrefu jambo lillilozua maswali mengi.

Pili nikupongeze kwa jitihada za kuwasiaidia wananchi wa jimbo lako. Hakika katika nchi ambayo mbunge hana job descriptions na anapewa fungu la CDF bila kuambiwa lifanyiwe nini na kwa vipi, jitihada binafsi ni muhimu sana hadi hapo sheria zitakapokubaliwa na kubadilishwa kama za Lobbying n.k Sidhani kuna mtu atatoa tuhuma kwa mtu anayejitolea kuusaidia umma. Keep it up

Ningependa kutoa ushauri wangu kwa wanasiasa hasa chipukizi lakini kabla sijafanya hivyo, nina mambo mawili sikuyaelewa ima kwa upungufu wa kibinadamu au uwezo wa kutafsiri na ningeomba unisadie kuyajibu ili niendelee kuelewa vema kama wenzangu.

Kwa maelezo yako hapo juu umesema ulifuatilia miradi kama ule wa TANAPA kwa ujenzi wa shule. Jambo jema kabisa.
Je, hili la Barric ni halmashauri iliandika barua kuomba huko Barric au ni wewe?
Je, ulihusika pia katika kufuatilia kama ilivyokuwa TANAPA?

Sina nia ya kuendeleza mjadala unaonekana kueleweka ni kutaka ufafanuzi tu.
 
Mkuu Nguruvi3, please him a break, Zitto ameishaddmit na kukubali makosa, nakuomba uziziti kutafuta ukweli za ya huu ili usijekuutumia kumtundika msalabani.

Lazima nikubali lile somo lako la 'demage control' limesomeka vizuri na umeshuhudia utekeleji kwa vitendo. Laiti viongozi wa Chadema wote wangekuwa kama Zitto, 2015 njia ingekuwa ni nyeupe kuelekea Magogoni!.

Maadam Mkandara alianzisha na kafanya very good closing, sasa kilichobaki la ni kujadili tuu yatokanayo.
 
Mkuu nashukuru sana kwa majibu yako murua na hakika kama tungekuwa na viongozi kama wewe ambao wapo tayari kukosolewa basi nchi yetu ingekuwa ktk hatua nyingine kabisa.. Hapo hapo nimemshangaa sana OmarIlyas kuna sehemu kaniweka ktk kundi la watu wanaopokea misaada ili kuliharibu jina lako lakini ktk hilo namwachia Mungu kwa sababu sii kweli na wala sii tabia yangu. Sina sababu ya kujitetea kutokana na kwamba mimi ni mpenzi wa Chadema na watu wenye kutetea mali na haki ya wananchi hivyo kujihusisha na makundi ya ushabiki kama wake ni kuipoteza imani.

Labda nirudie kusema kwamba nilitumiwa kipande hiki na mtu wangu wa Karibu kutoka kijiweni kwangu Chef Pride/K Teashop wakinibeza kuhusu wewe na chama na ndio maana nimeiweka hapa wazi kuliko kukuandikia wewe binafsi ili majibu yako yapate kusomwa na wengi naukweli utajulikana. Maadam sasa ukweli unaonekana na wewe mwenyewe umekiri kuwa makini sana na haya mashirika ambayo yametoa michango lakini wakachagua hili moja na kuliweka ktk gazeti ujue kuna sababu na pengine wahusika walikuwa na lengo la kuchafua jina lako toka mwanzo na sii mimi niliyeliweka wazi.

Kama ulivyosema Barrick wanatoa misaada sehemu nyingi sana iweje msaada huu wa jimbo la Kaskazini lipewe kipaumbele hadi kuandikwa ktk magazeti?.. Bila shaka jibu lake ni kuwa huyo Zitto wenu mnayemsifia sana mbona kapewa msaada na fisadi Barrick!...Yaleyale ya Mama Kilango kuchukua mchango wa harusi kutoka kwa Jeetu Patel, wakati mchangishaji fedha hizo alikuwa shoga yake na mleta mashtaka Mama Sophia Simba ambaye alikuwa waziri ofisi ya rais ktk maswala haya haya...viongozi wetu kuweni makini sana.

Shukran...
Mkuu Mkandara, Mhe. Zitto na wengine, binafsi nimefarijika sana na thread hii, mmenikumbusha ile jf niliyoikuta nilipojiunga. Naombeni sana wale wana wapotevu walioibukia humu, rudini kundini tuendeleze kukata issues, sio mpaka kujibu shutuma tuu ama kuibuka kuwatetea tuwapendao, tuna mengi ya kujadili yanahitaji michango yenu.

Nawashukuru tena.

Pasco.
 
Sitaki na sipendi kuamini kuwa kichwani mwako kuna ugoro badala ya ubongo kwa jinsi unavokuwa mgumu kuelewa aidha kwa makusudi au ndo kipaji chako cha kutoelewa! inaelekea we ni mtu mzima lakini bado unavaa nepi! hujui tofauti kati ya mtu kufaidika binafsi na manufaa ya jamii? hivi rais jk alipoomba msaada wa kujengewa udom ilikuwa kwa manufaa binafsi au kwa taifa? na ungesemaje kama angemmlikisha mkewe- mama salma au mwanawe ridhiwani?

Manufaa ya jamii? manufaa ya jamii kwenye kodi na mrabaha wa hao wachimbaji sio kwenye jimbo la Mbunge ambae kabla ya kusaidiwa jimbo lake alikuwa mkali. Hiyo simply ni handout to puppies to silence them. You can never defend it no matter how much you try. Hiyo misaada ya jimboni kwanke imetokea wapi, kwani hao barrick wanachimba jimboni kwake? mbona hawajaipeleka kwingine na waipeleke jimboni kwa Zitto tu? wacheni hizo. Mimi ni mtetezi mzuri wa Zitto lakini kwa hili kapotea kabisa na hateteeki.
 
2nqhdlx.jpg

By Guardian on sunday team
4th September 2011
Kigoma North legislator, Honourable Zitto Kabwe, who strongly criticized the African Barrick Gold, following the signing of Mineral Development Agreement (MDA) in 2007, to develop Buzwagi gold mine, benefited from the company's development projects according to the latest research by a Canadian based researcher....
 
Back
Top Bottom